Ukweli Kuhusu Wakazi Halisi wa Nchi Takatifu (the Holy Land)

joex

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
783
639
Kwanza kabisa niwakumbushe tu Watanzania wote kuwa tumehamia Dar es salaam (kwa mfano) lakini kiukweli tunachimbuko letu kikabila, ambako bado tunahaki ya kurudi na halifulani zikilazimisha tutarudi.

Zama hizo kabla ya YESU kuzaliwa na miaka baada ya Yesu kuzaliwa Nchi takatifu ilikaliwa na Makabila 10 ya Waisrael (the Northern Kingdom of Israel), Makabila mawili ya waisrael (Judah & Benjamin) ikijulikana kama Ufalme wa Judah ambao Mji Mkuu wake ulikuwa Jerusalem. Hata hivyo upande wa Kusini mwa nchi takatifu maeneo ambayo sasa ni Gaza na Ashkelon lilikuwepo taifa la Wafilisti (Philistines); Mnamkumbuka Goliath aliyeuliwa na Mfalme Daudi. Jina hili Philistine walipewa na mwandishi mmoja wa Kigiriki.

Taifa la kwanza kutumia jina Palestine ni waroma katika karne ya 2 ambapo walitumia neno “Syria Palaestina,” kuhusiana maeneo chini ya himaya yao kusini mwa Syria (Holy Land). Karne ya 4 wakati mfalme wa Roman Empire Constantine the Great alipobatizwa, eneo hilo likawa kitovu cha Ukristo. Lakini ilipofika miaka ya 635 (or 638) Waislam chini Caliph Umar waliteka na kuanza kukalia Nchi takatifu. Utawala wa Kiislam ulimalizika baada ya Christian Crusaider walipoiichukua Jerusalem miaka ya 1099 au 1291.

Utawala wa Jerusalem na Holy Land kwa ujumla ulikuja tena kuwa chini ya Ottoman Empire (Uturuki) ambaye ni Muislam kuanzia 1516 mpaka baada ya Vita Kuu ya Kwanza ambapo Ottoman Empire ilipigwa na The League of Nations (Umoja wa Mataifa kwa Wakati Huo) ilipowakabidhi Waingereza Mamlaka ya kuitawala Nchi takatifu mwaka 1922. Wakati Ottoman empire inachukua Holy Land kulikuwa na Wajews 1,000

Kumbuka hapo mwanzo nilisema Nyumbani kwenye chimbuko lako ni kwako tu, ipo siku hali zikikulazimisha utarudi. Mazingira ya kwanza kuwafanya wayahudi waanze kurudi kwao ni ushawishi wa Sultan Suleyman wa Ufalme wa Ottoman akivutiwa na utaalam wao hivyo akawataka warudi ili kuimarisha uchumi. Hivyo kufikia karne ya 16 idadi ya wayahudi ikafikia 10,000. Mazingira ya pili ni Mauwaji ya Kimbari (Holocaust) waliofanyiwa na Wanazi. Wengi walirudi wakitokea Ulaya ya Mashariki.

Baada ya Uingereza kuona ugumu unaoletwa na Waarabu kufikia muafaka, ililirudisha suala hilo kwa Umoja wa Mataifa. Mwaka 1947 UN ilipiga kura na kupitisha Azimio (Resolution 181 (II) kuunda mataifa mawili yanayojitegemea moja la Waisrael (Jewish State) na la pili la Arab State, na kwamba Jerusalem ubakie Mji wa Kimataifa (Kitu kama hicho kimefanyika kwa NEW YORK ndiyo maana Serikali ya USA hata kama inaugomvi na Serikali yeyote ile, mfano Iran, bado hairuhusiwi kumzuia kiongozi wao kuja New York kwenye vikao vya Umoja wa Mataifa). Azimio hilo hilo. Waarabu kama ilivyodesturi yao wakaanzisha vurugu na kuwauwa wayahudi sababu ati Wayahudi walikubali mpango wa UMOJA WA MATAIFA wa kuruhusu wawe na State yao!!

Kiujumla waarabu hawakuwataka Wayahudi katika Holy Land. Mwaka 1948 Wayahudi wakajitangazia Taifa lao na Hapo Mataifa mengine ya Kiarabu yakaingia Vitani na Israel (Egypt, Jordan, Syria na Lebanon) Israel ilishinda vita hiyo na kujiongezea Eneo lao la nchi kutoka 56% mpaka 77% n ahata waliweza kuchukua West Jerusalem. Baada ya hapo UN ilisuruhisha na kupitisha Azimio 181 la kuzipa Jordan kusimamia/tawala West Bank na East Jerusalem na Egypt kutawala GAZA.

