hela

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ajira Mpya (Walimu) Temeke tuliwekewa Laki 9, tukaambiwa ni nauli, sasa hivi wanatuambia turudishe

    Mimi ni mwajiriwa Mpya Manispaa ya TEMEKE, Dar es Salaam, March 6, 2026 tuliwekewa fedha kwenye account zetu waajiriwa wapya Idara ya Msingi, jumla ya Walimu 77 tuliwekewa fedha kwa wastani kila mmoja alipata laki tisa na point. Hatukujua nini, kuna baadhi ya wenzetu walijaribu kupiga simu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waajiliwa Afya Butiama tunadai Hela ya Kujikimu. Hatujapewa tangu mwezi wa Nane 2025 mpaka sasa

    Hellow habari za Majukumu... Naomba mtusaidie kupaza Sauti sisi waajiliwa wapya wa kada ya AFYA katika halmashauri ya wilaya Butiama Hatujapewa Hela ya Kujikimu tangu tumepata Ajira mwaka Jana mwezi wa Nane 2025 Mpaka Sasa. Tulifatilia kwa Katibu wa Halmashauri hii Yeye kila tukimtafuta...
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kama umeajiriwa na kazini kwenu hakuna lunch wala hela ya usafiri, wewe na boss wako tafuteni kazi nyingine!

    Hii serikali unaguzi hauishi. Wote na degree moja, ila mwingine kapewa nyumba, ana posho /hela ya nauli na mshahara wa moto. Wewe uko na basic ya 1.2m na unavimbishiwa na boss, mkuu wa hidara, mkuu wa section nk. Mahala pako na shida. Kama vipi tuwe tuna reshuffle. Si wengine ata kaunda suti...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Elfu 5 ni hela kubwa sana kwa maisha ya Mtanzania. Kwanini Bank zinaidharau, na kima cha chini kutoa ATM kiwe Elfu 10?

    Kuna kazi viwandani malipo ni Elfu 5 kwa siku. Na hiyo Elfu 5 mtu anaweza fanya shopping kubwa na kula ata siku 2. Sasa mtu unaenda ATM una balance ya 48,000/= unatakiwa utoe Elfu 40 na kuicha Elfu 8 waibutue butue ndani ya week. Sio fair kabisa
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Ajira mpya Wilaya ya Ngara walimu wanatuchukuliaje lakini! Hela tumeambiwa zipo Hazina lakini kimya ni mwaka sasa

    Mimi niliajiriwa Mwaka 2025 katika Halmashauri ya Ngara Mkoani Kagera lakini hela zetu za kujikimu mimi na wenzangu hatujapewa, tupo Kada ya ELIMU ila wenzetu Kada ya AFYA walivyofika tu wakapewa sisi mpaka leo kimya. Mwaka huu 2026 wameleta ajira mpya wengine wa Elimu na Afya lakini afya...
  6. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Ukiwaona hawa wanawake njiani ni kama hawaombi hela yakanyage sasa!

    Jinsi walivyo pendeza na kujikwatua utadhani hawana shida mguse sasa uone list ya bills atakazokupa utakimbia NB, mke mmoja hatoshi
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Taasisi ya OSHA rudisheni hela yangu, nililipia training, mkanipotezea hadi nimefukuzwa kazi

    Kero yangu naipeleka kwenye Taasisi ya OSHA - inayoshughulikia usalama katika eneo la kazi, niliomba training tangu mwezi wa 10 Mwaka 2025 na nikalipa ada ya Sh 300,000 kwa ajili ya training. Sasa imepita miezi 5 tangu niombe kusoma, wamekuwa na majibu mepesi kiasi kwamba hawaoni umuhimu wa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO App ya Mwendokasi haifanyi kazi siku ya nne leo, tunashindwa kununua tiketi ilihali kuna hela ndani ya App

    App ya mwendokasi haifanyi kazi siku ya nne leo, tunashindwa kununua tiketi ilihali kuna hela ndani ya app. Ukiwapigia wanasema wanarekebisha
  9. R

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Tunatenga hela nyingi ya 10% lakini Wakusanyaji wetu hawana utaalamu kukusanya madeni, wanaenda kudai wanarudi na mkaa na kuku

    Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini, Joseph Musukuma wakati akichangia hoja leo Aprili 15, 2026 Bungeni, ameitaka serikali kuzingatia ukusanyaji wa madeni wa mikopo ya asilimia 10% kwenye Halmashauri kwa kuajiri vikundi au vijana wasomi wenye ujuzi huo ambapo kwa sasa kazi hiyo inasimamiwa na...
  10. Mwezeshaji1

    JamiiForums Tanzania Kwanini unapambana? Hela ya kula tu au una JAMBO linaloiambia nafsi "usilete ujinga, kaza"

    Eti mwana jamii forum, ipi ndio sababu hauna mchezo, wala lelemama na utafutaji🤔? Binafsi: sina hamu na UMASIKINI
  11. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mahusiano yako hayana afya kama unaishi na mtu anayeombaomba hela

