halisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ifahamu maana halisi ya "Mmbea"

    Mmbea ni mtu anayechukua habari za jambo au mtu fulani na kuziongezea chumvi huku akizisambaza kwa watu wengine. Mmbea huna haja ya kumweleza jambo kwa upana wewe mweleze kwa ufupi kwasababu ni mmbea anaujuzi mkubwa sana wa kukamilisha taarifa kutokana na taaluma yake ya maswala ya umbea.
  2. JamiiForums Tanzania TAFAKURI: Utajisikiaje endapo utaambiwa Wazazi uliohisi wamekuzaa na kukulea kwa miaka mingi si wazazi wako halisi?

    Katika pita pita zangu na tafakuri za hapa na pale kwenye kichwa changu. Nikawaza kuwa itakuwaje endapo Utapata Taarifa kuwa wazazi ulionao/Waliokulea Sio wazazi wako halisi Huenda umekuwa ukijua kuwa ni wazazi wako kwa Takribani miaka 50s, 40s ,30s au hata 20s ya kuishi duniani.. Je...
  3. JamiiForums Tanzania Wengi wanataka kulinda ndoa zao, lakini hawajui njia halisi ya kufanya

    Wengi wanataka kulinda ndoa zao, lakini hawajui njia halisi ya kufanya. Hili hapa Suluhisho la kisaikolojia na Afya ya akili katika mahusiano: Msisubiri magomvi ndio muweke vikao vya ndoa, kila ndoa ina misukosuko na migogoro ambayo ni mikubwa, midogo au ya wastani. Vikao vya Mke na Mume...
  4. JamiiForums Tanzania Chimbuko halisi la migogoro shule ya sekondari Nyiendo

    Kuanzia Mkuu wa shule aliyeifungua Issa Izengo mpaka Mkuu wa shule aliyepokea kijiti chake Erasto Arende, Shule ya Sekondari Nyiendo haikuwahi kuwa kwenye vuguvugu la migogoro mpaka alipoingia mkuu wa shule aliyepo sasa! 1. Philosophy ya kwanza ya mkuu wa shule ni kutopenda kukosolewa na...
  5. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli tunauishi upendo halisi ama ulio kizuizini?

    Kila mtu anaweza kuwa na neno ukimuliza kuhusu upendo. Toka muda watu wamesha tafafuta maana nyingi za neno upendo lakini bado hakuna anayeweza kuongelea upendo kwa maneno na akaumaliza kama jinsi ulivyo. Kila mtu ataongelea matokeo yake kwa jinsi alivyo ishi na uzoefu wake katika mazingira...
  6. JamiiForums Tanzania Haya ndio maisha halisi ya familia zetu hasa msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka

    Jinsi ya kujitambua kuwa wewe ni paratrooper msimu huu wa sikukuu za Christmas na mwaka mpya 1. Ni pale vikao vya familia vitakapoanza bila kujali uwepo wako na vikaweza kuendelea hata ukisusa. 2. Ni pale utakuwa mtu pekee atakayehitajika wakitaka kuchinja mbuzi au kufanya shughuli yoyote...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Taswira ya Yesu anayehubiriwa ni tofauti na Yesu halisi

    Ukisoma na kutafakari kwa umakini kuhusu Yesu unagundua kwamba alikuwa ni wale watu ambao jamii inawachukulia kwamba wamepinda yani outcast. Hata wale wanafunzi wake aliokuwa akiongozana nao jamii inaonekaan ilikuwa inawachukulia kama watu wasiokuwa na maadili waliopotoka yani waliopinda. Ndio...
  8. JamiiForums Tanzania Zama zimebadilika, demokrasia nayo ichukue maana halisi kulingana na historia yake

    Tunakumbushwa madarasani pia hata mitandaoni kuwa demokrasia ilianza katika mji ATHENS - Ugiriki ambapo watu wachache wenye busara zao walifanya maamuzi juu ya mustakabali ya mji wao ndiyo maana wengi tunaelezea demokrasia kama ni watu (wachache) wanaongoza walio wengi ila tumewaondoa wanawake...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ndio hali halisi ya Uhaba wa Mafuta Kyela, foleni utadhani zile za maduka ya RTC

    Badala ya Wanasiasa wa Tanzania kubinafsisha vitu vya hovyo kama hivi, wanabinafsisha Bandari. Hebu angalia foleni ya wanunuzi wa Mafuta Kyela kama ilivyofumwa na Team ya Chadema inayoratibu Oparesheni 255 Okoa Bandari zetu, inayounguruma Kanda ya Nyasa.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazoishutumu China kwa kuweka mtego wa madeni. Je, zilishakaa na kujiuliza tatizo halisi linaanzia wapi?

