haki

  1. mama D

    JamiiForums Tanzania Uhuru, Haki na Maendeleo

    Mama Tanzania nakupenda kwa moyo wote. Serikali yetu imefanya kazi kubwa sana kujenga umoja na kudumisha amani na ustawi tulio nao chini ya misingi ya uhuru na haki na hii inatusaidia sana katika jitihada za kukuza uchumi wa taifa letu. Tusisahau kwamba hakuna maendeleleo bila amani na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu afafanua sera ya CHADEMA ya uhuru, haki na maendeleo ya watu

    *Does it make any sense?* Kuhusu Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu. Na TUNDU Lissu 16.09.2020 Mbeya. Andiko hili limetolewa kama ufafanuzi malalamiko ya CCM juu ya hoja za Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu. Pia linafafanua juu ya maendeleo ya upendeleo katika utawala wa Rais Magufuli (nyumbani...
  3. Cannabis

    JamiiForums Tanzania GE2020 Azimio: Bunge la Marekani laisihi Serikali ya Tanzania na wahusika wote kuhakikisha Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki

    Azimio la bunge la Marekani liliotolewa tarehe 17/09/2020 lenye jina la "Urging the Government of Tanzania and all parties to respect human rights and constitutional rights and ensure free and fair elections in October 2020, and recognizing the importance of multi-party democracy in Tanzania."...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu: Tume ikitaka amani, ihakikishe uchaguzi unakuwa wa haki

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi isiwatishe bali ihakikishe uchaguzi unakuwa huru na haki ili kuwe na amani. Kwanza amewataka wawarudishe wagombea wote wa CHADEMA walioenguliwa katika kinyang’anyiro...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapinga ripoti ya UN ya Tume ya Haki za Binadamu

    Waziri wa mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kuwa tathimini iliyotolewa hailingani na uhalisia wa hali ilivyo Tanzania. Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imetoa taarifa juu ya haki za binadamu maeneo mbalimbali Duniani na kuonesha...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Morogoro, ni operesheni Kata kwa kata

    Wakati Wagombea wengine wakiishiwa pumzi , Rais Mtarajiwa wa Tanzania Mh Tundu Lissu leo tarehe 12/9/2020 bado yuko Mkoani Morogoro akiendelea kuelimisha wananchi kuhusu madhara ya ukandamizaji na udikteta na kuichakaza ccm bila huruma ========= UPDATES Picha : Akiwa kazuiliwa na wananchi...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Uchaguzi, (NEC), Lawamani Kuwaengua Wagombea Kwa Hoja Nyepesi Nyepesi, Je ni Ukiukwaji wa Haki za Binaadamu? Jicho Letu

    Wanabodi, Naafuatilia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa live na Star TV kila Jumamosi asubuhi, kwenye kipindi cha leo, kutoka Mwanza, kinaongozwa na mkongwe, Doto Bulendu, na wageni wake waandishi wakongwe, Moses Mathew na Odero, na Dar es Salaam yuko Katibu Mkuu wa Jukwaa la...
  8. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Mwangalie Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Uchaguzi (NEC) kisha toa maoni yako

    Wapwa, Sina mengi, hii ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa. Ruge aliwahi kusema: "Ogopa Mungu na Teknolojia" Toa maoni
  9. J

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuipata " Haki" kwenye Siasa duniani kote. Siasa inatoa Amani, Haki hutoka kwa Mungu

    CHADEMA, ACT Wazalendo na CUF wanahoji kwanini viongozi wa serikali hawapendi kutamka neno " Haki" na badala yake wamekuwa wakitamka Amani wakati wote. Mimi nawauliza Mbowe, Zitto na Prof. Lipumba ndani ya vyama vyao wanahubiri haki? Na je vyama vyao vinatoa na kutenda haki? Na je madaraka...
  10. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini CCM hawataki Uchaguzi wa Haki na amani?

