NakaziaToka hapo bar ushalewa
Tulishasema ukilewa usishike simuKulewa saivi mbona sinywii bia yenyewe 2000 natoa wapi mimi
Mwisho utaanzisha uzi wenye title ya hiviDuh🤣🤣🤣
Pumbavu 😂 😂Kwani uongo mkuu we cheki hiyo avatar yangu mana nikiongea nitaonekana nimelewa
Wewe si masikini, bali unauendekeza umasikini.Uwezo wa kumlisha ugali masaa 24 upo
Na kumvesha nguo za bukubuku upo
Nitampata wapi wakuridhia hali yangu ya umaskini
Achana na NdoaNatoa wapi mkuu kila demu ninaemwelezea malengo. Yangu naishia kula za uso😅