Baada ya tukio la Jumamosi, Putin, Lukashenko na Prigozhin wameuthibitishia ulimwengu kwamba wao ni "gangsters" halisi na Russia si nchi ya kuichezea

Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
14,939
20,400
Kwa hayo yaliyotokea Jumamosi yameithibitishia dunia kwamba Russia ni nchi kubwa, na hatari sana duniani kwa kila kitu.

Pia Putin, Lukashenko na Prigozhin ni watu hatari sana na ni wale twasema "real gangsters".

Prigozhin amewahi kufungwa jela kama miaka 10 hivi na akatolewa kwa msamaha wa Putin kisha akapanda akaanza vibiashara uchwara vidogovidogo na baadae kuanzisha kampuni ya kutengeneza na kutayarisha vyakula na vinywaji yaani catering business.

Hafla nyingi zilokuwa zikifanyika mjini St Petersburg Prigozhin alikula zabuni zote na kwa msaada wa Putin.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Lukashenko akaeleza jinsi alivyomuokoa Prigozhin kutoka kwa makucha ya Putin na mkurugenzi mkuu wa Shirika la Ujasusi la FSB Alexander Bortikov asimdhuru Prigozhin ambae alikuwa akingojwa aingie Moscow na iwe mwisho wake.

Lukashenko adai kuwa kulikuwa na mazungumzo kati yake yeye, Prigozhin na Bortnikov.

Lukashenko akasema akumbuka kauli ya Putin kwamba nanukuu: "Putin told me: ‘Look, Sasha [affectionate for “Alexander” in Russian], it’s no use. He [Prigozhin] doesn’t even pick up the phone, he doesn’t want to talk to anyone.’”

Hapo juu kwenye neno " Is no use" laashiria kwamba amri ya kumshughulikia Prigozhin ilikuwa imetolewa na Lukashenko akawa amfikiria rafiki yake Prigozhin na akampigia simu kumwambia jinsi vikosi vya Russia vilojipanga mjini Moscow tayari kwa mapigano.

Lukashenko aendelea kusema alipomuomba Putin namba ya Prigozhin, Putin akajibu kuwa hana namba yake (kwa kuogopa wire tapping) akamwambia amtafute Bortnikov anayo.

Raisi Lukashenko akaendela na "story" kwamba waliongea sana na Prigozhin na kujibizana maneno makali ya matusi ya hali ya juu huku Prigozhin akitaka kuonana na raisi Putin kumtaka awaondoe Shoigu na Gerasimov.

Lukashenko akasema alimjibu Prigozhin kwa kusema, “I say, ‘Zhenya [affectionate for “Evgeny”], no one will give you Shoigu or Gerasimov, no one, especially in this situation. You know Putin as well as I do. He won’t talk to you on the phone, let alone meet with you in this situation.”,

Lukashenko akaendelea kusema Prigozhin aliikuwa akisema, "They want to strangle us. We will go to Moscow." akimaanisha mikataba ambayo yaitaka Wagner na vikundi vingine vya kijeshi visaini mikataba mipya na jeshi la Russia kuwa sehemu rasmi ya jeshi.

Na yeye (Lukashenko) akamjibu Prigozhin kwa kumwambia kuwa,-

“I say, ‘Halfway there, they’ll just crush you like a bedbug. … Think about it, I say. I told Putin, too: ‘We can whack him. It’s not a problem. If not at the first try, then at the second...”

Lukashenko anaendelea kusema kwamba aliongea zaidi ya mara sita na Prighozin mpaka alipokubali kuachana na madai yake ila bado akawa na mashaka na usalama wake na usalama wa vikosi vyake. Lukashenko akasema akamuahidi Prigozhin kwamba hakuna litalotokea na kwamba amwachie hilo nae (Lukashenko) atalishughulikia.

Lukashenko akampigia simu Bortnikov na akamwambia kuwa ikiwa Prigozhin atampigia basi apokee simu hiyo. Hivyo Prigozhin nae akapigia simu Bortnikov na wakazungumza kirefu na mwisho wakakubaliana kwamba yeye (Prigozhin) na vijana wake hawatashughulikiwa na mashtaka yote yatafutwa.

Baadae Prigozhin akatangaza kusitisha misafara ya kuelekea Moscow na kwamba warudi kambini.

