halisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Baadhi ya video zilikuwa halisi na nyingine zilitengenezwa kwa akili unde

    Uchambuzi wa video na picha ulikuwa sehemu kubwa katika uchambuzi wa tume, hususan katika kuelewa madhara ya kibinadamu. Jumla ya picha mnato 450 na picha mjongeo (video) 880 zilikusanywa kwa njia mbalimbali na baadhi zilikuwa zimesambazwa mitandaoni kwa zaidi ya mara moja." Picha hizi...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande Uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29 asema 'picha baadhi zilikuwa halisi nyingine zilitengenezwa kwa akili unde'

    Jaji Chande akiwasilisha ripoti ya Uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29, anasema "Jumla ya picha mjongeo 450, picha mjongeo 880, zilikusanywa kwa njia mbalimbali na baadhi zilikuwa zimesambaa mitandaoni kwa zaidi ya mara moja. Picha hizi zilipatikana na ziliwasilishwa na mashuhuda wa matukio...
  3. S

    JamiiForums Tanzania KWELI Picha hii ilipigwa mwaka 2012 nchini Korea Kaskazini

  4. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Picha hii ya Uhuru akiwa na tattoo ya Freemason ni halisi?

  5. G

    JamiiForums Tanzania Hamna kipindi ambacho wanajeshi halisi wanakifurahia kama wakati wa vita maana ndo wakati wa kuonyesha ujuzi wao kiuhalisia

    Hii ni Siri lakini ndo ukweli Nilipata stori ya mjeda anasema hamna kitu Cha hazuni Kwa wanajeshi kama kukuta JINA lako halijapangwa kwenda vitani wakati wa vita. Sasa hii furaha zaidi Kwa majeshi yenye uwezo kama Marekani mjeda anatamani hata kutoa chochote apangwe vitani. Sio madili ya...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania U-Super power wa China na Urusi sio halisi, ni tambo zaidi

    Kama mwendawazimu Trump na rafiki yake Netanyahu wamechafua na kuivuruga mashariki ya kati hadi kupelekea dunia nzima kuingia kwenye shida kubwa huku haya mataifa makubwa mawili yakishindwa kufanya chochote kuokoa jahazi sasa ukubwa wao una maana gani duniani?
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya likizo kwa Watumishi wa Umma hayaendani na gharama halisi za nauli kwenye soko la sasa

    Imekua ni kero kubwa kwa kuwa malipo anayolipwa mtumishi kwa ajili ya likizo hayaendani kabisa na gharama za nauli za mabasi kwa sasa. Fedha ni ndogo na ukiuliza maafisa utumishi wanajibu kuwa ni muongozo wa LATRA na wao hawawezi kubadilisha huo waraka. Niombe LATRA waangalie hali ya maisha na...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania TFF: Dhana dhanifu ama halisi?

    Ilianza kama utani mitandaoni lakini ni wazi ni kitu kinachojijenga katika uhalisia wake TFF (Tanganyika Freedom Fighters) Wapigania Uhuru Tanganyika (WAUTA) Mwansilishi halisi hajulikani mpaka sasa lakini ni wazi ni kundi lenye vinasaba vyote na Gen-Z hasa baada ya yote yaliyotokea 0ctober 29...
  9. X

    JamiiForums Tanzania ByteDance wamekuja na A.I inayoitwa Seedance 2.0 inatengeneza video bora unaweza kusema ni video halisi. Soko la watengeneza filamu liko mashakani?

    Kwa sasa kwenye ulimwengu wa AI gumzo duniani ni Seedance 2.0 Hapa Wachina wa ByteDance ambao ndio wamiliki wa TikTok wamekuja kuweka rekodi ya dunia. Ukibahatika kuziona video za AI zilizotengenezwa na Seedance 2.0 utagundua ByteDance they are miles ahead. Miongoni mwa clips zilizotia fora...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Voice identifier Apps: Ni program zinazotumika kutambua sauti halisi na mtoa sauti hata kama haonekani.

