Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.
Chanzo: TBC
My take: Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.
Maendeleo hayana vyama!
Mwaka 2015 slogan ya CCM ktk uchaguzi huo kama nakumbuka vizuri ilikuwa HAPA KAZI TU...
Hii ndiyo imekuwa mwongozo tangu wakati huo tangu walipotangazwa washindi na mpaka sasa ktk shughuli za kiserikali...
Baada ya miaka mitano, mwaka huu ni uchaguzi mwingine. Mpaka sasa binafsi kwa kweli...
Mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu anasema jeshi la polisi limefanya kazi nzuri katika maeneo yote aliyopita na kufanya kampeni.
Lisu anasema polisi wasisingiziwe kwa lolote kwa sababu wanafanya kazi yao vizuri.
Source Ayo tv.
Maendeleo hayana vyama!
Natoa ombi kwako Lissu ,Chadema wote na wapenda Haki wote.
Kwa kipindi hiki Cha kampeni wafundisheni na wapeni elimu ya kupiga kura vijana jinsi ya kupiga kura.
Kuna vijana wapya kabisa katika upigaji wa kura,Hawa wanaweza kuharibu kura kwa jazba ama hasira zao juu ya mgombea wasiompenda...
Jaji Mkuu mstaafu Mh. Barnabas Albert Samatta ameongelea ongezeko la uvunjifu wa haki za msingi za binadamu nchini Tanzania kuliko kipindi kingine chochote.
Amesema kuwa hivi sasa imekuwa ni kawaida kuona mtu akikamatwa na vyombo vya ulinzi na kuhukumiwa kwa tuhuma zisizokuwa na hoja yoyote ya...
Mgombea urais kwa tiketi ya CUF Prof. Ibrahimu Lipumba, amesema uchaguzi huu usiwe chanzo cha uvunjifu wa amani ya Tanzania.
Lipumba ametoa kauli hiyo leo septemba 24, mwaka huu kwenye mkutano wake wa hadhara wa kuomba kura katika uwanja wa changalawe uliopo mjini Kayanga wilaya ya Karagwe...
CHADEMA kupitia vikao halali kabisa vya kikatiba walimteua mgombea urais wao wa Zanzibar.
Lissu anahubiri haki lakini alipofika Zanzibar akaanza kumnadi Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo. Haki ya Mgombea wake akaitupa kwenye dustbin.
ACT-Wazalendo nayo inahubiri haki ikamteua Membe kuwa mgombea...
Wakuu; Kuna nguvu katika midahalo. Tusipuuze!
Ni wazi kwamba kila tukijaribu kuwasikiliza wagombea mbali mbali ni rahisi sana kugundua kuwa wametusahahu sisi kama wananchi wamekuja na ya kwao.
Na mara zote ya kwao si ya kwetu. Vipaumbele vyao si vyetu. Ni wazi kuwa ya kwao ni kwa faida yao...
Jaji Mstaafu Mathew Pauwa Mhina Mwaimu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora - THE COMMISSION FOR HUMAN RIGHTS AND GOOD GOVERNANCE (CHRAGG) anazungumza kuhusu uchaguzi huu wa 2020.
Jaji Mstaafu Mathew Pauwa Mhina Mwaimu aliteuliwa na Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli mwezi Oktoba 2019...
NEC hii inawahusu sana.....!!!!!
Hivi kabisa kabisa kabisa watanzania pamoja na tunu zetu zooooote tunakubali hili kwa gharama sifuri?
Mgombea yupo kwenye kampeni za kiti cha uongozi wa juu kabisa katika nchi hii anaahidi wapiga kura watarajiwa na wananchi kwamba, "Mkichagua upinzani sitaleta...
Baada ya Azam media kuonyesha mechi chache za ligu kuu bara msimu uliopita ambapo Azam wana haki ya kuonyesha mechi hizo. Wadau wa michezo wakawataka TFF kuwabana Azam ili watimize vigezo vya kuonyesha walau 90 % ya michezo yote itakayochezwa.
Wadau wa michezo walitegemea Azam media kuongeza...
Mama Tanzania nakupenda kwa moyo wote.
Serikali yetu imefanya kazi kubwa sana kujenga umoja na kudumisha amani na ustawi tulio nao chini ya misingi ya uhuru na haki na hii inatusaidia sana katika jitihada za kukuza uchumi wa taifa letu. Tusisahau kwamba hakuna maendeleleo bila amani na...
*Does it make any sense?*
Kuhusu Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu.
Na TUNDU Lissu
16.09.2020
Mbeya.
Andiko hili limetolewa kama ufafanuzi malalamiko ya CCM juu ya hoja za Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu.
Pia linafafanua juu ya maendeleo ya upendeleo katika utawala wa Rais Magufuli (nyumbani...
Azimio la bunge la Marekani liliotolewa tarehe 17/09/2020 lenye jina la "Urging the Government of Tanzania and all parties to respect human rights and constitutional rights and ensure free and fair elections in October 2020, and recognizing the importance of multi-party democracy in Tanzania."...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi isiwatishe bali ihakikishe uchaguzi unakuwa huru na haki ili kuwe na amani.
Kwanza amewataka wawarudishe wagombea wote wa CHADEMA walioenguliwa katika kinyang’anyiro...
Waziri wa mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kuwa tathimini iliyotolewa hailingani na uhalisia wa hali ilivyo Tanzania.
Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imetoa taarifa juu ya haki za binadamu maeneo mbalimbali Duniani na kuonesha...
Wakati Wagombea wengine wakiishiwa pumzi , Rais Mtarajiwa wa Tanzania Mh Tundu Lissu leo tarehe 12/9/2020 bado yuko Mkoani Morogoro akiendelea kuelimisha wananchi kuhusu madhara ya ukandamizaji na udikteta na kuichakaza ccm bila huruma
=========
UPDATES
Picha : Akiwa kazuiliwa na wananchi...
Wanabodi,
Naafuatilia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa live na Star TV kila Jumamosi asubuhi, kwenye kipindi cha leo, kutoka Mwanza, kinaongozwa na mkongwe, Doto Bulendu, na wageni wake waandishi wakongwe, Moses Mathew na Odero, na Dar es Salaam yuko Katibu Mkuu wa Jukwaa la...
Wapwa,
Sina mengi, hii ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa.
Ruge aliwahi kusema: "Ogopa Mungu na Teknolojia"
Toa maoni
CHADEMA, ACT Wazalendo na CUF wanahoji kwanini viongozi wa serikali hawapendi kutamka neno " Haki" na badala yake wamekuwa wakitamka Amani wakati wote.
Mimi nawauliza Mbowe, Zitto na Prof. Lipumba ndani ya vyama vyao wanahubiri haki? Na je vyama vyao vinatoa na kutenda haki? Na je madaraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.