Kikwete na Kinana wamtaka Kubenea na MwanaHalisi Kuomba Radhi kwa madai ya kuwalipa wanaopinga Mkataba wa Bandari

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana wamemwandikia Barua Saed Kubenea na Gazeti lake la Mwana Halisi wakimtaka kutimiza madai yao mawili ambayo ni 1. Kufuta Kashfa Dhidi yao na Kuomba Radhi 2. Kuahidi Kuacha Kuwakashifu kutokana na chapisho la kuwahusisha na kupinga Uwekezaji wa Dubai katika Bandari za Tanzania.

Kwa mujibu wa Barua ya Ofisi ya Mawakili ya Eric S. Ng'maryo Advocates, Kubenea na Kampuni yake hiyo wanadaiwa kuchapisha taarifa katika Gazeti Namba 413 Alhamisi ya Julai 20, 2023 mpaka 26 Julai likiwa kashfa zilizoelezwa kuwafedhehesha, kutweza na kuwashushia hadhi viongozi hao.

Aidha, barua hiyo imesema Gazeti la Mwana Halisi limechapisha taarifa kuwa Kikwete na Kinana wamekuwa wakiwalipa watu fedha ili waendelee kupinga uwekezaji wa Bandari.

IMG_2059.jpeg
IMG_2060.jpeg
IMG_2061.jpeg
IMG_2062.jpeg
IMG_2063.jpeg
IMG_2064.jpeg
IMG_2065.jpeg
IMG_2066.jpeg
 
Attachments

  • Document_Swahili_Version.pdf
    3.5 MB · Views: 5
Ifike wakati tuzungumze ukweli ,hasa kwenye masuala kama haya ambayo yanagusa wananchi moja kwa moja ,bila kujali utofauti uliopo kati yetu iwe kidini ,kikabila na kiitikadi. Kwanza kabisa lazima kila mtu aelewe kwamba nnachotaka kuzungumza hapa kitu ambacho wengi hawakijui, kiasi kwamba mimi mwenyewe sijui nataka kuongea nini.
Asanteni sana.
 
Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana, kupitia kwa barua ya mwanasheria wao, wameonesha nia ya kumshtaki Saed Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi kwa kile kilichodaiwa kuwa ni kuchapisha habari kwenye gazeti hilo kuwachafua.
---

Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana wamemwandikia Barua Saed Kubenea na Gazeti lake la Mwana Halisi wakimtaka kutimiza madai yao mawili ambayo ni 1. Kufuta Kashfa Dhidi yao na Kuomba Radhi 2. Kuahidi Kuacha Kuwakashifu kutokana na chapisho la kuwahusisha na kupinga Uwekezaji wa Dubai katika Bandari za Tanzania.

Kwa mujibu wa Barua ya Ofisi ya Mawakili ya Eric S. Ng'maryo Advocates, Kubenea na Kampuni yake hiyo wanadaiwa kuchapisha taarifa katika Gazeti Namba 413 Alhamisi ya Julai 20, 2023 mpaka 26 Julai likiwa kashfa zilizoelezwa kuwafedhehesha, kutweza na kuwashushia hadhi viongozi hao.

Aidha, barua hiyo imesema Gazeti la Mwana Halisi limechapisha taarifa kuwa Kikwete na Kinana wamekuwa wakiwalipa watu fedha ili waendelee kupinga uwekezaji wa Bandari.

1691608482082.png
 
Mh!
 
Back
Top Bottom