Waarabu hawakukoma kwani walirudi tena kuivamia Israel mwaka wa 1967 (Egypt, Syria na Jordan). Israel iliwapiga na kuchukua Gaza, Sinai, golan Heights, West Bank na East Jerusalem. Wakati Israel na Egypt ziliposaini mkataba wa Amani 1979, Waziri Mkuu wa Israel, Menachem Begin alitaka Gaza pia irudishwe kwa Egypt lakini Rais Anwar Sadat akakataa katakata akijua fika kuwa Waarabu wa Gaza ni Siasa Kali.

Israel ilibakiwa na Gaza mpaka mwaka 2005, wakati huo Waziri Mkuu akiwa Ariel Sharon akaamua wawarudishie wenyewe hiyo Gaza. Katika kipindi chote Israel imekalia Gaza kulikuwa na maendeleo sana. Kama ilivyo Zanzibar Israel ilipeleka Maji na Umeme tena BURE (Mpaka leo hawalipii). Mara baada ya Gaza kurudi kwa wapalestina, Ushetani wa HAMAS kuna wakati wakachimbua Mabomba yam aji (steel pipes) na kutengenezea Rockets za kuwashambulia Israel. Upande wa West Bank Kuna maendeleo sana kwani angalau upande ule kunatawaliwa na Fatah. Jambo moja ninaloweza kusema kuhusu west bank na jambo hilo Marekani na Nchi zote za Magharibi zinapinga ni uanzishaji wa Makazi ya Walowezi (settlers) wa Kiyahudi kwenye Maeneo ambayo kulingana na UN Resolution 181 (II) ya 1947 ni ya Palestinian Arabs.

Jambo linguine ni kuwa Waislam kama alivyo Baba yao wa Tangu zama hizo (Shetani Mkubwa ALLAH-Quran inaonyesha hivyo wala situngi someni) ni Waongo na mafundi sana wa Propaganda. Wanatuambia sisi Waafrika kuwa Israel na Makaburu (Apartheid State) kama walivyokuwa Makaburu Afrika ya Kusini, HUO ni Uongo Mkubwa. Israel state wako Jews na Arabs na wote wanahaki sawa kabisa (Elimu, makazi, Matibabu, kujiunga na Jeshi na hata kushiriki siasa) Je kitu kama hicho kiliwezekana wakati wa Utawala wa Makaburu??

Kumalizia naomba mtafakari, mkikumbuka mwazo wa Uzi huu. Kihistoria the Holy land ilikuwa nchi ya watu gani?- Taifa ya Israel ya Kaskazini, Taifa la Yuda na Wafilisti. Unamkumbuka Mfalme Nebuchadnezzar wa Babylonian, huyo aliwachukua Utumwani Waisrael ambao baada ya Miaka 70 walirudi nyumbani. Lakini pia aliwauwa na Wafilisti waliobaki aliwachukua Utumwani, ila tofauti na Waisrael, hawa hawakurudi tena nyumani kwao na badala yake wakachangamana na Phoenician na kupotelea utumwani. HIVYO WAKAZI HALISI WA HOLY LAND WAKABAKIA KUWA NI WAYAHUDI Tafadhali soma Amos 1:8, Ezekiel 25:16,17 Jeremiah 47:4 and Isiah 14:29 kuhusu uangamizo wa Philistines

Wito wangu kwa Waislam, Msipumbazwe na Upepo wa sauti za wengi zinazoendelea huko Duniani, maana ilikuwa ni Agenda ya Uislam wa Siasa kali kuvamia Ulaya kwa nia ya Kuutawala ulimwengu, na ndicho tunachoona kinatokea sasa hivi Amerika na Ulaya; Hata hivyo Neno la Mungu (Biblia Litasimama palepale). Kwa tunaosoma Biblia hatushangai kwanini Waislamu wanaonekana kuwa na sauti katika kusukuma jambo lao. Hiyo YOTE NI KWA SABABU BIBLIA INASEMA ULIMWENGU MZIMA UKO CHINI YA USHAWISHI WA SHETANI 1 John 5:19 na pia John 16:11 inamtambulisha Shetani kuwa kwa sasa ndiye Mtawala wa Ulimwengu huu.
 
Angalia hizi Screeshots za
1. Ramani ambayo Umoja wa Mataifa iliazimia kuwe two States za Jewish na Arab states mwaka 1947
2. Ramani baada ya Waarabu kuanzisha vita na baadae wakashindwa mwaka 1948
3. Ramani Baada ya vita vya 1967
Screenshot (40).png
Screenshot (39).png
 
Kwanza kabisa niwakumbushe tu Watanzania wote kuwa tumehamia Dar es salaam (kwa mfano) lakini kiukweli tunachimbuko letu kikabila, ambako bado tunahaki ya kurudi na halifulani zikilazimisha tutarudi.

Zama hizo kabla ya YESU kuzaliwa na miaka baada ya Yesu kuzaliwa Nchi takatifu ilikaliwa na Makabila 10 ya Waisrael (the Northern Kingdom of Israel), Makabila mawili ya waisrael (Judah & Benjamin) ikijulikana kama Ufalme wa Judah ambao Mji Mkuu wake ulikuwa Jerusalem. Hata hivyo upande wa Kusini mwa nchi takatifu maeneo ambayo sasa ni Gaza na Ashkelon lilikuwepo taifa la Wafilisti (Philistines); Mnamkumbuka Goliath aliyeuliwa na Mfalme Daudi. Jina hili Philistine walipewa na mwandishi mmoja wa Kigiriki.

Taifa la kwanza kutumia jina Palestine ni waroma katika karne ya 2 ambapo walitumia neno “Syria Palaestina,” kuhusiana maeneo chini ya himaya yao kusini mwa Syria (Holy Land). Karne ya 4 wakati mfalme wa Roman Empire Constantine the Great alipobatizwa, eneo hilo likawa kitovu cha Ukristo. Lakini ilipofika miaka ya 635 (or 638) Waislam chini Caliph Umar waliteka na kuanza kukalia Nchi takatifu. Utawala wa Kiislam ulimalizika baada ya Christian Crusaider walipoiichukua Jerusalem miaka ya 1099 au 1291.

Utawala wa Jerusalem na Holy Land kwa ujumla ulikuja tena kuwa chini ya Ottoman Empire (Uturuki) ambaye ni Muislam kuanzia 1516 mpaka baada ya Vita Kuu ya Kwanza ambapo Ottoman Empire ilipigwa na The League of Nations (Umoja wa Mataifa kwa Wakati Huo) ilipowakabidhi Waingereza Mamlaka ya kuitawala Nchi takatifu mwaka 1922. Wakati Ottoman empire inachukua Holy Land kulikuwa na Wajews 1,000

Kumbuka hapo mwanzo nilisema Nyumbani kwenye chimbuko lako ni kwako tu, ipo siku hali zikikulazimisha utarudi. Mazingira ya kwanza kuwafanya wayahudi waanze kurudi kwao ni ushawishi wa Sultan Suleyman wa Ufalme wa Ottoman akivutiwa na utaalam wao hivyo akawataka warudi ili kuimarisha uchumi. Hivyo kufikia karne ya 16 idadi ya wayahudi ikafikia 10,000. Mazingira ya pili ni Mauwaji ya Kimbari (Holocaust) waliofanyiwa na Wanazi. Wengi walirudi wakitokea Ulaya ya Mashariki.

Baada ya Uingereza kuona ugumu unaoletwa na Waarabu kufikia muafaka, ililirudisha suala hilo kwa Umoja wa Mataifa. Mwaka 1947 UN ilipiga kura na kupitisha Azimio (Resolution 181 (II) kuunda mataifa mawili yanayojitegemea moja la Waisrael (Jewish State) na la pili la Arab State, na kwamba Jerusalem ubakie Mji wa Kimataifa (Kitu kama hicho kimefanyika kwa NEW YORK ndiyo maana Serikali ya USA hata kama inaugomvi na Serikali yeyote ile, mfano Iran, bado hairuhusiwi kumzuia kiongozi wao kuja New York kwenye vikao vya Umoja wa Mataifa). Azimio hilo hilo. Waarabu kama ilivyodesturi yao wakaanzisha vurugu na kuwauwa wayahudi sababu ati Wayahudi walikubali mpango wa UMOJA WA MATAIFA wa kuruhusu wawe na State yao!! Kiujumla waarabu hawakuwataka Wayahudi katika Holy Land. Mwaka 1948 Wayahudi wakajitangazia Taifa lao na Hapo Mataifa mengine ya Kiarabu yakaingia Vitani na Israel (Egypt, Jordan, Syria na Lebanon) Israel ilishinda vita hiyo na kujiongezea Eneo lao la nchi kutoka 56% mpaka 77% n ahata waliweza kuchukua West Jerusalem. Baada ya hapo UN ilisuruhisha na kupitisha Azimio 181 la kuzipa Jordan kusimamia/tawala West Bank na East Jerusalem na Egypt kutawala GAZA.