    Sikutegemea kabisa kwa zama hizi kama serikali ingekuja na aina hii ya kuficha shahidi kwenye kiboksi cha plywood. Teknologia imekua sana huwezi kutumia kisanduku cha maboksi kumficha mtu, sauti yake ikirekodiwa inatosha kabisa kumtambua mtu anayeongea. Kuna programu nyingi za kutambua sauti...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tesha: Amekataa mauaji na utekaji amesimama na watanzania kulingana na kiapo chake ni jeshi la kuigwa

    Yoyote anayepinga uharamu na ushenzi na anaye simama na watanzania ndio mtu mwenye mchango chanya kwenye taifa. Tutapata wapi mtu mwengine kama huyu tukivuka hapa anastahili kuongoza JWTZ kama mkuu wa majeshi. esha
  12. Zawadini

    JamiiForums Tanzania Haki na amani: Mifano inayotolewa haifanani na hali halisi

    Wanajamvi; nimeamka nikaona niseme kidogo. Kumekuwa na matukio mawili ambayo yamekuwa yakielezwa kama kigezo cha taswira njema kwa yaliyotokea nchini mwetu wakati na baada ya uchaguzi. Matukio hayo mawili ni fainali za AFCON25 na uchaguzi wa Uganda. 1. Katika fainali za AFCON, watu humu...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Matokeo halisi yavuja

    -Haya ni matokeo ya mwisho yaliyovuja katika kituo cha kura cha Tume ya Uchaguzi ya Uganda, The Strong Room Afisa mmoja katika chumba cha makusanyo aliirekodi na kuivujisha bila kujulikana. NUP tulishinda, na ndiyo maana H.E Bobi Wine amekataa yale yanayoitwa matokeo yaliyotangazwa na...
  14. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Nani amewahi kuziona Torati na Injili halisi?

    Neno Injili ni neno lenye asili ya kiarabu ambalo shina lake linatokana na neno "euangelion" lenye asili ya kigiriki lenye kumaanisha "habari njema" ambalo liliingizwa kwenye lugha ya Kiarabu toka kwa wakristo wa Syria. Na Torati ni neno linalotokana na neno la Kiyahudi "Torah" ambalo...
  15. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kuheshimu Muda ndo msingi halisi wa mafanikio yoyote

    Katika ulimwengu wa ushindani wa kibiashara na maendeleo ya mtu mmoja mmoja, mara nyingi dhana ya mtaji imekuwa ikitafsiriwa kama fedha taslimu au rasilimali zinazoonekana pekee. Hata hivyo, ukweli uliojificha ni kwamba muda ndio mtaji wa msingi na wa kipekee kuliko rasilimali nyingine yoyote...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Watakapoandamana Wakatoliki Halisi kulaani "kutaka kukatwa vichwa" Mwigulu uwalinde

    Watakapokuja Wakatoliki halisi wanaojua kusoma na kuvaa kwa heshima mbele ya Balozi wa Papa, wakasoma tamko lao kuwataka Polisi wamkamate aliyempiga Fr. Kitima, na wamlete aliyeteka mapadre na kuwadhalilisha, akawavisha wake za watu mavazi ya kitawa ili waonekane ni watawa walioshika bendera za...
  17. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia kuuaga mwaka 2025 yazua mjadala. Aendelea kukebehi maelfu ya waliouawa. Yadaiwa si halisi, imetengenezwa kwa Akili Mnemba (AI)

    https://youtube.com/shorts/d-gVWuklw7Y?si=zpWedEOCcjWkGVC9 Pamoja na kuendelea kukebehi maelfu ya wananchi waliouwawa na vyombo vya usalama vya serikali yake, hotuba ya Rais Samia ya tarehe 31/12/2025 masaa machache kabla ya kuingia mwaka mpya 2026 imezua balaa na mjadala makubwa kuhusu uhalisia...
  18. pulex

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mo29 na yanayoendelea Malawi, naona waasi wa M23 ndio wazalendo na PK ni Pan africanist halisi kwa sasa

    Mara ya kwanza niliona M23 ni wabaya na kumchukia PK, ila baada ya yaliotokea october 29 pale Malawi na yanayoendelea kutokea, nachelea kusema waasi wa M23 ni wazalendo kwel na PK ni Pan Africanist wa mifano ya Thomas Sankara. Si ajabu wale mboga mboga wanamchukia sana maana anawafungua...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1,036

    Katika kuadhimisha Miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Desemba 9, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa elfu moja na thelathini na sita (1,036) Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. George Simbachawene...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa wahuni wamekataliwa wamebaki kujialishia kuelekea D9 eti jeshi litatulinda ngoja wataona maana halisi ya moto

    Mpaka sasa wahuni wamekataliwa wamebaki kujialishia kuelekea D9 eti jeshi litatulinda ngoja wataona maana halisi ya moto. Kwa kifupi tushawashinda wanabaki kubweka bweka hasa huyu mzee wa ufafanuzi amebaki na mipasho tu. wataenda kunyea debe soon.
Back
Top Bottom