haki

  1. JamiiForums Tanzania Shirika la Haki za Binadamu laishutumu Tanzania 'kubana haki za kiraia'

    Shirika la Haki za Binadamu laishutumu Tanzania 'kubana haki za kiraia' ========= Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch (HRW) linasema mamlaka nchini Tanzania imeongeza hatua ya ukandamizaji dhidi ya vyama vya upinzani na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali kabla ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mabalozi wa nchi za Magharibi waliopo nchini watoa tamko kuhusu uzingatiwaji wa Uwazi, Haki na Usawa kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

    Ni dhahiri tupo kwenye usawa wa microscope ya tunaowaita "mabeberu". Figisu zote zinaonekana na zitaendelea kuonekana dhahiri kabisa dunia nzima. Muhimu ni kwa vyombo vilivyopewa dhamana kusimamia uchaguzi vizingatie uwazi, haki na usawa kwa vyama vyote na wagombea wote. Hakuna jiwe...
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais CCM hafai. Ametunyima haki ya kufuatilia hoja za Wawakilishi wetu Bungeni (Bunge Live)

    Mgombea huyu wa ccm miaka 5 aliyotumikia ikulu inamtosha. Katika miaka 5 hiyo amefanya mambo mengi ya kibabe yanayoenda kinyume na matakwa ya wapiga kura wake. Moja kubwa ambalo lililalamikiwa sana na watanzania wote ni hili la bunge kutooneshwa live (mubashara). Baada ya kelele nyingi sana...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwenu: ACT Wazalendo, CHADEMA na wote wapenda Haki, Uhuru na Maendeleo

    Mabibi na mabwana na hasa wapenda Haki, Uhuru na Maendeleo. Haki zetu, Uhuru wetu na Maendeleo yetu haviwezi kuwa sehemu ya mjadala wa kuwa tupewe au tusipewe. Hivi ndiyo vinavyotafsiri utu wetu kama binadamu. Hivi ni mali yetu na ni vya kupiganiwa na kulindwa kwa nguvu zetu zote. Ni heri ya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya CCM kutaka amani bila haki

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Nimefuatilia kauli takribani zote kuhusiana na uchaguzi mkuu zinazotokea katika chama hii kubwa. Si katika uzinduzi wa kampeni si katika walioongea katika kampeni au popote kuhusiana na uchaguzi 2020. Hakuna wanaposema neno 'haki'...
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuenguliwa kwa wagombea: Pemba wahimizana kuandika usia kabisa maana sasa wako tayari kwa lolote

    Katika hali inayoashiria uwezekano wa umwagaji mkubwa wa damu huko Zanzibar hasa kisiwani pemba, wananchi wa huko wakiwa na hasira kali kutokana na kuenguliwa wagombea wao, wamejiapiza kukabiliana na chochote kilicho mbele yao hata ikibidi kupoteza maisha yao. Wamehimizana kila mmoja kuandika...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

    Rais Mtarajiwa wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lissu, ambaye wachambuzi wa kisiasa wanamkadiria kujinyakulia zaidi ya 70% ya kura zote, leo tena anaingia kwenye viwanja vya Tanganyika Packers kuongea na wananchi. ===== LIVE FEED: MBOWE: HATUOGOPI TBC WALA...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Sera ya upinzani ingepaswa kuwa moja tu, kuondoa udikteta na kuruhusu Haki na Uhuru

    Nimefurahishwa sana na sera ya Chadema ya, uhuru, haki, na maendeleo. Ila binafsi ningependa kama ingeweza kusomeka, kuondoa udikteta, kuleta haki, na uhuru. Udikteta, kukosekana kwa haki na uhuru, ndo mambo yaliyokithiri kwenye utawala wa Magufuli kwa miaka mitano iliyopita. Kwanini uhuru na...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe: Tutaandamana nchi nzima kudai haki ya wagombea wetu walio enguliwa kwenye uchaguzi

    Anaandika mhe Zitto Kabwe kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba chama chake kitafuata taratibu zote za kisheria kudai haki pia wanaunga mkono tamko la mwenyekiti wa chama hicho pamoja mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA mhe Tundu Lissu kwamba lazima wananchi wafanye...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Leo nimeamini Mbowe mzalendo, Wahariri TBC wachukuliwe hatua kutangaza kinyume na sheria za utangazaji

    Mbowe mzalendo alianza kwa ku test uzalendo wa watangazaji TBC Kama anayoongea watarusha Live yaliyo kinyume na sheria za utangazaji. Kuna upande Kuna mtu Alikuwa akimwangalia kama aonyeshe je anasikika live? Yule mtu alitoa ishara ya Siri ya kuwa ndiyo. Akaona akiwakaribisha Lissu na Salum...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Hoja fikirishi: CHADEMA kwanini mnadai Uhuru wa Vyombo vya Habari huku mkivinyima haki, kufukuza na kuvidhalilisha!?

