haki

  1. JamiiForums Tanzania Maaskofu wamuasa Rais Samia Suluhu kuhusu haki na ustawi

    Maaskofu wamuasa Rais Samia kuhusu haki na ustawi MAASKOFU wa makanisa mbalimbali Tanzania wamempa ushauri Rais Samia Suluhu Hassan juu ya namna nzuri ya kuongoza nchi kwa haki na ustawi. Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Dar es Salaam wa Kanisa Katiloki, Mhashamu Jude Thaddeus Ruwa’ichi, Jumamosi...
  2. JamiiForums Tanzania Tutendeane wema, tuwe watu wa haki, tusidhulumu na kutumia madaraka vibaya

    Tuishi kwa wema maana dunia tunapita. Tuache unafiki tuwe wakweli tudumishe upendo na utu tuwe watu wa haki, tuache kiburi, ubabe, ulevi wa madaraka na kujikweza maana duniani tunapita. wengi walionewa waziwazi na aliejiona Mungu mtu akajiita kiongozi wa malaika na wengine wakamshangilia katika...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tundu Lissu mahojiano yake na KTN kuwasema vibaya Jomo Kenyatta na Moi hakuwatendea haki Wakenya

    Kwenye mahojiano jana na television ya Kenya ya KTN live akiwa Ubelgiji aliwaponda sana mzee Jomo Kenyatta na Daniel Arap Moi kuwa walikuwa madikteta akawapongeza wakenya kujitoa kwenye mikucha yao na kuwa vizuri sasa. Hakuwatendea haki .Naomba wakenya wenyewe rejeeni hayo mahojiano ni ukosefu...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali mmetunyima haki ya kumuombea Magufuli, kwa kutunyima taarifa za kuumwa kwake

    Rais Magufuli alikuwa muumini mkubwa wa maombi na kuombewa. Nna imani kabisa kama tungejulishwa kuhusu kuumwa kwake huenda wengi sana watanzania tungemuombea. Badala yake serikali kwa sababu wanazozijua wao, waliamua kuficha taarifa na ilikuwa ni dhambi hata kuthubutu kumuulizia Rais alipo...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, naona kuna haja ya kulitazama upya Fao la Kujitoa katika Mifuko ya Hifadhi za Jamii

    Poleni Watanzania. Kwako Mama Samia Suluhu, nakuomba sana uturudishie haki yetu iliyopotea ghafla ya fao la kujitoa NSSF. Nakuomba sana futa sheria kandamizi dhidi ya Wafanyakazi. Mtu anaacha kazi kafanya miakaa 15 au 20 halafu unakuja kumwambia asubirie mpaka afikishe miaka 55 au 60 je hii ni...
  6. JamiiForums Tanzania DC wa Temeke, Godwin Gondwe hayuko sahihi katika kufukuza wanafunzi, watu wa haki za watoto na Haki Elimu nategemea sauti yenu katika hili

    Gazeti la Mwananchi liliripoti kuwa shida ya Shule ya Msingi Toangoma ni uchache wa madrasa na wingi wa wanafunzi ambao automatically inakuwa ngumu kwa walimu kudhibiti tabia za wanafunzi. Since tatizo ni wingi wa wanafunzi kwa upande mmoja ambapo, mwanafunzi sio mkosaji in the first place...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Unaweza kufungua shtaka ikiwa Haki yako inakandamizwa

    Hii ni kwa sababu Katiba ya JMT inampa haki mtu yeyote anapohisi au kuona haki yake ya Kibinadamu imeathiriwa na mtu mwingine au chombo chochote au Sheria yoyote, anaweza kufungua shtaka au lalamiko kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga uwepo wa Sheria hiyo. Wapo watu binafsi walioweza...
  8. JamiiForums Tanzania Kanisa la Shetani laipeleka Serikali ya Texas Mahakamani kwa kuzuia haki yake ya kutoa kafara Watoto wachanga

    Tukisema tunaambiwa tunayo-andika ni conspiracy theories.Kama watu wanaweza bila aibu na woga kwenda mahakamami kutetea eti "haki yao ya kutoa watoto wachanga kafara," kuna jambo ambalo hawawezi kufanya kweli?Mimi naamini hakuna.Kiranga Yoda na wengine mnao-tetea kazi za Shetani, njoni msome...
  9. JamiiForums Tanzania NSSF mnanifanyia dhulma haki yangu

    Dhutous!- injustice (absence of Justice), or violation of right or of rights of another; unfairness; unjust act. Wapendwa, nilikuwa mwajiriwa katika moja ya kampuni za ujenzi hapa Dar es salaam. Ajira yangu ilikoma mwezi wa tisa 2020. Muda wote nikiwa kazini akaunti yangu ya NSSF haikuwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Shirika la haki za binadamu Tanzania, kuna haja ya kujipambanua

    Mimi Sio Mataga. Wasalaam ndugu zangu. Shirika la haki za binadamu ni muhimu sana hasa kwa nchi zinazokua na zenye demokrasia changa kama Tanzania Tanzania kumekua na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu; unafanywa na taasisi za serikali kwa sehemu kubwa pamoja na taasisi binafsi. Kwahiyo...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana fanyeni siasa za haki ili tawala zinapobadilika muendelee kuaminika