Kuna maneno hapo na mbinu za mawasiliano ambayo Lukashenko ametumia yanoonyesha jinsi makundi ya watu waitwao "Gangsters" ambao ni watu wenye pesa, nguvu, wenye mamlaka na wenye uthubutu yanavyofanya shughuli zake.

Lukashenko ni rafiki yake mkubwa Prigozhin kwa miaka karibu 20 na yasemwa ndie aliemtambulisha Prigizhin kwa Putin wakiwa vijana wadogo pale St Petersburg. Putin aliporudi Moscow akawa afanya kazi kwenye manispaa ya St Petersburg na hapo ndipo alipoanza kuunda mtandao wake hatari sana.

Baada ya USSR kuanguka Putin akawa ni sehemu ya wale matajiri na mabwanyenye wengine ambao ndo walimuandaa kuwa kiongozi wa Russia kitambo sana ila kwa siri na bila mtu yoyote kufahamu hiyo. Hata Boris Yetsin nae alipopewa jina la mtu ambae atakuwa waziri mkuu wake, hakujiuliza mara mbili akampa nafasi hiyo.

Putin, Lukashenko na Prigozhin ni matunda ya kuanguka kwa USSR na kuzaliwa kwa makundi haya ya watu wenye nguvu katika jamii. Kwenye miaka ya tisini mabwanyenye walikuwa katika vita ya kugombea mali za nchi hiyo baada ya kuanguka kwa ilokuwa USSR na wengi wao akiwemo Mikhail Khodorkovsky ambae leo hii ndie asemwa kuwa ndie alie nyuma ya mpango mzima wa kumuondoa Putin kwa msaada wa watu wa nje.

Khodorkovsky kwa sasa aishi nje ya Russia (yasemwa yuko London) lakini alikuwa ni mmoja wa watu wa karibu wa raisi Putin akifanya Kremlin kama sebuleni. Baada ya kufungwa jela na kutoka gerezani, Khodorkovsky aliambiwa na Putin aondoke mwenyewe Moscow.

Kwahiyo tukio la jumamosi laonyesha wazi kuwa Prigozhin aliandaliwa na kundi hili ambao lipo ndani ya nje ya Russia wakiwemo wengi waloathirika na hali ya uchumi na kuzuiliwa fedha zao nje katika mabenki mbalimbali Khodorkovsky akiwemo.

Akiandika katika ukarasa wake kwenye telegram baada ya kuasi wa Wagner kushindwa Khodorkovsky alisema" That the coup was prepared with some significant level of NATO involvement is clear enough. But to portray the coup as primarily the product of a CIA conspiracy would be to ignore the real divisions that exist in the Russian regime and the social interests that determine its policies. Prigozhin’s coup attempt exposes above all the bankruptcy of the Putin regime itself, out of which Prigozhin himself emerged."

Hivyo hii yaonyesha na kuthibitisha kuwa tukio la jumamosi lilipangwa kutoka pande zote ndani ya nje ya Russia na hiyo ni kwa sababu Ukraine imeshindwa kuvunja mistari ya kwanza ya kujilinda au "self line of defence ya majeshi ya Russia".

Lakini kwa mshangao wa nchi za NATO, Marekani na Dunia tukio la jumamosi lilishindwa kutekelezwa na Prigozhin na akaachwa peke yake. Sasa kwanini Russia ni nchi hatari sana duniani?

Kama nilivyosema hapo juu kwamba katikati ya miaka ya tisini mabwanyenye walikuwa katika vita ya wao kwa wao kugombania mali na urithi mkubwa wa nchi hiyo hivyo kuanza kuunda makampuni ya kijeshi na kila bwanyenye akawa na kundi lake. Hivyo wanajeshi wastaafu, majasusi wastaafu na watu wengine wa rika mbalimbali walichaguliwa kujiunga na makundi haya.

Tangu hapo hadi kufikia mwaka 2015 Wagner ilipoundwa, Russia leo hii ina makundi ya kijeshi yapatayo 23,000 na watu wapatao 70,000 wameajiriwa na makampuni haya ambayo yana ofisi na makambi katika nchi mbalimbali barani Afrika na nchi za Syria na Libya.