    Nasikitika kusema kwamba sera hii sasa inakosa mashiko kabisa kwa hiki kilichotokea leo hii. Ni ngumu sana kuamini watu wanao pigania Uhuru wa vyombo vya habari kushindwa kuwa wavumilivu na kuviacha vyombo hivyo vifanye kazi kwa Uhuru na utashi wao. Kama kweli CHADEMA inapigania Uhuru wa...
  12. JamiiForums Tanzania Hakuna amani kwa waovu na wasiotenda haki

    HAKUNA AMANI KWA WAOVU NA WASIOTENDA HAKI Tangu zamani za Biblia, watu walihimizwa KUTENDA HAKI ili wapate baraka na kibari kutoka kwa Mungu. AMANI huletwa na Mungu katika jamii au taifa na ni matokeo ya watu KUTENDA HAKI. Watu wakimuasi Mungu na KUACHA KUTENDA HAKI, Mungu huondoa AMANI...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Wajinga wanamwita kibaraka wa mabeberu. Wenye Wazalendo na wapenda Haki wanamwita mtetezi na kiongozi shupavu

    Ni vigumu kuelewa ukweli pale akili zinapokuwa zimefungwa kwenye nguvu ya itikadi. Moja ya kazi kubwa ya itakadi ni kupofusha ufahamu wa mwanadamu. Yesu alipokuja kuwakomboa wanadamu kutoka kwenye utumwa wa Shetani, mafarisayo, Masadukayo na miongozi wa dini walimtungia hila nyingi na kumpa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maelezo haya ya Devotha Minja yanasikitisha, Tume ya Uchaguzi tunaomba muingilie na mtende haki

    Yanayoendelea Morogoro, Mwaka huu hakuna kupita bila kupingwa. Pole sana Devota.#NiYeye2020
  15. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama NEC inabariki ubakwaji wa haki ya Msingi ya Wananchi ya kuchagua na kuchaguliwa basi wananchi wataanza kudharau chaguzi na hii ni hatari sana

    Tunasoma kila mahali, watu wanafanyiwa michezo ya ajabu kwenye uchaguzi, kuna vyama vinavyolalamika wagombea wake kutekwa, kuna vyama vinavyolalamika fomu zao kuporwa, kuna watu wanalalamika wakurugenzi kutokutoa ushirikiano, wengine wanalalamika ofisi za Taasisi muhimu za Uchaguzi kufungwa...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Ili kuondoa kelele za kutotendewa haki, nawashauri CHADEMA na ACT wekeni Mawakala kila Kituo ili kujiridhisha, Uchaguzi Mkuu ni huru na wa haki

    Wanabodi Declaration of Interest Naomba kuanza na ku declare interest kuwa mimi ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM ambaye ni muumini wa haki na demokrasia ya kweli ndani ya Bunge. Nautoa ushauri huu kwa dhati ya moyo wangu, licha ya ukada wangu kwa chama changu, CCM. Asiyekubali Kushindwa Sio...
  17. JamiiForums Tanzania Shibuda azua balaa! Awaambia viongozi wa Dini kuacha unafiki na kujipendekeza

    John Shibuda amezungumza kwenye Kongamano la maombi na maridhiano ya amani lililofanyika Mjini Dodoma. Shibuda amenukuu maneno ya baba wa taifa iliyosema 'watanzania hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya hayapo' au kutumia mbinu za kifalsafa za kuyafubaza lakini yapo. Anasema Rais...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Haki ndiyo inaleta amani

    Video hapa inajieleza
  19. J

    JamiiForums Tanzania Lema na Heche, msisahau kuwa Mohamed Dewji ni mwanaCCM na ana haki ya kuipigia kampeni popote alipo

    Nimewasoma Godbless Lema na John Heche wote wakiwa ni wanachama wa Chadema kule twitter wakimlalamikia Mohamed Dewji anayeimiliki klabu ya Simba (49%) kwa kuipigia kampeni CCM kwenye Simba Day. Nawakumbusha tu Chadema kwamba Dewji ni mwanachama halali wa CCM aliyezaliwa mkoani Singida pamoja na...
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni ‘mwanakulitafuta, mwanakulipata’. NEC tendeni haki, kama kavuruga mkateni kwa mjibu wa sheria, kanuni na utaratibu bila huruma

    Tundu lisu ni mwanasheria mzuri sana anajua lipi ni kosa kisheria na lipi si kosa kisheria Kama anajua kuwa kufanya maandamano ya shangwe na bashasha wakati wa musiba wa Mzee Mkapa si kosa kisheria basi atagombea Urais wa JMT Kama anajua kuwa kuidanganya mahakama kuwa hawezi kuhudhuria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…