    Wachina wana wazo moja kwamba ukitaka kuendelea na kukuza uchumi wa nchi basi lazima kuwe na miundo mbinu mizuri na imara. Wazo hili ndilo lililopelekea China kuziacha nyuma nchi nyingi ambazo hapo awali zilikuwa zinaonekana ziko sambamba na nchi hii katika umasikini. Kupitia ujenzi na...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Wakazi Halisi wa Nchi Takatifu (the Holy Land)

    Kwanza kabisa niwakumbushe tu Watanzania wote kuwa tumehamia Dar es salaam (kwa mfano) lakini kiukweli tunachimbuko letu kikabila, ambako bado tunahaki ya kurudi na halifulani zikilazimisha tutarudi. Zama hizo kabla ya YESU kuzaliwa na miaka baada ya Yesu kuzaliwa Nchi takatifu ilikaliwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Hii ndio hali halisi ya mambo huko Nachingwea

    Huku viongozi wa Nchi wakiendelea kusafiri na Mamia ya Wapambe kwa gharama za kutisha, huko Kwao Nachingwea hali ndio kama mnavyoiona. Tunashauri kwamba badala ya viongozi kusafiri na Umati wa Chawa wao , ni vema chawa hao wakapunguzwa ili hela itakayookolewa irekebishe umasikini huu.
  13. JamiiForums Tanzania Je, mwananchi unajua maana halisi ya kodi ya mapato?

    Kodi ya mapato au kwa kizungu income tax ni kodi unayolipa katika Faida ya biashara yako. Je Faida ni ipi kwenye biashara yako? Faida ni yale mapato ambayo unapata baada ya kutoa gharama zote za uendeshaji. Makadirilio ya kodi ya mapato ni nini? Makadilio ni makisio ya kodi kabla ya Kuanza...
  14. JamiiForums Tanzania Hakuna mwanamke anaetoboa mbele ya Mwanaume Halisi

    Nawasalimu kwa jina la Dp Ipo hivi hawa wavulana wanaolia lia mbele za wanawake wanatuzalilisha sana, Mwanaume hutakiw kuwa dhaifu mbele ya kiumbe cha kike hata awe na uzuri wa aina gani Hutakiwi kumuhofia hata kidogo hakikisha tu upo smart mwilini na akili mfukoni pia ila sio muhimu...
  15. JamiiForums Tanzania Tatu Bila ya TMK Wanaume Halisi Vs Dar mpaka Moro ya TMK Wanaume Family ipi ngoma kali

    Battle hili hapa la walio kuwa kundi moja na baadae kuvunjika na kuunda Tmk wanaume family na Tmk wanaume halisi. Makundi yote haya mawili yali bahatika kutoa mikwaju mikali way back naweka battle kati ya mikwaju yao maarufu miwili. Tatu bila ya Tmk wanaume halisi VS Dar mpaka...
  16. JamiiForums Tanzania Video: Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

    Dah nmeona video ikimuonyesha Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini Kuna wanaosema atakuwa anapata pesa Sababu alipofanya show sjui ni mgodini Lakini Kama kuna pesa wasanii wenzake siwangeenda Pia Dah inauma sana ,bora wajitokeze watu wamsaidie TABLE TURNS...
  17. JamiiForums Tanzania Wale wadau wa kutembelea Uvinza kwenye UGA wa mahaba tuzungumze hali halisi na balaa lake

    Hello nawasalimu kwa bashasha za ubaharia. Kama rejea ya kichwa Cha habari ilivyo karibu tuseme machache kuhusu mazuri na maswahibu ya mzamo katika wilaya maarufu sana kwenye UGA wa mahaba wilaya pendwa ya Uvinza. Binafsi Mimi nyakati za mazingira masafi huwa nainjoy matembezi ya eneo lote la...
  18. JamiiForums Tanzania Nani alikuwa na bajeti halisi ya usajili wa Simba na Yanga?

    Naomba kuuliza hadi sasa kwa jinsi usajili ulivyoendelea kati Young African na Simba sport club nani aliwadanganya wachama wake?
  19. JamiiForums Tanzania Kikwete na Kinana wamtaka Kubenea na MwanaHalisi Kuomba Radhi kwa madai ya kuwalipa wanaopinga Mkataba wa Bandari

    Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana wamemwandikia Barua Saed Kubenea na Gazeti lake la Mwana Halisi wakimtaka kutimiza madai yao mawili ambayo ni 1. Kufuta Kashfa Dhidi yao na Kuomba Radhi 2. Kuahidi Kuacha Kuwakashifu kutokana na...
  20. JamiiForums Tanzania Jawabu kwa Lord Denning: Mikataba mithili ya IGA inayotaja gharama halisi za miradi ipo hapa Tanzania

    Picha ya antena za Vodacom, Tigo, Airtel na TTCL zikiwa zimesimikwa kwenye mnara wa Helios baada ya makampuni haya kusaini mkataba wa upangishaji na Helios I. Utangulizi Makubaliano ya Kiserikali kati ya Tanzania na Dubai kuhusu uwekezaji kwenye bandari za Tanzania yanaongozwa na Sheria za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…