TANGU Jumatatu ya Oktoba 19,2020 hadi hivi sasa ninapoandika andiko hili, nashindwa kuelewa wala kupata jibu stahiki juu ya kile ambacho vyama vya Siasa nchini Tanzania vinamaanisha pale vinapozungumzia HAKI.
Wagombea na wanachama, wafuasi, wapambe na mashabiki katika vyama hivyo hasa vya...
Amani ya nchi hii ilikuwa ya thamani mno kiasi kumtaka kila mmoja wetu kufanya yote yawezekanayo kuhakikisha kuwa hatutetereki lilikuwa si jambo la kupuuzwa.
Tume kwa kuendesha uchaguzi wa wazi na wa haki tu kungefanya mamlaka zote (hasa za kutumia mabavu) kubakia likizo.
Walishindwa waziwazi...
Habari iwe kwenu wakuu!
Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya watanzania kufanya maamuzi kwenye sanduku la kura , nimefuatilia kwa ukaribu sana kamapeni za wagombea mbali mbali na kilichonishangaza ni kushindwa wa wanachama, wapambe, viongozi na wagombea wa CCM kutamka neno haki kwenye kampeni...
Ukimsikiliza kila kiongozi ndani ya chama chetu cha CCM kuanzia kwa mgombea wetu John Pombe Magufuli na wengine wote hakuna anayetamani kugusia neno Haki katika mikutano yao kila mmoja anahubiri Amani tu, hii si sahihi.
Amani ni zao la HAKI, hebu tuichambue kauli hii au sentensi hii kwa undani...
ASKOFU AFIKISHA SAUTI YA HAKI KILIMANJARO
Tarehe 19 Oktoba 2020. Nikiwa na Mheshimiwa Freeman Mbowe (Mwenyekiti CHADEMA), Mheshimiwa Tundu Lissu (Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA), na Mheshimiwa Seif Sharif Hamad (Mgombea Urais Zanzibar kupitia ACT Wazalendo).
Ninaendelea na 'Missio...
Kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo Wanaomuunga Mkono Tundu Lissu wanavyojitokeza na kuzidi kuongezeka.
Mwangalie Sheikh Ponda Issa Ponda alivyotikisa Dodoma leo.
Video hii hapa
====
SHEIKH PONDA: WAISLAMU TUMEKUBALIANA TUTAMPIGIA KURA LISSU
Sheikh Ponda Issa Ponda amesema Mgombea wa Urais...
Tunaweza kuneneana uongo lakini siyo wa kiwango hiki. Kama kweli waziri wako alikujibu hivyo kama unavyosema hapa basi huwa hufuatilii mambo kwa undani.
Na kama ulijua hili ila ukaamua tu kuwaacha wanakawe wateseke kwa sababu tu unamchukia muwakilishi wao basi machozi ya watu kama walilia...
Mgombea urais Tundu Lissu ameendelea kusisitiza na kumtaka Rais Magufuli awaachie mara moja mashekhe wa Uamsho na mahabusu wengine waliofungwa kwa hila.
Tundu Lissu ameahidi ndani ya siku 100 za kwanza atakapo ingia madarakani ataawachia mashekhe wa Uamsho kwani kesi yao haina msingi wowote...
Taifa letu linasifika kote duniani kwa kuwa taifa lenye amani. Watu wanasema ukiuliza popote africa na nje ya Africa kuhusu tanzania utaambiwa ni taifa lililojipatia na kujizolea heshima kubwa duniani kupitia Mwl. Julius Kambarage Nyerere kwa kuwa taifa lenye amani na haki kwa watu wote kwa...
Imeandikwa kwenye Biblia takatifu, katika kitabu cha Mithali, sura ya 14:34 nanukuu kama ifuatavyo "Haki huliinua Taifa, Bali dhambi ni aibu ya watu wote" mwisho wa kunukuu.
