UHONDO HALISI
Kwenu wadau, kwa yule ambaye atakuwa tayari. Kila Jumatatu nitakuwa nawaandikia mambo yafuatayo;
1. INAYOTRENDI (itakuwa habari yoyote ambayo inavuma sana. Lakini itaandikwa kwa kina. Itakuwa ya mtu maarufu, ya kijamii, ya imataifa lakini iliyotrendi).
2. UNTOLD STORY (itakuwa habari, stori yoyote ambayo nzuri iliyotokea hapa nchini lakini haikuwahi kuandikwa popote).
3. STORI YA MAPENZI (itakuwa hadithi ya mapenzi ambayo itakuwa ikiianza na kwisha siku hiyohiyo).
4. MAKALA MAALUM YA STAA (itakuwa mahojiano na staa wa fani yoyote nchini, bongo movies, bongofleva, kandanda n.k).
5. UTAFITI/UCHUNGUZI (itakuwa makala ya uchunguzi ambayo itakuwa inaibuliwa katika jamii).
6. KICHEKESHO (itakuwa vunja mbavu kwa msomaji ili kumburudisha).
7. RIWAYA (itakuwa ikiendelea kila wiki hadi inafika mwisho. Itahusu maisha, upelelezi, michongo, mikakati, visa, wivu, mapenzi n.k).
8. USHAURI/ NASAHA (itahusu hasa mambo ya ndoa, uchumba na talaka).
9. USHUHUDA/SITASAHAU (itakuwa simulizi za sitasahau).
10. ELIMU (itahusu mambo ya afya, sayansi ya anga, mimea, maisha na namna zake).
Mambo haya yatakuwa kila siku ya Jumatatu asubuhi.