Je, Wewe Ni Overthinker? Jua Nguvu Yako Halisi

Dr Arshavin

Member
Joined
May 14, 2024
Posts
26
Reaction score
78
Kama wewe ni overthinker basi una akili sana…

Kama wewe ni overthinker, huenda hujui kuwa una aina fulani ya akili ambayo watu wengi hawana…

Watu wengi wanapofikiria, wanaona kitu kimoja tu.

Lakini wewe?

Akili yako inaenda mbali zaidi.

Unaweza kukaa kimya sehemu moja, lakini ndani ya kichwa chako kuna mazungumzo, uchambuzi na possibilities nyingi sana zinaendelea.

Mtu akisema sentensi moja, wewe huangalii maneno tu…

Unaangalia maana yake.

Unaangalia tone yake.

Unaangalia kwa nini amesema hivyo.

Unaangalia nini kinaweza kutokea baada ya hapo.

Hii ndio sababu overthinkers wengi wana uwezo mkubwa wa kuona vitu ambavyo wengine hawavioni.

It’s like a magic ambayo wanayo kwenye akili yao.

Ni kama una kamera yenye zoom kubwa ndani ya ubongo wako.

Wengine wanaona picha nzima tu.

Ila wewe unaona details nyingi zilizofichika ndani ya hiyo picha.

Unaona mabadiliko madogo.

Unaona patterns.

Unachambua kila kitu bila kuacha kubwa wala dogo.

Unaunganisha vitu ambavyo kwa watu wengine havina uhusiano ila wewe unaona kama kuna namna ya kuwa na Coincidence.

Kwa mfano…

Mtu anaweza kuona biashara imeanguka na akajisema:
“Bahati mbaya tu imetokea hapa.”

Lakini wewe unaweza kuanza kuchambua kiundani zaidi:

Tatizo lilianza wapi?
Ni mfumo gani haukufanya kazi?
Ni tabia gani ilisababisha hii?
Nini kifanyike ili isijirudie?

Hiyo ni akili ya kutafuta mizizi, sio matokeo tu.

Pia overthinkers mara nyingi wana uwezo mkubwa wa kutengeneza scenarios za baadaye.

Ubongo wako huwa unauliza:

“Kama nikifanya hivi nini kitatokea?”

“Kama hii ikiharibika nitafanya nini?”

“Kuna njia bora zaidi?”

Hiyo ni akili ya strategist.

Watu wengi huingia kwenye vita bila kufikiria.

Lakini wewe unajaribu kuona uwanja mzima kabla hata hujachukua hatua.

Na ndio maana mara nyingi unaweza kuelewa watu kwa kina.

Unaweza kugundua mtu hayuko sawa hata kama anasema yuko sawa.

Unaweza kuhisi kuna kitu hakipo sawa kabla wengine hawajakiona.

Kwa sababu akili yako imezoea kusoma ishara ndogo ndogo zote bila kuacha kitu.

Lakini kuna siri moja hapa, pay attention!!

Akili kubwa bila uongozi inaweza kukuchosha.

Ukifikiria kila kitu bila kuchukua hatua, akili yako itakuwa gereza.

Lakini ukijifunza kuiongoza?

Hapo ndipo overthinking inageuka kuwa nguvu.

Kwa sababu mtu anayefikiria kwa kina, akichanganya na vitendo…

anaweza kuona mbali kuliko wengi.

Sio kila anayefikiria sana amepotea.

Wengine wana akili ambazo zimejengwa kuona vitu ambavyo wengine bado hawajaviona.

Wewe umepewa hii zawadi ya kuweza kufikiria na sio kila mtu ana hii zawadi.

Huku nnje watu wengi hawana uwezo kama wako wa kufikiria ila unashangaa wanakuzidi vitu ambayo unatamanigi sana one day uje kumiliki si kweli?

Unajua kwa nini ipo hivi hii?

Kwa sababu baada ya kumaliza kufikiria unaweka mawazo ya negativity, unaweza uperfectionism unataka mpaka kila kitu kiwe sana 100%

Ila nikwambie kitu ukilearn kulet it go na ukafanya tu na ku execute bila kusubiri kila kitu kiwe perfect nakuapia wallah itakua mbele ya watu wengi sana!

Let it go!
 
Asante sana Dr. Arshavin kwa uchambuzi huu wa kina na wenye kutia moyo! Nimejisikia kabisa hapa, kwani mara nyingi nimekuwa nikijiona kama overthinker na sichukulii kama udhaifu. Kusoma hivi kumenipa mtazamo zaidi na kunifanya nithamini zaidi uwezo huu.

Ni kweli kabisa, uwezo wa kuona mambo kwa undani, kuchambua, na kutengeneza scenarios mbalimbali ni zawadi kubwa. Maneno yako kuhusu 'kamera yenye zoom kubwa' na 'akili ya strategist' yamenikaa sana. Asante kwa kutukumbusha kwamba hii ni nguvu tunayopaswa kuitumia vizuri na kuitilia maanani, badala ya kuiogopa. Na mimi siiogopi inanisaidia sana hata kuwajua wa humu kwa sanaaa 😂
 
Siku hizi umemeza AI nini wa kwetu
 
I feel seen 🙃 asante kwa uzi mzuri.
Ukilearn kulet it go na ukafanya tu na ku execute bila kusubiri kila kitu kiwe perfect nakuapia wallah itakua mbele ya watu wengi sana! Let it go!
Anthony Anderson Lol GIF by ABC Network.gif

Fact 💯, I have been working on this na mambo mengi sana yameenda.
 
Overthinking is a burden, its not a gift.
agreed
Asante sana Dr. Arshavin kwa uchambuzi huu wa kina na wenye kutia moyo! Nimejisikia kabisa hapa, kwani mara nyingi nimekuwa nikijiona kama overthinker na sichukulii kama udhaifu. Kusoma hivi kumenipa mtazamo zaidi na kunifanya nithamini zaidi uwezo huu.

Ni kweli kabisa, uwezo wa kuona mambo kwa undani, kuchambua, na kutengeneza scenarios mbalimbali ni zawadi kubwa. Maneno yako kuhusu 'kamera yenye zoom kubwa' na 'akili ya strategist' yamenikaa sana. Asante kwa kutukumbusha kwamba hii ni nguvu tunayopaswa kuitumia vizuri na kuitilia maanani, badala ya kuiogopa. Na mimi siiogopi inanisaidia sana hata kuwajua wa humu kwa sanaaa 😂
😂 yeah tunaishi kujifunza
 
Back
Top Bottom