    Huu ndio ujumbe wangu wa Jumapili kwa vijana wa Tanzania waliopewa nafasi za kuwa viongozi, Tafadhalini sana, tafadhalini jamani, madaraka ni dhamana ya muda mfupi mno, jitahidini kutenda haki kwa mujibu wa Katiba ya nchi, mkifanya hivyo hata mwisho wa madaraka yenu hamtaishi kwa mashaka na wala...
  12. JamiiForums Tanzania Bila shaka tumepata picha kamili, uvunjifu wa haki huzalisha chuki ya kudumu

    Ukienda South Africa hii leo ukakutana na ndugu wa Steven Biko na ukafanya nao mazungumzo lazima watakuambia kweli kuwa kuna kovu kubwa ndani ya mioyo yao. Maana ndugu yao aliuawa bila hatia na utawala dhalimu wa makaburu. Tena aliuawa kifo kibaya. Huu ni mfano tu ambao unaonesha namna gani...
  13. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ametumia haki yake kikatiba kuhoji alipo mkuu wa nchi. Sio jambo jema kumshambulia kana kwamba amefanya kosa

    Tundu Lissu kama Mtanzania mwenzetu alikuwa na haki zote kuhoji alipo Rais wa JMT. Maana ibara ya 18 (b) imebainisha wazi kuwa mtanzania yoyote anayo haki ya kikatiba, kutafuta habari, kupokea habari na kushirikiana na watanzania wenzake kupata habari kwa manufaa ya taifa letu. Tundu Lissu ni...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Je, unazifahamu haki zako za kidigitali?

    Ingawa kila nchi ina muongozo wake wa Haki za Digitali, kuna miongozo ya jumla ambayo nchi zote zinafuata na ambayo ni: Ulinzi wa faragha na data Raia lazima wawe na udhibiti wa ni nani anayehifadhi data zao binafsi na kuweza kuzifuta wakati wowote wanapohitaji. Ufikiaji wa jumla na sawa...
  15. JamiiForums Tanzania Ninyi watu mliompiga Tundu Lissu mlifanya kosa kubwa sana. Hamuoni Taifa halina mtu wa kusema ukweli juu ya uvunjifu wa Haki za Binadamu?

    Tundu Lissu aliwahi kusema taifa letu linakwenda pabaya. Alisema huko magerezani kuna watu wanaoza kwa makosa ambayo hawajayafanya. Mbaya zaidi kuna watu wanapigwa na kuteswa na vyombo vya dola bila kufikishwa mahakamani. Tundu Lissu aliwekwa selo central Dar ea salaam hapo alikuta vijana...
  16. JamiiForums Tanzania Zuio la mahindi kwenda Kenya tusiwatupie lawama Wakenya. Nchi yao inayo haki kulinda raia wake

    Inashangaza sana kuona watu wanailaumu nchi ya Kenya kuzuia mahindi toka Tanzania kuingizwa nchini humo. Watu wengi wanailaumu Kenya kana kwamba haina mamlaka ya kulinda raia wake na mipaka yake. Kama mahindi ya Tanzania au nchi nyingine yamepimwa mamlaka husika za Kenya na kuonekana yana sumu...
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu: Wananchi tunataka haki ya kumuondoa mbunge asiyefaa kabla hajamaliza muda. Kwanini wana-CCM wasiopenda haki mnaipinga?

    Ni utaratibu mzuri tu ambao unatakiwa kuwekwa kwenye katiba ya JMT ili wananchi tusiporidhika na ahadi tulizopewa na mbunge tuliomchagua tuwe tuna uwezo kuweka azimio na likishapita huyo mbunge anatolewa kwenye nafasi hiyo na uchaguzi unaitishwa. Wabunge wengi wanaunga mkono sera na hoja ambazo...
  18. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya hamtutendei haki, kipimo cha COVID19 ni ghali sana

    Kwako waziri wetu wa Afya Dr. Gwajima. Sijajua sababu ilofanya hadi muweke bei ghari hivyo kuoata hichi kipimo kwa wanaosafiri, kipimo ni 235,000 Tsh. (100 USD) , hii sio sawa kiukweli mnatuumiza sana sisi wa vipato vya chini ambao tunapata visafari vya dharula katika kutafuta maisha, huu ni...
  19. JamiiForums Tanzania Mtajenga barabara, flyovers, madaraja na SGR lakini kama taifa halitoi haki kwa raia ni kupoteza muda

    Ni kweli watanzania wanataka maendeleo, hata kinachofanyika sasa kuendeleza miundo mbinu, sekta za afya na elimu ni muhimu. Ni kweli kabisa haya maendeleo ya kujenga Ma SGR, flyovers na madaraja yatawanufaisha wananchi. Lakini mnadhani wananchi watafurahia haya maendeleo wakati mioyo yao...
  20. JamiiForums Tanzania Rasimu ya katiba ya Warioba, ibara ya 54 inapendekeza raia kuwa na mamlaka ya kudai haki zilizoporwa. Hivi sasa ni uonevu mkubwa

    Rasimu ya katiba ya Jaji Warioba katiba ibara ya 54 imependekeza kuwa mahakama au chombo cha maamuzi kufanya maamuzi kwa kuzingatia haki na usawa na uhuru wa mtu binafsi Sheria za kimataifa kuhusu haki za binadamu zizingatiwe. Haki na maslahi ya jamii yazingatiwe. Kila mtu awe na haki ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…