Unaposema nchi takatifu unamaanisha nini!?
 
Wakati wanapewa hilo eneo la kaanan na kuambiwa hii ndio Itakuwa nchi yenu ya Ahadi hakukuwa na watu hapo? Huoni kama hao waliokuwepo kabla ya wao kuletwa( Abraham kuambiwa) ndio wenye eneo lao?
 
UMOJA wa MATAIFA wakati wanapitisha Azimio lao 181 (II) mwaka 1947 waliliita eneo hilo hivyo. Inaelekea ni kwa sababu linahusisha historia ya dini tatu zenye ushawishi duniani ( wakiristo, wayahudi na waislam) na ndyo maana Jerusalem waliipa hadhi ya Mji wa MATAIFA yote, ambao ulitakiwa usiwe chini ya either waarabu wala wayahudi
 
Wakati wanapewa hilo eneo la kaanan na kuambiwa hii ndio Itakuwa nchi yenu ya Ahadi hakukuwa na watu hapo? Huoni kama hao waliokuwepo kabla ya wao kuletwa( Abraham kuambiwa) ndio wenye eneo lao?
Unawajua hao ni akina nani? Wataje. Na unamjua aliyekuwa anawapa hiyo nchi ni nani? Wewe nyumba Yako utaacha watu wengine wakupangie watu wa kuishi humo?
 
Hakukuwa na nchi inayotwa Israel kabla ya 1948.
Kwani nani kawambia kulikuwa na nchi inaitwa Israel kabla 1948? Na Wala hakukuwa na nchi inaitwa Palestine kabla ya 1948. Na mpaka tunafika 1967 hakukuwa na state of Palestine. Bali kulikuwa na Jordan iliyo extend mpaka west bank, na Egypt iliyo extend mpaka Gaza. Kuanzia 1979 Egypt iliikataa Gaza kwa sababu ya siasa zenu kali za Kiislam
 
IMG-20231013-WA0039.jpg
IMG-20231013-WA0034.jpg
IMG-20231013-WA0031.jpg
 
NGOJA NIKURUDISHE KTK HISTORIA KIDOGO KUHUSU MGOGORO WA PALE ISRAEL

1.Around Mwaka wa 33 wa kuzaliwa Kwake Yesu anaondoka duniani.

2. Warumi wanaendelea kutawala pale Palestine/Israel

3. Miaka 70 baadae, Wayahudi Wanaasi dola ya Kirumi, Wanapewa kichapo cha haja, Hekalu linavunjwa tena. Wayahudi wanakimbia Israel wanasambaa dunia nzima.

4. Wapo Wayahudi wanaobaki hapo Israel wachache though, Israel inakuwa populated na Watu kutoka majimbo mbalimbali ya Rumi, wakiwemo watumishi wa serikali, Askari etc wafanyabiashara.

5. Vita kati ya Uajemi na Rumi vinaendelea karne na Karne, Wayahudi kwa kuwachukia Warumi wakawa wanaside na Uajemi, Hili lilisababisha Warumi wazidi kuwachukia na kuwachinja sana kadri walivyopata nafasi. Hadi population ya Wayahudi kuzidi kushuka mno ktk hilo eneo.

6. Around miaka ya 600 na ushehe kule Arabia inaibuka dola mpya ya Kiislamu, inapata nguvu. Inaipiga dola Rumi kule Palestine mnamo mwaka 638. Waislamu wanasafisha Lilipokuwa hekalu la Selemani baada ya Warumi kumwaga hapo Uchafu kwa miaka zaidi ya 200 ili kuvunja spirit za Wayahudi kuwa tumewaconquer na Hekalu lenu tunaligeuza dampo. Pia Waislamu wanatafuta Kaya mbalimbali za Wayahudi zilipokimbilia ili zirudi zirejee na kuishi tena Jerusalem.

7. Waislamu Wanatawala Jerusalem kwa amani sana kwa muda wa miaka 500, Population ya Wayahudi inaongezeka, business inasitawi.