Kwa kuona ugumu wa kuyadhibiti makundi haya serikali ya Russia kupitia Bunge ikapitisha sheria ya kuyatambua rasmi makundi haya na kuyataka yote yajisajili katika jeshi la Russia kwa kuwa bado hadi sasa vifaa vyote na vituo vya kombania vikundi hivi vyatumia vifaa vya jeshi la Russia.

Kwa kuwa Wagner walichukua Bakhmut, kisheria walikuwa hawana kinga rasmi kama sehemu ya jeshi la Russia ikiwa wapo ndani ya eneo lote la Donbass, hivyo serikali ikaona hilo kuwa liwe ni sheria rasmi na yale yote Wagner wanoyafanya ndani ya Donbass yatakuwa ni kwa sheria za Russia.

Lakini kitendawili kimekuja kwamba kwanini Prigozhin aende Belarus?

Jibu ni kwamba Lukashenko amekubaliana na Putin na Prigozhin kwamba sehemu ya Jeshi la Wagner waende Belarus ili kuwapa mafunzo rasmi ya kijeshi jeshi la Belarus ili liwe tayari na vita kubwa inokuja huko siku za mbele. Ikumbukwe kuwa Wagner ana zaidi ya vikosi vipatavyo 50,000 na hadi leo amegawa mara mbili na 25,000 wameenda Belarus.

Pili, ni kulinda mitambo na vifaa vyote vya kijeshi vya Russia ambavyo imeweka hapo zikiwemo silaha za nyuklia.

Na pia Wagner wameruhusiwa na Lukashenko kuchukua eneo kubwa kwa ajili ya shughuli zao za kijeshi na pia Wagner imeripotiwa kuendelea na shughuli za kuandikisha vijana wapya!

Haya yote ni kitendawili ambacho watu hawa watatu hadi sasa wamewachanganya NATO, Marekani na hata dunia kwa shughuli zao zisizoeleweka na kuleta hofu kubwa ndani ya bara la Ulaya.

Pia Russia yaonyesha kuwa ni nchi ambayo ni vigumu sana kuielewa na kwamba huu muunganiko wa sasa wa Putin, Lukashenko na Prigozhin waashiria jambo moja tu huko mbele, kuingia Kyiv na kuweka serikali ambayo itakuwa rafiki na Russia, na hiyo itakuwa ni majibu ya tukio la jumamosi ilopita.

Vyanzo: Uchambuzi wa mahojiano ya raisi wa Belarus Alexander Lukashenko.
 
Kwa hayo yalotokea Jumamosi yameithibitishia dunia kwamba Russia ni nchi kubwa, na hatari sana duniani kwa kila kitu.

Pia Putin, Lukashenko na Prigozhin ni watu hatari sana na ni wale twasema "real gangsters".

Prigozhin amewahi kufungwa jela kama miaka 10 hivi na akatolewa kwa msamaha wa Putin kisha akapanda akaanza vibiashara uchwara vidogovidogo na baadae kuanzisha kampuni ya kutengeneza na kutayarisha vyakula na vinywaji yaani catering business.

Hafla nyingi zilokuwa zikifanyika mjini St Petersburg Prigozhin alikula zabuni zote na kwa msaada wa Putin.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Lukashenko akaeleza jinsi alivyomuokoa Prigozhin kutoka kwa makucha ya Putin na mkurugenzi mkuu wa Shirika la Ujasusi la FSB Alexander Bortikov asimdhuru Prigozhin ambae alikuwa akingojwa aingie Moscow na iwe mwisho wake.

Lukashenko adai kuwa kulikuwa na mazungumzo kati yake yeye, Prigozhin na Bortnikov.

Lukashenko akasema akumbuka kauli ya Putin kwamba nanukuu: "Putin told me: ‘Look, Sasha [affectionate for “Alexander” in Russian], it’s no use. He [Prigozhin] doesn’t even pick up the phone, he doesn’t want to talk to anyone.’”

Hapo juu kwenye neno " Is no use" laashiria kwamba amri ya kumshughulikia Prigozhin ilikuwa imetolewa na Lukashenko akawa amfikiria rafiki yake Prigozhin na akampigia simu kumwambia jinsi vikosi vya Russia vilojipanga mjini Moscow tayari kwa mapigano.

