de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 10,619
- 21,161
Swali: mbona watu husahau umuhimu wa watu na kuvipa vitu umuhimu mpaka waafikiapo mwisho wa safari?
Watu wengi wakifika mwisho wa maisha hasa wazee.. Huwa na tabia flani hivi za kuthamini sana upendo...
Wengi wao huwa kama watoto tena... Yaani the ego looses control and the pure human nature comes to play.
Wananza kuthamini vitu ambavyo havishikiki tena, kama ni mzazi lazima akupigie simu daily kukujulia hali, na usipo kwenda kumwona atajisikia upweke.
Wengi wao huanza kuhudhuria dini na kuishi maisha yasiyo na vinyongo. Yaani hata kama alikuwa mtu mbinafsi sana anaweka pembeni.(sio wote lakini)..
Na ukikuta anatoa ushauri ni ule wa hekima na usio wa kumpa mtu kiburi, mwishoni kabisa watu hawa Ukiwauliza ni nini cha maana katika maisha. Hawawi na kumbukumbu ya vitu bali watu..
Hisia ndo hubaki, na hisia mara nyingi hazipatikani kwenye vitu. Kwanini binadamu ni kiumbe kisahaulifu...
Je ni kawaida na lengo la muumba? Au ni kwasababu ya umuhimu ajipao binadamu? Maana binadamu ni kiumbe kibishi sana.
True success comes after mastering how to fully make the world a better place, not self serving chase which only fades away...
Ndo maana nikiona mtu ana ivimbia bia, pesa au majumba na haja accomplish kitu non tangible kwa jamii, naona mlimbukeni tuu.
Karibuni kwa discussion.