8. Kule Ulaya dola za Kikiristu chini ya PAPA zinaona haiwezekani zisiwe na kauli na Ardhi takatifu ya Jerusalem. Wanaunda jeshi kubwa la Crusaders kwenda Israel/Palestine kwenda kuisafisha nchi dhidi ya "Waliomuua Yesu yaani Wayahudi" na kuwatimua wale "Mohammedans" yaani Waislamu wanaotawala nchi ya asili ya Yesu.

9. Wakiristo(Crusaders) wanafika kwenye hiyo nchi, Wanawashughulikia Wayahudi kwelikweli. Wanasema nyie ndo mlimuua Yesu, tena mkasema na damu yake iwe juu yetu. Kukazaliwa chuki kali mno kati ya Wayahudi na Wakiristu. Wayahudi wakarudi tena kwenye unyonge kama walivyokuwa nyakati za kipagani za Warumi.

10. Crusaders wakatawala hapo kwa mamia ya miaka, Akaibuka Jemedari Mmoja Kiislamu anaitwa Salahuddi Ayyubi ( Wazungu wanamuita Salladini) akawapiga hao Crusaders, Na kuwafukuza Middle east. Amani ikarejea, Na Wayahudi wakaendelea kupata protection tena

11. Dola ya Kiislamu ikaendelea kupanuka, Ikatia mguu hadi Hispania, Ni kipindi hiki Inajuliksna kama GOLDEN AGE OF JUDAISM/JEWS, Wayahudi wakawa wanashika post kubwakubwa ktk serikali za kiislamu, Theolojia yao ikapanuka, Marabbi wao wakubwawakubwa wakaandika kazi "masterpiece" ktk kipindi hiki, Mmoja wa Rabbi Maarufu anaitwa Maimonedes (Wayahudi wanamuita Musa wa pili). Huyu ni Rejea kubwa ktk maamuzi ya daily issues za Wayahudi. Aliishi kipindi hiki na anewahi kuserve kama Waziri mkuu ktk dola ya Kiislamu

12. Wakiristu wakaanza kuresist huko Spain, Wakafanikiwa kuwatimua Waislamu ambao waliitawala hiyo nchi kwa miaka takriban 800. Pia wakawatimua Wayahudi. Hivyo basi Waislamu na Wayahudi wakakimbilia kusini, hadi katika nchi za Morocco. Hiyo ndo sababu ya Wayahudi wengi kuwa Morocco na shombeshombe za Kizungu hapo Morocco( Mwarabu wa Saudia ni tofauti kimuonekano na hawa). Hawa kimsingi ni Waspaniola waliokuwa waislamu na Wayahudi.

13. Dola za Kikiristu kwa kuchangiwa na Industrial revolution pamoja na kuanza kujali sayansi, nazo zikaanza kuwa na wanasayansi wake akina Newton, Liebinitz, Gauss, etc. Gepu dhidi ya dola za Kiislamu sasa likaanzia hapa, na Mzungu/Mkiristu akaanza kugain power. Ila Antisemitism/Chuki dhidi ya Mayahudi iliendelea kuwa kubwa mno katika Ulaya, Yaani Myahudi alikuwa anaoneka siyo mtu

14. Wayahudi wakaamua kuanzisha Zionist Movement. Kama njia ya kuindoka Ulaya kurudi kwenye nchi ya Baba yao Ibrahim hukooo Jerusalem walipotimuliwa na dola za Kirumi na Crusaders before.

15. Ikatokea vita ya Kwanza ya dunia, Ujerumani na Ottomans walikuwa upande mmoja huku Ufaransa na Muingereza wakiwa Upande mwingine. Hapa ndipo game changer ya Zionist ikawaweka ktk influence. Baada ya Muingereza kuwa ktk hali ngumu ya kivita na kukaribia kupoteza Vita, Mazionists wakawaambia Waingereza kuwa wana uwezo wa kusaidia Uingereza ishinde hii vita lakini kwa condition moja. Nayo ni kwamba, Uingereza ikimpiga Ottoman kule Palestine itawapa hiyo nchi warudi huko. Muingereza akakubali.

16. Wayahudi wakatumia influence ktk nchi ya Marekani, kuishawishi Marekani iingie ktk vita dakika za mwishomwisho kuisaidia uingereza. Marekani akakubali, Na Muingerza akaweza kuturn the tide ya vita na hatimaye kumpiga Mjerumani na mwenzie Ottoman na kuitwaa Palestine/Israel

17. Kitendo hiki cha Wayahudi kuwa upande wa Muingereza kiliwauma mno wajerunani, na hiyo ikawa ni sababu ya chuki kali ya Wajerumani dhidi ya Wayahudi. Na Hitler ambaye alikuwa ni askari kijana ktk vita kuu ya kwanza aliona kuwa Wayahudi kama Wasaliti na hii ikawa ni chuki nzito iliyojengwa moyoni mwake dhidi ya Wayahudi.