Lukashenko aendelea kusema alipomuomba Putin namba ya Prigozhin, Putin akajibu kuwa hana namba yake (kwa kuogopa wire tapping) akamwambia amtafute Bortnikov anayo.

Raisi Lukashenko akaendela na "story" kwamba waliongea sana na Prigozhin na kujibizana maneno makali ya matusi ya hali ya juu huku Prigozhin akitaka kuonana na raisi Putin kumtaka awaondoe Shoigu na Gerasimov.

Lukashenko akasema alimjibu Prigozhin kwa kusema, “I say, ‘Zhenya [affectionate for “Evgeny”], no one will give you Shoigu or Gerasimov, no one, especially in this situation. You know Putin as well as I do. He won’t talk to you on the phone, let alone meet with you in this situation.”,

Lukashenko akaendelea kusema Prigozhin aliikuwa akisema, "They want to strangle us. We will go to Moscow." akimaanisha mikataba ambayo yaitaka Wagner na vikundi vingine vya kijeshi visaini mikataba mipya na jeshi la Russia kuwa sehemu rasmi ya jeshi.

Na yeye (Lukashenko) akamjibu Prigozhin kwa kumwambia kuwa,-

“I say, ‘Halfway there, they’ll just crush you like a bedbug. … Think about it, I say. I told Putin, too: ‘We can whack him. It’s not a problem. If not at the first try, then at the second...”

Lukashenko anaendelea kusema kwamba aliongea zaidi ya mara sita na Prighozin mpaka alipokubali kuachana na madai yake ila bado akawa na mashaka na usalama wake na usalama wa vikosi vyake. Lukashenko akasema akamuahidi Prigozhin kwamba hakuna litalotokea na kwamba amwachie hilo nae (Lukashenko) atalishughulikia.

Lukashenko akampigia simu Bortnikov na akamwambia kuwa ikiwa Prigozhin atampigia basi apokee simu hiyo. Hivyo Prigozhin nae akapigia simu Bortnikov na wakazungumza kirefu na mwisho wakakubaliana kwamba yeye (Prigozhin) na vijana wake hawatashughulikiwa na mashtaka yote yatafutwa.

Baadae Prigozhin akatangaza kusitisha misafara ya kuelekea Moscow na kwamba warudi kambini.

Kuna maneno hapo na mbinu za mawasiliano ambayo Lukashenko ametumia yanoonyesha jinsi makundi ya watu waitwao "Gangsters" ambao ni watu wenye pesa, nguvu, wenye mamlaka na wenye uthubutu yanavyofanya shughuli zake.

Lukashenko ni rafiki yake mkubwa Prigozhin kwa miaka karibu 20 na yasemwa ndie aliemtambulisha Prigizhin kwa Putin wakiwa vijana wadogo pale St Petersburg. Putin aliporudi Moscwo akawa afanya kazi kwenye manispaa ya St Petersburg na hapo ndipo alipoanza kuunda mtandao wake hatari sana.

Baada ya USSR kuanguka Putin akawa ni sehemu ya wale matajiri na mabwanyenye wengine ambao ndo walimuandaa kuwa kiongozi wa Russia kitambo sana ila kwa siri na bila mtu yoyote kufahamu hiyo. Hata Boris Yetsin nae alipopewa jina la mtu ambae atakuwa waziri mkuu wake, hakujiuliza mara mbili akampa nafasi hiyo.

Putin, Lukashenko na Prigozhin ni matunda ya kuanguka kwa USSR na kuzaliwa kwa makundi haya ya watu wenye nguvu katika jamii. Kwenye miaka ya tisini mabwanyenye walikuwa katika vita ya kugombea mali za nchi hiyo baada ya kuanguka kwa ilokuwa USSR na wengi wao akiwemo Mikhail Khodorkovsky ambae leo hii ndie asemwa kuwa ndie alie nyuma ya mpango mzima wa kumuondoa Putin kwa msaada wa watu wa nje.

Khodorkovsky kwa sasa aishi nje ya Russia (yasemwa yuko London) lakini alikuwa ni mmoja wa watu wa karibu wa raisi Putin akifanya Kremlin kama sebuleni. Baada ya kufungwa jela na kutoka gerezani, Khodorkovsky aliambiwa na Putin aondoke mwenyewe Moscow.

