haki

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mnyonge Mnyongeni, haki yake mpeni: Waziri Mbarawa alifanya kazi kubwa wakati wake!

    Wiki hii Rais Magufuli amekuwa anafungua miradi ya maji kutoka ziwa victoria, juzi jana na leo yuko Tabora..ni jambo la kweli kwamba kufikisha maji haya Tabora ni mafanikio makubwa kwa historia ya nchi yetu. Hata hivyo, kuna jambo hapa halipendezi, waziri ambaye alisimamia miradi hii hata kama...
  2. comte

    JamiiForums Tanzania Mafao na haki za Marais wastaafu wa Marekani ni balaa, wa kwetu hapa cha mtoto

    Reuters) - The impeachment proceeding against Donald Trump on a charge of inciting the Jan. 6 attack on the U.S. Capitol has fueled speculation online that he could lose some of the benefits extended to former presidents. But according to legal experts, under the laws currently in effect, Trump...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji, NIDA na RITA, mfungulieni Kesi ya Uhujumu Uchumi Diamond Platnumz kwa Kumiliki nyaraka fake za Serikali. Vitambulisho vyote anyang'anye

    Salaam Wakuu, Vyombo vya Serikali viache double standard. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimzawadia kofia msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz baada ya kutumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa nchi hii mko wapi? Simameni muwaambie akina Mwigulu Nchemba ukweli kuhusu haki katika sheria zetu

    Law is an art, na sisi kama Taifa katika Sheria tumerithi doctrines mbalimbali kutoka common law na hivyo suala la kujua Kiingereza (English) haliepukiki! Tanzania tunajenga utamaduni wa ajabu sana kwamba kama mtu fulani au kikundi fulani hakijui jambo fulani badala ya kuwekeza katika kujifunza...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu: Amani ya kweli haimaanishi kutokuwepo kwa fukuto au migogoro bali ni kuwepo kwa Haki kwa jamii

    Mama Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania amesema, amani inatokana na haki. Akizungumza wakati wa kufungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake (TAWJA) tarehe 24 Januari 2021, jijini Mwanza amesema, haki ndio msingi wa amani. “Mheshimiwa Jaji Mkuu sote unatambua...
  6. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ni Uchawi tu huo! Benard Morrison kimbia haraka kwa Mwamposa au kwa Kuhani Mussa Richard Mwacha ukaponywe hiyo ngiri ya kichawi

    " Benard Morrison yupo mbioni kufanyiwa upasuaji wa ngiri ambao utamfanya akae nje ya uwanja kwa muda wa miezi sita" . Vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania. Ukitazama maradhi ya Benard Morrison kwa jicho la Mshana Jr unaweza kusema kwamba Benard Morrison...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa acheni kuwaonea huruma watu wenye ulemavu bali wapeni haki zao

    Jana na leo kumetrend ' habari na picha ya Waziri Mkuu akitoa msaada kwa binti mwenye Ulemavu. Habari hiyo imenogeshwa na baadhi ya vyombo vya habari kwa kumuonesha Waziri Mkuu akilia kwa namna alivyopata uchungu kutokana na matatizo ya binti huyo. Tumeambiwa Mh. Rais pia amechangia kiasi cha...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu misingi ya utoaji haki

    Kwa kuzingatia utawala bora vyombo vinavyohusika na kutoa haki kama vile mahakama, mabaraza yenye asili ya mahakama, kamati za nidhamu na vyombo vingine vinavyofanya kazi zenye asili ya kimahakama vinapaswa kufuata misingi ya kutoa haki kama vile:- • Kuzingatia Katiba na sheria za nchi; •...
  9. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi baba mlezi ana haki kwa mtoto aliyemlea

    Wanajf naomba kuuliza hili suala je baba mzazi ana haki kwa mtoto aliyemlea was baba mwingine naomba wataalam washeria watujuze pia waungwana
  10. F

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima anafanya kazi nzuri. Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake

    Binafsi sina chama cha siasa na sijawahi kuwa mshabiki wa chama chochote cha siasa katika maisha yangu yote. Naomba niseme yafuatayo, kwanza sina chuki na kiongozi wowote wa aidha CCM au CHADEMA au chama chochote cha siasa. Nimefuatilia ziara na ufanyaji kazi wa waziri wa Afya Dr. Dorothy...
  11. TODAYS

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

    Upepo unapeperusha mawingu kwa taratibu na huwezi kujua kama mawingu yanasafiri, kumbe ni dunia ndiyo inazinguka kwenye muhimili wake. Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa vinasema Kyagulanyi alikubalika miongoni mwa wapiga kura vijana ambao ni 78% kulingana na watu wazima kwa asilimia...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyeingia nchini kinyume cha utaratibu (bila vibali) anaweza pata haki ya kudhaminiwa?

