Haiingii akilini eti mtumie kura zetu tulizowapa kwa jasho na damu mkashibishe matumbo yenu. Eleweni kuwa sisi tulishaapa kuwa katu hatutotambua kile kilicholetwa kama matokeo! Hatutatambua watu wao wala matendo yao!
Niliyaona kwa macho yangu yale yaliyotokea. Leo unaenda kula kuku? Haiingii...
Ndugu zangu kuna maisha baada ya maisha haya, na kila mmoja wetu atasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu. Asilimia kubwa ya Watanzania ni wacha Mungu, ndio maana naomba sana tujibu swali hili kutoka kwenye vina vya mioyo yetu.
CCM ina watu wanaomcha Mungu na wengine ni Maaskofu Wachungaji...
Historia imethibitisha majeshi hayajawahi kuwashinda binadamu hata siku moja.
Napoleone Bonaparte na jeshi lake lenye nguvu alipoivaimia Urusi aliondoka kwa aibu baada ya warusi kuchoma nyumba zao na baridi kali likamfanya Napoleo atoke nduki.
Alipotekwa Mo Dewji tulimsikia rais JPM akisema...
IBARA YA 16:
(1)Wanaume na wanawake waliotimiza umri wa utu uzima, bila kujali uasili, uraia au dini wana haki ya kuoa na kuolewa na kuanzisha familia, wanapaswa kuwa na haki sawa katik ndoa.wakati ndoa inaendele au ikivunjika.
(2)Ndoa itafungwa tu pale wanandoa watakapokuwa wamekubali kwa hiari...
Akihojiwa na kituo cha habari cha Sauti ya Ujerumani, Jenerali ulimwengu amesema kuwa zoezi la uchaguzi mkuu halikuwa huru na haki na kwamba tangu mchakato wa upinzani uanze, wapinzani walitendewa mambo ambayo kimsingi ukiyaangalia siyo fair kabisa.
Jenerali amekumbushia kauli ya Magufuli...
Ninajua wasifu wa Prof. Joseph Mbwiliza kwa kina. Ni Muha wa Kasulu huko Kigoma na ni mmoja wa maprofesa wa mwanzo kabisa wa kutoka maeneo ya ziwa Tanganyika.
Mtoto wa mkulima aliyepata elimu yake huko Marekani. Alishika madaraka makubwa serikalini na kwenye siasa. Amewahi kuwa Mkuu wa Chuo cha...
The International Criminal Court (ICC) in The Hague, has confirmed receipt of two formal letters alleging human rights violations by the Tanzania government in the wake of the October 28 election and its aftermath.
The Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo), one of the main...
Binadamu wote wamezaliwa na haki sawa na uhuru wa kimsingi. Katika tamko la haki za binadamu, umoja wa mataifa umeeleza kwa lugha rahisi kabisa haki ambazo zinampasa kila mtu kuwa nazo na kwa usawa. Hizi haki ni zako. Haki hizi ni mali yako, zijue haki hizi, saidia kuzieneza na kuzitetea kwa...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la Swali, Gazeti la The New York Times, la Marekani, ambalo ni la tatu duniani kwa ukubwa, lasambaza uongo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze tuu au ni uongo tukanushe?
Kwenye bandiko hili, natumia kanuni ya...
Mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia CHADEMA, Aidan Khenan leo alikuwa wa kwanza kuomba kuuliza swali baada ya Dkt. Tulia Ackson kuomba kura kuwania nafasi ya wabunge kuchagua kuwa naibu spika.
Nalo swali lake lilikuwa kama ifuatavyo
========
Aida Khenan: Mheshimiwa spika nakushukuru, napenda...
Habari Wana JF,
Adhabu inasemaje kwa mtu ambaye amekamatwa na baadhi ya vitu vya wizi. Je, anatakiwa kulipa vyote au kurudisha hivyo alivyo kamatwa navyo?
Kisa kipo hivi, kuna mtuhumiwa alikamatwa na vitu vya wizi ye akadai aliuziwa lakini ushahidi ulikuwa unaonesha aliiba kesi ilikuwa ni ya...
Habari zenu waheshimiwa! Kwanza namshukuru Ghafuli kwa kutupitisha salama Oct 28 na nitumie fursa hii kuwapa hongera washindani wote na watanzania wenzetu waliotumia haki yao ya kwenda kupiga kura bila kujali mazingira yoyote walokutana nayo
Vilevile nitakuwa mtovu wa nidhamu kama sitawashukuru...
Hatimaye mwandishi wa habari na mwanaharakati huru wa Tanzania Maria Sarungi amethibitisha rasmi leo kupeleka ndani ya ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu.
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter amesema kuwa "Namshukuru Mungu kuwa hatimaye nimefanikiwa...
Jana kiongozi mkuu wa chama cha ACT-Wazalenda ndugu Zitto Zubeir Kabwe ameitisha mkutano wa waandishi wa habari na kuelezea mambo mazito ya ukiukwaji wa haki za binadamu wa kutisha uliofanywa na vyombo vya usalama huko Zanzibar.
Akieleza waandishi wa habari yaliyojiri, Ndugu Zitto alitoa...
Julai 2016, Baraza la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa (UN) lilitambua na kuweka wazi kuwa Upatikanaji wa Matandao ni haki ya msingi ya binadamu.
‘Internet’ ni moja kati ya namna ya kuongeza uwazi kwa kuongeza ushirikishwaji wa wananchi katika kujenga jamii inayojali demokrasia...
Kwanini mlizima intaneti nchi nzima? Kama mlishinda kwa haki na hamkuiba kura kwanini mlizima mtandao?
Je si ushindi wenu ulipaswa kuwa baraka na furaha kwa taifa sasa kwanini mligeuza ushindi wenu kuwa mateso kwa taifa?
Kwakweli kuishi Tanzania kwasasa inahitaji uvumilivu Sana.
Haki ikisimama watu wakafurahi wakakipata wakitakacho hakika mbingu huchekelea na ardhi husisimka kwa furaha miti huimba kwa shangwe iliyo kuu ikiusifu utukufu wa mungu nayo chi ya namna hii hujaa baraka tele ndiyo hali iliyoko AMERIKA MPAKA HIVI SASA
Mtafiti Mkuu Tanzania kupitia taasisi ya Redet Prof Mukandara amesema uangalizi wa taasisi yake umegundua uchaguzi ulikuwa huru na wa haki.
Prof Mukandara amesema 44% ya waangalizi wake wamesema uchaguzi ulikuwa huru na haki na haukuwa na hitilafu yoyote ile. Na 40% ya waangalizi wake wamesema...
Nimetafakari sana juu ya hii Serikali ya CCM inayodai ipo kwa ajili ya wananchi, hasa wanyonge. Na hakuna mtu anakaebisha kwamba Kigamboni kuna hao wanyonge wengi tu.
Sasa kwanini hawa wanyonge wa Kigamboni walazimishwe kutoa fedha kwa kutumia daraja la Nyerere kwenda Kigamboni? Tunajua kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.