Kwahiyo tukio la jumamosi laonyesha wazi kuwa Prigozhin aliandaliwa na kundi hili ambao lipo ndani ya nje ya Russia wakiwemo wengi waloathirika na hali ya uchumi na kuzuiliwa fedha zao nje katika mabenki mbalimbali Khodorkovsky akiwemo.

Akiandika katika ukarasa wake kwenye telegram baada ya kuasi wa Wagner kushindwa Khodorkovsky alisema" That the coup was prepared with some significant level of NATO involvement is clear enough. But to portray the coup as primarily the product of a CIA conspiracy would be to ignore the real divisions that exist in the Russian regime and the social interests that determine its policies. Prigozhin’s coup attempt exposes above all the bankruptcy of the Putin regime itself, out of which Prigozhin himself emerged."

Hivyo hii yaonyesha na kuthibitisha kuwa tukio la jumamosi lilipangwa kutoka pande zote ndani ya nje ya Russia na hiyo ni kwa sababu Ukraine imeshindwa kuvunja mistari ya kwanza ya kujilinda au "self line of defence ya majeshi ya Russia".

Lakini kwa mshangao wa nchi za NATO, Marekani na Dunia tukio la jumamosi lilishindwa kutekelezwa na Prigozhin na akaachwa peke yake. Sasa kwanini Russia ni nchi hatari sana duniani?

Kama nilivyosema hapo juu kwamba katikati ya miaka ya tisini mabwanyenye walikuwa katika vita ya wao kwa wao kugombania mali na urithi mkubwa wa nchi hiyo hivyo kuanza kuunda makampuni ya kijeshi na kila bwanyenye akawa na kundi lake. Hivyo wanajeshi wastaafu, majasusi wastaafu na watu wengine wa rika mbalimbali walichaguliwa kujiunga na makundi haya.

Tangu hapo hadi kufikia mwaka 2015 Wagner ilipoundwa, Russia leo hii ina makundi ya kijeshi yapatayo 23,000 na watu wapatao 70,000 wameajiriwa na makampuni haya ambayo yana ofisi na makambi katika nchi mbalimbali barani Afrika na nchi za Syria na Libya.

Kwa kuona ugumu wa kuyadhibiti makundi haya serikali ya Russia kupitia Bunge ikapitisha sheria ya kuyatambua rasmi makundi haya na kuyataka yote yajisajili katika jeshi la Russia kwa kuwa bado hadi sasa vifaa vyote na vituo vya kombania vikundi hivi vyatumia vifaa vya jeshi la Russia.

Kwa kuwa Wagner walichukua Bakhmut, kisheria walikuwa hawana kinga rasmi kama sehemu ya jeshi la Russia ikiwa wapo ndani ya eneo lote la Donbass, hivyo serikali ikaona hilo kuwa liwe ni sheria rasmi na yale yote Wagner wanoyafanya ndani ya Donbass yatakuwa ni kwa sheria za Russia.

Lakini kitendawili kimekuja kwamba kwanini Prigozhin aende Belarus?

Jibu ni kwamba Lukashenko amekubaliana na Putin na Prigozhin kwamba sehemu ya Jeshi la Wagner waende Belarus ili kuwapa mafunzo rasmi ya kijeshi jeshi la Belarus ili liwe tayari na vita kubwa inokuja huko siku za mbele. Ikumbukwe kuwa Wagner ana zaidi ya vikosi vipatavyo 50,000 na hadi leo amegawa mara mbili na 25,000 wameenda Belarus.

Pili, ni kulinda mitambo na vifaa vyote vya kijeshi vya Russia ambavyo imeweka hapo zikiwemo silaha za nyuklia.

Na pia Wagner wameruhusiwa na Lukashenko kuchukua eneo kubwa kwa ajili ya shughuli zao za kijeshi na pia Wagner imeripotiwa kuendelea na shughuli za kuandikisha vijana wapya!

Haya yote ni kitendawili ambacho watu hawa watatu hadi sasa wamewachanganya NATO, Marekani na hata dunia kwa shughuli zao zisizoeleweka na kuleta hofu kubwa ndani ya bara la Ulaya.