    Wadau naomba kujua ni utalatibu gani wa ki haki na kisheria unaoweza kutumika ili uweze kumsaidia mtu aliedakwa kwa kuingia nchini bila kibali Ahsante
  13. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Haki na majukumu kwa marehemu: Nani mwenye jukumu la kuzika maiti, yupi asiye nalo na kwa nini?

    Baba, Mama, na watoto wao wawili mapacha walioteketea kwa moto huko Kilimanjaro. Hivi, katika mazingira ambako mabaki ya mtu aliyekufa hayawezi kupata huduma za mazishi zinazotolewa na dini za kigeni kama vile Ukristo, Uislamu, Uhindu, na Ubuda, utaratibu gani wa kisheria unapaswa kutumika...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu: Ni ngumu kudai utawala wa demokrasia na haki za binadamu huku ukiwa ughaibuni

    Unapokuwa Mwanasiasa makini lazima uingie field ili uonje machungu ya kile unachoropoka mara kwa mara kuwa hakipo ili watu wajue kweli na wewe unapata machungu! Mtu yupo Belgium anazungumza habari za wakulima wa Mtwara na Katavi kukopwa mazao yao,hii inaleta sense? Unaposema mtakomaa ili...
  15. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Nawatakieni heri ya mwaka mpya 2021

    Bandugu, Heri ya mwaka mpya 2021, Mungu awatunze mfikie malengo yenu. Kama una povu siyo mbaya ukalimwaga Stay blessed.
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kuitwa 'wanyonge' ndio silaha hatari wanayoitumia viongozi ili wananchi wasitoke nje ya boksi

    Tangu kuchaguliwa kwa John Magufuli kuwa Rais wa Tanzania, msamiati wa "wananchi wanyonge" umeleta mjadala mkubwa sana kwenye medani za siasa hapa nchini. Rais Mwenyewe amekuwa kila mara akihanikiza kwamba yeye ni "Rais wa wanyonge" Ni nani hao watanzania wanyonge ambao kila mwanasiasa wa...
  17. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hivi Polisi wakikukamata wanatakiwa kukusomea haki zako?

    Wamarekani wana hii kitu wanaita Miranda warning. You have the right to remain silent. Anything you say can be used against you in court. You have the right to talk to a lawyer for advice before we ask you any questions. You have the right to have a lawyer with you during questioning. If you...
  18. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Makampuni Binafsi Tanzania Yananyima haki ya ongezeko la mishahara kwa mwaka na wanaondoa motisha ya mwaka kwa wafanyakazi!!!

    Wakuu, Hili ni bandiko la mshangao na masikitiko kwa sauti za wafanyakazi kutoka sekta binafsi zimeiga seriklali kutoongeza mishahara kwa asilimia 6%-10% kwa zaidi ya miaka mitano sasa, lakini hata motisha ya jumla kwa mwaka kwa wafanyakazi imeondolewa bila maadalizi ya kisaikolojia kwa watenda...
  19. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania RC Mongella marehemu Omela Wangwe hakupigwa na wananchi wenye hasira. Simamia haki ili waliomuua wakamatwe

    Ni mwaka sasa tangu marehemu Omela Wangwe auwawe kwa kupigwa na Mwanajeshi ndani ya ofisi ya kata ya Kahama wilayani Ilemela. Marehemu hakukamatwa kwenye tukio lolote, bali alipigiwa simu ili aje aeleze wapi alipata milango aliyokuwa anaiuza kama dalali na alikamatwa na watuhumiwa wanne na...
  20. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Watawala wa Tanzania, labda siku moja mtapenda mpewe haki ya kusikilizwa Mahakamani pia!

    Walioweka mfumo wa Mihimili 3 yaani Serikali, Mahakama na Bunge hawakuwa wajinga, walijua wanafanya nini na walikuwa na nguvu za Umungu lkn bado waliona umuhimu wa kuwa na Mahakama na Sheria kwamba kila Binadamu ana haki ya kusikilizwa na ndo maana hata wauwaji wanafikishwa Mahakamani na...
Back
Top Bottom