18. Kweli Muingereza akaitwaa Palestine, akaanza kuruhusu makundi ya Wayahudi kutoka pande mbalimbali za dunia kurudi pale. Wayahudi walipoanza kuwa Wengi, Wenyeji wakaanza kustuka, yakaanza kutokea magomvi kati ya wenyeji. Uingereza ikawa inashirikiana na Wahamiaji kuwatia kibano wenyeji watulie

20. Baadae Uingereza ikasitisha kuruhusu wahamiaji kuendelea kuja Palestine, hili likawakasirisha wahamiaji, nao wakaanzisha vikundi vya kigaidi viitwavyo Irgun na Hagannah kushambulia Waingereza. Kuna wakati hoteli ya King David huko Israel ililipuliwa na vikundi vya kigaidi vya wahamiaji wakaua askari 90 wa Uingereza.

21. Waingereza wakaona isiwe shida, wakatimua, wakaacha power vaccuum, Wenyeji (Waarabu) na Warejeao/Wahamiaji wakawa wanatoana ngeu.

22. Leo hii dola za Uingereza na Marekani zinawalinda mno wayahudi pale palestine, Mosi ni project yao waliyoshiriki kuianzisha, pili Wayahudi wana influence kubwa za kiuchumi, kitekinolojia, kivyombo vya habari na hata funding za kisiasa kwa wanasiasa

23. Hii hali imeendelea mpaka leo ya ugomvi kati ya walioporwa ardhi na wahamiaji, na Wahamiaji ambao wanaacha nchi ambazo wameshajiestablish wanasema wanarudi ktk nchi yao ya ahadi

24. Ifahamike kuwa Wayahudi wanaobserve Torah wengi hawakubaliana na Style Zionists waliyotumia na wanayotumia kuishi hapo Palestine, wanasema Torah inssems kuwa Thou shall not steal, Though shall not Kill

25. Majority ya Zionists walioanzisha Zionist Movement hawaamini hata uwepo wa Mungu, ila kiujanja sana kwa kufahamu division za dunia za kiimani, hupenda kuexploit hisia za Wakiristo kuwa "Walipewa ile ardhi na Mungu"
 
Umeandika mambo mengi, hata mpangilio unamvuruga msomaji.
Katika Uzi wangu nimekuonyesha Toka mwanzoni chimbuko hasa la wakazi wa hilo eneo ; history can deny it. Katika history aliyerekodiwa kuhamasisha wayahudi kurudi kwao alikuwa sultan wa Ottoman Empire. Waislam unaowasema wewe caliphates sana sana walikuwa na lengo la kueneza Uislam na kufuta historia ya uyahudi na ukiristo. Huwezi ficha hiyo kwani hata kwenye mafundisho ya Quran na Hadith za Mtume ipo hiyo. Nitakutipia screenshot hapa chini. Pili unawapa lawama Moja kwa Moja waingereza kuwa walikalia holy land na kuwasaidia wayahudi kurudi na kuanzisha Taifa lao; Uongo. Walianzisha Taifa la Israel na pia kutaka lianzishwe Taifa la Waarabu na UMOJA wa MATAIFA 1947. Mm nimesoma website ya UN, wewe taarifa zako unapata wapi kama siyo sources zenu za kijahidina?
Kama kweli nyinyi Waislam mko genuine mkijua kuwa wote wayahudi na Waarabu mna chimbuko katika Palestine land kwanini hamkukubali Azimio la UN? Tatizo lipo kwenyeafundisho yenu Allah ameawapamdikizia chuki kwa Wakiristo na Wayahudi. Soma Hadith 2922 na Quran 19:29-31
Wayahudi waliukubali Azimio hilo la UN.
 
Waislael ni watu weusi walioko Africa ikiwemo wabantu sio Mimi Kwa mujibu wa kitabu kinachoitwa From Babylon to Timbuktu.
 
Unawajua hao ni akina nani? Wataje. Na unamjua aliyekuwa anawapa hiyo nchi ni nani? Wewe nyumba Yako utaacha watu wengine wakupangie watu wa kuishi humo?
Wakati wanapewa hilo eneo halikuwa na watu? Swali ndio liko hapo. Kama lilikuwa na watu basi huyo aliyewapa........... Au basi
 
Back
Top Bottom