TAFAKURI: Utajisikiaje endapo utaambiwa Wazazi uliohisi wamekuzaa na kukulea kwa miaka mingi si wazazi wako halisi?

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,610
17,826
Katika pita pita zangu na tafakuri za hapa na pale kwenye kichwa changu.

Nikawaza kuwa itakuwaje endapo Utapata Taarifa kuwa wazazi ulionao/Waliokulea Sio wazazi wako halisi Huenda umekuwa ukijua kuwa ni wazazi wako kwa Takribani miaka 50s, 40s ,30s au hata 20s ya kuishi duniani..

Je, utaukubali ukweli au utaendelea kubishana na ukweli hata baada ya majibu ya DNA
 
IMG_20220920_161543.jpg
 
mbona fresh kabisa,kitakachouma ni historia ya wazazi wako halisi.kwamba either walikutelekeza ama walifariki wote.
 
Katika pita pita zangu na tafakuri za hapa na pale kwenye kichwa changu..
Nikawaza kuwa itakuwaje endapo Utapata Taarifa kuwa wazazi ulionao/Waliokulea Sio wazazi wako halisi Huenda umekuwa ukijua kuwa ni wazazi wako kwa Takribani miaka 50s, 40s ,30s au hata 20s ya kuishi duniani..

Je utaukubali ukweli au utaendelea kubishana na ukweli hata baada ya majibu ya DNA
Kwa hali ya kawaida tukiweka pembeni biology kuwa mzazi ni zaidi ya kutoa mbegu…..
Hivyo kuwa mzazi ni zaidi ya kuwa na uhusiano wa ki DNA …kufungua zipu na kutoa shahawa akuwezi kukufanya ukawa mzazi…ni zaidi ya hilo!

Kwa hiyo wazazi wangu ni wale wanao nihudumia katika hali zote na kama nimefika umri huu nikaambiwa kuwa huyu aliyenihudumia miaka yote nikamuone ni zaidi ya baba au Mama yangu wa DNA basi kwangu hiyo so called DNA ni takataka tuu….

Watu hawaunganishwi na DNA tuu…ndio maana vituo vya watoto wa mitaani vimejaa na wazazi wa DNA wana dunda tuu kwenye bar na vilabu vya pombe!
 
Katika pita pita zangu na tafakuri za hapa na pale kwenye kichwa changu..
Nikawaza kuwa itakuwaje endapo Utapata Taarifa kuwa wazazi ulionao/Waliokulea Sio wazazi wako halisi Huenda umekuwa ukijua kuwa ni wazazi wako kwa Takribani miaka 50s, 40s ,30s au hata 20s ya kuishi duniani..

Je utaukubali ukweli au utaendelea kubishana na ukweli hata baada ya majibu ya DNA
Watakuwa ni wajinga sana kama wamekuficha.

Uislam raha sana, ukimlea mtoto anabaki kuwa wa wazazi wake na anatakiwi asifichwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom