Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,433
- 26,986
#Shany ni mtanzania anayeishi nigeria kwa miaka mingi kidogo,anatunyetisha hali ilivyo na uhalisia wake!,
#Wale wa upande wapi wajionee na wajiulize,jinsi serekali yetu tukufu inavyo wapenda watanzania kwa kila sekta,japo kwa umahamuma wao hupuuza na kujiona wao ndiyo wana akili nzuri na wapo sahihi zaidi kwa rasilimali tulizonazo,
Wenzetu wana mafuta kabisa!,na wameshafanya mapinduzi ya kiserekali mara kadhaa lakini hakuna lolote,let question our self are we right?,au ni uchu tu wa makenge maji,
NIGERIA HAKUNA UMEME, NAJIVUNIA TANZANIA 🇹🇿💃
Ngojeni niwape ka-umbea kidogo leo 😁 Kama hamkujua basi leo mjue… si mnanijua Mama Mally siwezi kukosa story za hawa viumbe 😂
Umeme huku Nigeria ni wa mgao, ila kwa ukweli kabisa unaweza kusema hakuna umeme. Imagine NEPA wakikata umeme leo, wanaweza kurudisha wiki ijayo, mwezi ujao au hata baada ya miezi kadhaa 😭 Kuna wakati nguzo ikiharibika mtaa mzima unakaa miezi sita gizani 😳 Everywhere kimya, ni sauti za majenereta tu zinanguruma mchana na usiku 😭🤣
Sasa kwangu mimi nyumba ipo karibu kabisa na barabara. Nje nina fremu 6 — tano zina wapangaji.
Mmoja kinyozi, mwingine msusi, mwingine fundi nguo, mwingine anauza vifaa vya P.O.P vya ujenzi. Huyu wa P.O.P yeye hata generator haihitaji sana 😁
Lakini kinyozi akipata mteja lazima awashe generator.
Msusi akitaka kuosha nywele, kukausha au kufanya weaving lazima awashe.
Fundi nguo akimaliza kushona naye awashe pasi 😭
Halafu bado mimi huku ndani nikitaka kupampu maji lazima niwashe generator pia 😭
Sasa magari yanapita nje nonstop, humo humo majenereta yanaunguruma… maskio yatabaki salama kweli? 😭🤣
Huku wananchi tumeshazoea maisha ya generator. Lazima ununue mafuta angalau lita mbili kila siku. Mimi nina majenereta mawili:
Moja kubwa — hili ukiwasha unaweza kutumia fridge, kupampu maji na vitu vizito. Nikimaliza kujaza maji nalizima.
Halafu nahamia hili dogo wanaliita “economic generator” 😭🤣
Hili ni la budget kabisa. Ukiwasha unatumia feni, kuchaji simu, taa na blender.
Sasa mafuta lita mbili ukianza kuwasha saa mbili usiku, kufika saa kumi alfajiri generator inazima yenyewe 😭 mafuta yameisha… enjoyment done finish 😂💔
Wanigeria wengi washazoea hali hii kiasi kwamba siku umeme ukiwa stable kila mtu anafurahi kama ameshinda bahati nasibu 😭 Utamsikia mtu anasema:
“And so e suppose be!”
(Yaani: “Hivi ndivyo inavyotakiwa kuwa.”) 😂
Mfano tu wiki iliyopita NEPA wamekuwa wanatupatia umeme kuanzia saa 12 jioni hadi saa 4 usiku, halafu wanakata. Unarudi tena saa 10 alfajiri hadi saa moja asubuhi, then basi tena 😭
Jana nilipopost video watu wengi waliniuliza kuhusu solar.
Wakuu, huku solar ndiyo mpango mzima sasa hivi 😭 Ukiweza ku-afford unafunga tu maisha yaendelee.
Mfumo mdogo wa biashara wenye fridge unaweza kufika mpaka milioni 1.5 za Kitanzania.
Lakini mimi jana nimefunga solar ya nyumba nzima 😭💃
Tukapitisha waya hadi kwenye fremu zote za nje.
Hii solar inapampu maji, tutawasha fridge za ndani, na hata wine shop yangu itatumia fridge bila stress 😭💃 Wapangaji wote wa fremu watatumia pia.
Kwa jumla tumetumia kama milioni 6.5 za Kitanzania 😭 lakini sasa:
✅ NEPA bye bye 👋
✅ Hakuna bili za umeme tena
✅ Hakuna mafuta ya generator tena
✅ Hakuna kelele za majenereta tena 😭💃
Tanzania nyumbani habari 👋🇹🇿
#shanystoryteller #truestory #viralpost

Code:
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~