Kauziwa rice cooker Tsh. 300,000 na Waturuki, kaikuta inauzwa Tsh. 140,000 Mlimani City. Anawaza amalizie hela yao ama?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,971
22,163
Jamani mji mtamu huuu acha tu, kuna waturuki wanapita majumbani mwa watu.

Sasa mdada mmoja hamad akapenda rice cooker inapika na nyama nk, akambiwa laki 3 kwa mariposa ya miezi 4.

Majuzi kapita mlimani City kakita ile ile 140,000 kilichomsaidia alipiga tu picha na bei iendelèe kumuumiza.

Jana anauliza nifanyeje bro, nkamjibu malizia kulipa alafu mwonyeshe hio picha na bei yake umshukuru kwa kukupa miezi 4, bado kidogo anitupie chupa ya Fanta hhahahaa!
 
Sasa huo si mkopo mkuu, 140,000 kwa 300,000 ni halali ila tu hakikisha unamaliza deni lao ndani ya mwaka mmoja au zaidi ili wote mnufaike,kwani ukiwa mkali ni waoga sana wa polisi,wewe wakikuzengua waambie mwende mahakamani,tambua hao watu ni wakwepa kodi,hivyo hawawezi kukubali polisi au mahakamani hawana pa kukupeleka hao.

Mimi ndani mwangu nina vitu vyao vingi,juzi wameniuzia oveni kwa sh 420,000 wakati dukani ina 200,000,nimekaa nayo miezi mitatu bila kulipia,mwezi huu ndo nimewalipa,ninampango wa kumaliza kulipa deni mwaka kesho mwezi wa 12 ilikhali tulielewana mwezi wa kumi na mbili mwaka huu.

Slogan yangu siku zote ni:mambo ya kihuni humalizwa kihuni
 
Jamani mji mtamu huuu acha tu

kuna waturuki wanapita majumbani mwa watu....

sasa mdada mmoja hamad akapenda rice cooker inapika na nyama nk.. akambiwa lak 3 kwa mariposa yaa miezi 4

majuzi kapita mlimani City kakita ile ile 140,000 kilichomsaidia alipiga tu picha na bei iendelèe kumuumiza

jana anauliza nifanyeje br nkamjibu malizia kulipa alafu mwonyeshe hio picha na bei yake umshukuru kwa kukupa.miezi 4 ....badokidogo antupie chupa ya Fanta hhahahaa
Ni sawa hakuna shida.
Kama simu za mkopo tu
 
Niliuziwa kwa mkopo masufutia yamo kwenye box kwa laki5 kufika nyumbani wife kakopeshwa same priduct na haohao jamaa, nikaja kuona same product inauzwa 1.5lak nlichoka
Hahahahahahaaaaaaaa mpwaaa waleeeewakoookikazi wakifika wanaakuwa kama wamewapiga upako wa mwamposa mkifunguliwa garilao bilahata kujua bei shushaaa ..wajanja lipakwanza 50k ...alafu n wavumilivu uzuriwao
 
alafu wana madada wamenonaa matamuu machaga yaan wakiona huwaelewi wanakulengesha kwao kunalimoja nilipita nalo kwa 30k..nkajua litantatuftia mizigo ya dili baadae akanikataa mara kontena haijaja

duh sijarudi tena kila ukipiga kaniweka busy
 
Jamani mji mtamu huuu acha tu, kuna waturuki wanapita majumbani mwa watu.

Sasa mdada mmoja hamad akapenda rice cooker inapika na nyama nk, akambiwa laki 3 kwa mariposa ya miezi 4.

Majuzi kapita mlimani City kakita ile ile 140,000 kilichomsaidia alipiga tu picha na bei iendelèe kumuumiza.

Jana anauliza nifanyeje bro nkamjibu malizia kulipa alafu mwonyeshe hio picha na bei yake umshukuru kwa kukupa miezi 4, bado kidogo anitupie chupa ya Fanta hhahahaa!
Zee la Mbezi kwa Zena Kawawa. Uko Migombani ai hapa hapa mjini? Tutafutane tulaze Makonyagi yetu
 
Jamani mji mtamu huuu acha tu, kuna waturuki wanapita majumbani mwa watu.

Sasa mdada mmoja hamad akapenda rice cooker inapika na nyama nk, akambiwa laki 3 kwa mariposa ya miezi 4.

Majuzi kapita mlimani City kakita ile ile 140,000 kilichomsaidia alipiga tu picha na bei iendelèe kumuumiza.

Jana anauliza nifanyeje bro nkamjibu malizia kulipa alafu mwonyeshe hio picha na bei yake umshukuru kwa kukupa miezi 4, bado kidogo anitupie chupa ya Fanta hhahahaa!
Haya mambo namwomba Mungu 2024 yasiwe kwenu kabisa loh
 
Back
Top Bottom