haki

  1. J

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini: Fahamu kuhusu kusitishwa kwa ajira kusiko kwa haki

    Kusitisha ajira maana yake ni kumalizika kwa mahusiano ya kikazi baina ya mwajiri na mwajiriwa au mfanyakazi, kusitisha ajira kihalali, kuachisha kazi isivyo halali, kusitisha kazi kwa makubaliano, mwajiri kusitisha kazi, kuachishwa kazi, kuacha kazi, kustaafu, kuritaya, mwenendo mbaya wa kazi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Je, unazijua Haki za Mtoto ikiwa Wazazi wake wametengana?

    Kwa mujibu wa Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 kifungu cha 26 (1) inaeleza kuwa baada ya wazazi kutengana au kuachana (kwa kuzingatia masharti ya sheria ya ndoa) mtoto atakuwa na haki zifuatazo:- (a) Kuendelea kupata elimu bora aliyokuwa akiipata kabla ya wazazi wake kutengana au talaka; (b)...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya Demokrasia na Utetezi wa Haki za Binadamu aliyotunukiwa Tundu Lissu iwe neema kwa chama

    Chadema kwa muda mrefu imesemwa sana kwa kushindwa kujenga majengo yake Kama ofisi kuanzia ofisi ya makao makuu, kanda, mkoa na hata majimbo ya uchaguzi na kata. Nakubaliana na hoja kuwa ruzuku waliyo kuwa wanapokea kama chama isingeweza kujenga ofisi, kulipa mishahara ya wafanyakazi na kufanya...
  4. Amydiz

    JamiiForums Tanzania Je, mwanamke anayo haki ya kudai fidia kwa kuvunjwa kwa ahadi ya ndoa?

    Kwa mujibu wa kifungu namba 69 cha sheria ya ndoa, mwanamke anaweza fungua kesi ya fidia dhidi ya mwanaume aliyevunja ahadi ya ndoa dhidi yake.
  5. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

    Video hiyo hapo juu ni David McAllister - Deputy Chairperson of International Democratic Union (IDU) & Member of European Parliament akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkabidhi tuzo hiyo Mh. Tundu Lissu. Na katika video hii hapa chini Tundu Lissu akitoa neno la shukrani baada ya kupokea tuzo...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya kimataifa ya siku ya haki za binaadamu: Waandishi wa habari 42 wameuawa wakati wakitekeleza majukumu yao

    Ripoti mpya ya kila ya mwaka ya Shirikisho la Kimataifa la Waandishi wa Habari IFJ, lenye makao yake nchini Uholanzi, inasema waandishi wa habari 42 na wafanyakazi wa vyombo vya habari wameuwawa wakati wakitekeleza majukumu yao kwa mwaka huu pekee. Kwa mujibu wa ripoti hiyo iliyotolewa jana...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Desemba 10: Siku ya Kimataifa ya Haki za Binadamu

    Human Rights Day is observed every year on 10 December — the day the United Nations General Assembly adopted, in 1948, the Universal Declaration of Human Rights (UDHR). The UDHR is a milestone document that proclaims the inalienable rights which everyone is entitled to as a human being -...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya umeamua kukata misaada kwa Serikali ya Burundi kutokana na uvunjwaji wa haki za binadamu

    Umoja wa Ulaya (European Union) imetangaza kukatiza msaada wake kwa nchi ya Burundi kutokana na kile ilitaja kuwa ukiukwaji wa haki za binadamu.
  9. Sema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Malezi ~ Elimu juu ya haki na usawa kwa mabinti wa Msalala

    Tarehe 1 Disemba 2020 timu yetu ilipokelewa kwa bashasha na mabinti watatu kutoka shule ya Sekondari ya Nyikoboko mkoani Shinyanga. Mabinti hawa kwa majina yao ni Mengi Daudi, Helena Joseph pamoja na Mengi Lucas, wanafunzi wa kidato cha kwanza. Mabinti hawa walikuwa kati ya washindi wa shindano...
  10. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania Je, nina haki gani katika hili jambo wana JF?