Kwa maandiko hayo ya kwenye Biblia takatifu, maana yake ni kuwa huwezi kuitenganisha HAKI na AMANI na kwa maana nyingine...
Leo naandika tena kwa uchungu mkubwa nikiikumbuka Serikali yetu sikivu ambayo inajitahidi wakati huu wa kampeni kupita kila mahali kuomba kura kuwa ikumbuke dhulma iliyofanyika katika eneo la Chasimba inasikitisha mno.
Eneo la Chasimba linaulikana historia yake ambapo lipo chini ya Kiwanda cha...
Tupo ukingoni mwa zoezi letu la kupiga kura kwa kuchagua viongozi wataoweza kutuvusha katika miaka mitano mengine
Dhima ya kuingia kwenye uchaguzi ni wananchi kuchagua kiongozi wanaomfaa na kumchagua yupi ataeweza kuleta maendeleo.
Suala la kuchagua kiongozi sio jambo la mtu kulazimishwa...
Ufafanuzi huu ni kwa mujibu wa kifungu cha 57 (1) na (2) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, na kifungu cha 58 (1) na (2) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292
Chama cha siasa kinaruhusiwa baada ya kupata ridhaa ya Mgombea au Wagombea kuteua na kuwasilisha kwa...
12 October 2020, Index number: AFR 56/3051/2020.
1. EXECUTIVE SUMMARY
Tanzania has been independent since 1961 with President John Magufuli as the country’s fifth president, elected into office in October 2015.
On 28 October 2020, Tanzanians go to the polls in general elections. Under...
Kampeini kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 zimeanza rasmi tarehe 26 Agosti, 2020. Vyama vya siasa vitakavyoshiriki uchaguzi vimeanza kunadi ilani, sera na wagombea wao. Katika kampeini hizi. Wakati kauli mbiu ya CHADEMA ni “Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu”, ya ACT ni “Kazi na Bata”...
Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Umoja na utaifa ni tunu zitokanazo na kuzingatiwa kwa haki na uhuru wa watu. Hizi huakisiwa kimatokeo na hali ya amani na utilivu katika nchi husika.
Kutatizwa kwa umoja na utaifa ndicho adui akihitajicho kupenyeza chochote dhidi yetu.
Halahala na uchaguzi huu...
Akiwa mkoani Dodoma ambayo kwa asili ni ngome ya chama cha mapinduzi, Ndugu Lissu amefafanua kwa uzuri kabisa na kwa lugha rahisi kabisa ya kueleweka anamaanisha nini pale CHADEMA inaposema haki, uhuru na maendeleo ya watu.
Mheshimiwa Lissu ameelezea ukosefu wa haki kwa kutolea mfano chaguzi za...
Leila Sheikh mwanahabari na mtetezi wa haki za wanawake, wakati akishiriki mjadala wa waandishi wa habari uliotayarishwa na radio DW Kiswahili leo mchana ametoa matamko ambayo hata NEC wala viongozi wa CCM hawawezi kutamka moja kwa moja kuishambulia Marekani kwa kuitaja kwa jina zaidi ya kuishia...
Asemavyo Nyerere kuhusu Uchaguzi Mkuu wa 2020 katika kitabu chake cha "TANU na Raia"
Miezi nane kabla ya 9 Desemba 1962, siku ambayo Tanganyika ilitangazwa kuwa ni dola ya kijamhuri, yaani mwezi wa April mwaka 1962, hayati Julius Kambarage Nyerere aliandika kitabu chenye kurasa 8 kiitwacho...
Kuna methali ya kiswahili inasema mfupa wa kulazimisha ukivunja chungu. Kwa kila aliyefatilia hotuba ya Dr. Magufuli pale Tunduma atagundua kuwa CCM haikubaliki kama Chadema, mbaya zaidi ni kutokana na mgombea CCM inayomnadi, maana haaminiki tena kwa wananchi wa Tunduma, kwa tabia yake ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.