    Hapo hakuna mpenzi, bali umepata msaidizi wa kula hela zako. Unakuwa na mwanamke asiyekushauri namna ya kutafuta hela, bali yeye anakushawishi namna ya kutumia hela ulizozitafuta kwa jasho, juwa kabisa hapo hakuna mapenzi.
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Nataka V8 ya Tsh. Milioni 270 ila siwezi nunua gari hela yote wakati Wananchi nyumba zinaanguka

    Baba Levo amesema anataka V8 ya Tsh. Milioni 270 ila siwezi nunua gari hela yote wakati Wananchi nyumba zinaanguka.
  13. The mission 2017

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuchukua hela zangu zote NSSF?

    Heshima kwenu, Iko hvi, nime acha kazi mwezi wa 2 Kampuni flani hivi very formal, Sasa nahangaika kuchukua pesa NSSF wao wanadai sistaili kupewa pesa kisa mm ndo nimeacha kazi. Kuna 5M NSSF, Tuelekezane jamani wenye shortcut za kutoa hela NSSF. Nawasilisha
  14. B

    JamiiForums Tanzania Snoop Doggy: Kama ni Mwanaume na una Uwezo wa kumwacha Mke wako Nyumbani na wewe utafute hela, basi Fanya hivyo

    Mfalme wa HipHop Mziki wa kizazi kipya Nchini Marekani Mzee Snoop Doggy ametoa ushauri kwa Sisi kizazi kipya yaani Vijana wa leo. Mheshimiwa huyo amesema kama wewe ni Mwanaume na una Uwezo au uko ktk position ya kumwacha Mke wako Fanya shughuli za Nyumbani( Family matters) basi hakikisha...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO ATM za Equity Tawi la Moshi ni majanga, hela hazitoki, baadaye ukirudishiwa hawarudishi tozo walizokata

    Kuna kero kubwa kwenye ATM za Equity Tawi la Moshi, mwezi wa pili sasa, ukitoa pesa inaonekana umetoa na SMS inakuja kuwa umetoa, na tozo zote unakatwa, cha ajabu hela haitoki na ukiuliza unaambiwa jaza claim form pesa itarudi baada ya saa 24. Baada ya hapo pesa inarudi ileile uliyotoa ila zile...
  16. Jayvpapa

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wakiwa na hela wanakua na obesity wakati ndio wakati mzuri wa kununua vyakula ambavyo ni vizuri kwa afya

    Hii imekua kama utamuduni au ishara ya mtu kuonekana anaishi vizuri lakini ni ndivyo sivyo. Matajiri wengi na wenye kipato ambacho si Cha magumashi hutumia hela zao kwa vyakula visivyo na faida kwao na kuona vyakula hivi vya asili vimepitwa na wakati
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Utapeli wa "Ile fedha tuma kwenye namba hii" umeshuka kwa kasi

    TAARIFA KWA UMMA TAHADHARI KUHUSU VITENDO VYA UTAPELI. Hali ya Usalama nchini inaendelea vizuri kutokana na jitihada za Jeshi la Polisi zinazo saidiwa na ushirikiano mkubwa kutoka kwa wananchi katika kubaini na kuzuia uhalifu. Pamoja na ushwari huo, yapo matukio mengine yanatendeka kutokana na...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania TANESCO wamepiga hela zaidi ya Bajeti ya WIZARA tano ya mwaka mzima

    Salaam, Makadirio ya karibu ya bajeti 2025/2026 Nchini Tanzania Tanzania ipo hivi. 1. Wizara ya Katiba na Sheria → ~ Tsh bilioni 80 2. Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ni Tsh bilioni 120 3. Wizara ya Habari, Mawasiliano na TEHAMA ni Tsh bilioni 150 4. Mambo ya Nje na Ushirikiano ni Tsh...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Newala Vijijini kuna dalili ya kupigwa kwa hela za kujikimu za Watumishi wapya

    Halmashauri ya Wilaya ya Newala Vijijini kuna dalili ya kupigwa kwa hela za kujikimu za Watumishi wapya, muongozo wa TAMISEMI unaeleza kuwa inatakiwa tulipwe Siku 14 ila Newala wamelipa siku 7 na hakuna maelezo yoyote. TAMISEMI waje hadharani watoe maelezo kuhusu utaratibu huo na kinachoendelea.
  20. Vien

    JamiiForums Tanzania Nitavumilia yote, lakini sio kukaa bila hela

    Kwenye maisha ya mwanadamu hapa duniani, pesa sio kila kitu… lakini ukweli usiosemwa mara nyingi ni kwamba pesa inatatua karibu asilimia 99% ya changamoto tunazokutana nazo. Ukikosa pesa kwenye dunia ya sasa, ni kama umejitenga na mfumo mzima wa maisha. Unakuwa kama unaishi pembeni ya dunia...
Back
Top Bottom