Choosen85
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,257
- 5,169
Yaan tuna rasilimali za kila aina ccm wanajenga vibarabara kwa mikopo na misaada wanataka tupongeze hivi kwa rasilimali tulizonazo hii nchi inasababu ya kujenga vibarabara uchwara kwa mikopo, tz ni ya kupewa msaada wa madawati, vyoo kweli....😪 ccm walishagawana kila kitu wakishirikiana na wawekezaji uchwara saivi wanawaza kupata mapato ni kodi na tozo tu.
TWENDE KWENYE KILICHONILETA kuna mdada nilimtongoza akawa anazunguka zunguka tu na mi sikuwa na kasi naye saana zkapita kama siku 2 akanitumia ujumbe oooooh kanisani kuna kwaya inazndua album naomba unichangie basi skuwa na hiana nikamchangia elfu 50.
Leo asubuhi asubuhi kanitumia ujumbe wa salamu nikamjibu na kumtakia asubuhi njema maana pia nilikuwa nipo busy najiandaa enda kwenye mishe zangu, eeeh katuma sms ooooh mdogo wangu amehitimu kidato cha 6 huko geita naomba unichangie hela ya graduation 😆😆😆😆 sa kwa kumbukumbu zangu form 6 wote walishamaliza mitihani na graduation huwa znafanyika kabla ya mitihani sa hii graduation gn inafanyika wkt madogo wote tyr wapo nyumbani karibu wiki sasa wamemaliza mitihani.
Hii skumjibu bado namtafakari sana huyu kiumbe lakini pia nilipeleleza nikagundua kumbe ni mke wa mtu na mumewe anafanya kaz hospital moja kwa moja nikaachana na mambo ya kumtaka.
NB: ATAKAYESEMA HELA YENYEWE NDOGO TU NAPIGA KELELE KWANGU HATA ELFU 1 NI KUBWA MAANA HAIOKOTWI HUMU KUNA WATU WANAWAFATA WENZAO INBOX KUOMBA HELA MPKA YA KULA KWAIYO MI HATA JERO NI KUBWA SANA.
Wakuu huyu kiumbe huyu na baadhi ya wenzake wenye tabia hii hivi mnadhani nyie hela mlitengenezewa nyie tu yaani mtafutiwe kisha nyie mje kuchota tu kwa vistory vya uwongo uwongo na kumpanga tu au siyo............
TOA MAONI YAKO.