    Habari za majukumu wana JF! naomba msaada wa kisheria nini hasa cha kufanya. Jana mida ya saa tano asubuhi, nilipokea sms kutoka vodacom ikiniambia kwamba kuna jambo kubwa sana la kisoka litatokea kesho (yani leo), mechi ya simba na plateau united watacheza. niliiamini sana hio sms ya vodacom...
  11. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Mamlaka zinazominya haki na Demokrasia

    Mamlaka zote duniani zinazofinya haki, uhuru wa kujieleza, uhuru wa kujumuika, demokrasia, nk hufanya mambo yanayofana kama vile: kutumia Majeshi na Idara za Usalama kuwadhibiti, kuwatisha na hata kuwatesa wapinzani, wakosoaji na watetezi wa haki; kutumia Idara za Usalama na pesa katika...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Japo mimi ni kada wa chama cha siasa na sio CHADEMA, ukada wangu, haunizuii kutoa ushauri kwa Chama chochote kukisaidia. Upendo wa kweli ni pale unapoona jirani yako ambaye ni kipofu, haoni mbele, anatembea na...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kanuni ya haki ya msingi haikufuatwa kuwafukuza uanachama Halima Mdee na wenzake 18

    Nimetafakari sana kisheria kuhusu kufukuzwa akina Mdee uanachama ninapata shida kidogo. Sina uhakika kama suala hili lilifanyika with due diligence. Hii ni kwa sababu kwa hali ya kawaida walipaswa waandikiwe barua ya mashtaka (kimaandishi)kuhusu makosa/tuhuma zinazowakabili na wapewe muda wa...
  14. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Baada ya Uingereza kuazimia kuiwekea vikwazo Nigeria juu ya uvunjifu wa haki za binadamu, Nigeria imeenda kuomba isamehewe

    Wiki chache zilizopita Nigeria ilikumbwa na maandamano ya kupinga ukatili wa jeshi la polisi maarufu kama #EndSARS ambapo Jeshi la Nigeria lilituhumiwa kuua watu. Bunge la UK Liliazimia kuwawekea vikwazo maafisa kadhaa wa Nigeria, jeshi la polisi na jeshi la ulinzi kwa uvunjifu wa haki za...
  15. Sijali

    JamiiForums Tanzania Maendeleo bila ya Haki na Sheria siyo maendeleo

    Habari Wanajamvi, Ili maendeleo yadumu, yaheshimiwe na yathaminiwe, ni lazima yaambatane na uadilifu, Sheria na Haki. Maendeleo yeyote yanayofikiwa kwa ukiukaji mkubwa wa haki za raia, ni rahisi sana kubomolewa, na mwenyewe aliyeyaleta kusahauliwa katika jaa la historia. Ipo mifano mingi...
  16. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Haya Mbowe ameitendea haki pasi aliyoletewa, sasa mpira upo kwako Maalim Seif

    CHADEMA wameona kama mbwai na iwe mbwai. Badala ya kutuliza wamerudisha huko huko Mpira ulipotoka. Na kwa Bahati umeangukia kwako Maalim Seif, tunasubiri tuone utafanyaje? Mpira unao wewe Sasa. Watazamaji wa Zenji na Bara wanasubiri kuona. Kazi kwako
  17. Nebuchadinezzer

    JamiiForums Tanzania Hujuma kubwa ajira za Serikali ya wanyonge

    Nachokizungumza hapa nina uhakika nacho asilimia 100% naombeni msinichukulie kama nalalia mlango wazi bahati za wengine. Kwanini mimi mwenye GPA ya 4.5 ya UDSM sijapangiwa shule japokuwa nina uwezo mzuri wa kufundisha? Huu ni mwaka wa pili nimekaa mtaani. Sawa, sijajitolea. Hebu fikirieni...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Tanzania kujitoa katika Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika

    Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (African Court on Human and Peoples' Rights) ni Mahakama ya Kibara iliyoanzishwa na nchi za Afrika ili kulindaHaki za Binadamu na za mataifa barani humo. Uamuzi huo ulichukuliwa naOAU huko Burkina Faso, mnamo Juni 1998 ukapata nguvu ya kisheria tarehe...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kwitega: Haki za Watoto sio hisani bali ni wajibu

    Katibu tawala mkoa wa Arusha Richard Kwitega ameitaka jamii kutambua kuwa haki za watoto sio hisani bali ni wajibu wao wa kutimiza haki hizo. Ameyasema hayo wakati alipokuwa akiongea na watoto , walimu katika maadhimisho ya kimataifa ya siku ya mtoto duniani yaliyofanyika leo Arusha School...
  20. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Wa Tigray Ethiopia wana kila haki ya kujitenga, ni kama Catalonia, White People wa South Africa

    Watu wa Tigray Ethiopia ni 6 % ya Waethiopia wote zaidi ya milioni 80, Lakini ndiyo wanaoIOngoza Ethiopia kwenye kila sekta, Uchumi wote wa Ethiopia uko chini ya Watu wa Jamii ya Tigray , hii economic miracle ya Ethiopia tunayooishuhudia ni sababu ya Tigray people Kiongozi Meles Zenawi...
Back
Top Bottom