Pia Russia yaonyesha kuwa ni nchi ambayo ni vigumu sana kuielewa na kwamba huu muunganiko wa sasa wa Putin, Lukashenko na Prigozhin waashiria jambo moja tu huko mbele, kuingia Kyiv na kuweka serikali ambayo itakuwa rafiki na Russia, na hiyo itakuwa ni majibu ya tukio la jumamosi ilopita.

Vyanzo: Uchambuzi wa mahojiano ya raisi wa Belarus Alexander Lukashenko.
Re
 
Tulijua tu kwamba baada ya watu uingizwa shimoni kama panya baadae kuokolewa na Prighozin sasa mnajitapa wakati mlikuwa kimya!!!

Superpower gani anaye kimbizwa pangoni bwashee, USA ndio mwisho wa kila kitu aise, hamna viujinga ujinga kama hayo ya nchi kutekwa ndani ya masaa mawili maadui wanabakiza kilomita 200 to Moscow.

Dogo kwa kifupi mmevuliwa nguo na mpishi Urusi wazidi kudhalilika aise, hata china haiwezi kubali ujinga huo jombaa, Russia ni kweupe bwashee
 
Ukraine aendelea kushindwa Counter Offensive.

Ashindwa kupenya first defence line.

Halafu mimi sipo kimya huwa naenda Moscow na kurudi hapa Kibaigwa kila wiki.

World Superpowers:

US, China, Russia.

Wengine ni wasindikizaji.
 
Conspiracy theories!

Ukweli ni kwamba Putin anazeeka; matokeo yake anapoteza nguvu na mamlaka.

Sasa hivi anapigana kuuaminisha umma wa Warusi kuwa bado anaweza kudhibiti madaraka.

Ukweli utafahamika mwakani kwenye boksi la kura.
Si Conspiracy Theories.

Jana uliketi kusikiliza mahojiano ya Lukashenko na waandishi wa habari?
 
Kilichomvutia Yelstin kwa Putin ni NEUTRALITY na LOYALTY ya jamaa. Putin alikuwa msaidizi wa Sobchak, aliyekuwa Meya wa St Peterberg. Baadae jamaa alipigwa chini, na kuanza kushtakiwa. Kipindi hicho Putin akiwa PM. sobchak akazuga anaumwa. Putin akamuhamishia kwenye hospital ambayo alikuwa na influence nayo, na kumuassign daktari ambaye ni mshkaji Wake amsimamie matibabu.

Putin kwa msaada wa wadau wake wa FSB, wakamtorosha Sobchak kwenda ufaransa. Jamaa anapanda ndege kwa machela, anashuka airport France anatembea Na kuwave.

Yelstin alivutiwa sana na kitendo hiki. Alikuwa anahitaji mtu wa kumlinda akistaafu, pale Kremlin hakuwa anaamini watu sbb ya power struggle. So alimpa Putin, na kuandaa kabisa pres decree ya immunity ya yelstin. Putin akapewa Urais, Na putin kupewa pen na yelstin na kuisaini hiyo decree.

So uraisi wa Putin ni by chance sio by choice.
 
Tanzania wajuaji ni wengi
 
Ila ukiwa na akili timamu unaweza kuona kabisa putin aliandaliwa kuwa rais wa urusi.
 
Kipindi cha uraisi wa Boris Yeltsin ndicho kipindi wale Oligarchs wote walikuwa wameishika Russia na walikuwa na uwezo wa hata kumteua mtu wanaemtaka awe raisi.

Watu kama Mikhali Khodorkovsky ambae alikuwa mtu wa karibu na Putin na wamefanya kazi pamoja Kremlin. Lakini mtu ambae alipendekeza jina la Putin kwa maelekezo ya "Deep State" ni Sergei Stepashin ambae aliwahi kuongoza idara ya FSK (sasa FSB).

Katika watu ambao wamekaa serikalini muda mfupi sana ni Stepashin kwani amekuwa waziri mkuu kwa mwaka mmoja tu 1998/99 kabla ya kumpendekeza Vladimir Putin kwa Yeltsin.

Hivyo jamaa hawa (Oligarchs), mazee wa Deep State na wale wa Sloviki (majasusi na wanajeshi wa zamani wa KGB na Jeshi) ambao Putin yumo, ndo wanoingoza Russia kwa sasa.

Putin hajawa raisi wa Russia kwa bahati mbaya.
 
Back
Top Bottom