    Wataulinda utawala wao kwa nguvu za dola. Je, hawajiamini ushindani wa hoja? Je, wamefanya makosa mengi? Je, wamenyang'anya na kudhulumu sana? Je, wanaogopa kupandishwa vizimbani? Je, wanataka kupima nguvu za wananchi walio wengi ambao wapo wazi kuikataa CCM kwenye sanduku la kura? Je...
  11. babu M

    JamiiForums Tanzania Petra Diamonds imefunguliwa kesi katika Mahakama ya Uingereza kutoka na Ukiukaji wa Haki za Binadamu

    Hii hapa chini ni statement ya Petra diamonds leo asubuhi kwenye soko la hisa London(LSE) Petra Diamonds Limited ("Petra" or the "Company") Statement regarding allegations of human rights abuses at the Williamson Mine in Tanzania Petra Diamonds Limited states that a UK-based law firm, Leigh...
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wasiokuwa na chakupoteza wanapongezeka haki ndio kinga pekee

    Watu wenye mali kama nyumba, mashamba, magari, kazi, mifugo, viwanda, biashara kubwa na mali nyinginezo ni watu wenye uwezo mkubwa sana wa kuvumilia mambo, kutafakari na kusamehe. Idadi ya watu wa aina hii wakiwa wengi kwenye familia, mtaa, kitongoji, kijiji, kata, tarafa. wilaya, mkoa na nchini...
  13. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Haki na wajibu ni sawa na pande mbili za shilingi

    HAKI NA WAJIBU NI SAWA NA PANDE MBILI ZA SHILINGI. Na Elius Ndabila +255768239284 Neno "HAKI" limepata umaarufu sana, hasa vinywani mwa wanasiasa. Wanasiasa wengi hasa wa vyama vya Upinzani wamekuwa wakitumia msamiati huu na kuwaaminisha Watanzania kuwa nchi hii hakuna Uhuru wala haki. Leo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kura kwa mwananchi ni kuchagua Kiongozi mtenda haki na sio chama. CCM hawatendi haki

    CCM haifai kupewa kura na wananchi,viongozi wa upinzani mujikite kuwaeleza wananchi kuwa CCM imekosa viongozi waadilifu,waambieni kuwa CCM imevamia polisi,majeshi na vyombo vyote vya ulinzai na usalama ikiwemo mahakama. CCM inaingilia uhuru wa vyombo hivyo bila ya aibu mchana kweupe na...
  15. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Emmaus Bandekile akanyaga ardhi ya Zanzibar na kukemea hujuma na ukiukwaji wa haki katika Uchaguzi Mkuu

    Tarehe 7 Septemba 2020: Niliendelea kupaza sauti ili kutaka HAKI katika nchi. Nilionya na kutahadharisha kuhusu uwezekano wa kutokea kwa vurugu za kisiasa katika Visiwa vya Unguja na Pemba (Zanzibar) endapo Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) haitawarejesha Wagombea wa Upinzani walioenguliwa hasa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli akiwa Misungwi; Nimebaki mimi tu kwa sababu hamnipendi, hamjanipitisha bila kupingwa

    Dkt. Magufuli asubuhi hii amefanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Misungwi jijini Mwanza na kuwataka Watanzania tupendane. Dkt. Magufuli amewasihi wananchi kutobaguana kwa misingi ya chama cha siasa, dini au kabila kwa mustakabali mwema wa taifa letu. Kadhalika Dkt. Magufuli amewataka...
  17. Ghosryder

    JamiiForums Tanzania Hai: Mbowe kaongea kwa hekima kidogo wakati Magufuli akizindua Barabara Kilimanjaro

    Ni pale alipokuwa kwenye uzinduzi wa ujenzi wa barabara mkoani Kilimanjaro akiwa na Mhe. Magufuli,alisema, suala la maendeleo lisionekene au kuchukuliwa kuwa ni la siasa. Ni kweli kabisa kuna baadhi ya wanasiasa hasa wasioelimika, wengi wao huzuia miradi mingi ya maendeleo mfano ujenzi wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Amani ni tunda la haki, bila wagombea hakuna Uchaguzi Mkuu

    Tukielekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, tayari kumejitokeza viashiria vya kuvuruga na kuhujumu uchaguzi kunakofanywa na vyombo vyenye dhamana ya kusimamia uchaguzi na amani ya Taifa kwa maana ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) na Jeshi la...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kuna kiashiria kipi kwa uchaguzi huu kuwa wa haki na huru?

    Wana JF naomba
  20. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Amani na Haki uchaguzi mkuu 2020

    Swala la Amani uenda sambamba na Haki, katika uchaguzi huu swala la Amani linazungumzwa sana na viongozi wa kisiasa, viongozi wa ulinzi na usalama na viongozi wa kidini kila mahala lakini sisikii wakisisitiza haki. Haki na Amani viubiriwe kote...
Back
Top Bottom