haki

  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Haki na maendeleo havichangamani

    Wazungu waliendelea na kukusanya mitaji kwa kuvunja haki za watu wengi sana, na wanaendelea kuvunja haki za watu ili kuendeleza maendeleo yao na mitaji. Wachina, Warusi, Israel, Mzee Kagame na baadae JPM waliligundua hilo pia. Huwezi kujali haki za walipa kodi, watumishi, wanasiasa na...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. UPDATES: Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake. HOTUBA YA RAIS...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa hababari wamekuwa wabaguzi kuripoti habari za uvunjifu wa haki za binadamu. Ila wao yakiwakuta ndio midomo juu

    Kuna habari inatembea kwenye mitandao ya kijamii kuwa mwandishi wa gazeti la mwananchi huko Zanzibar amepigwa na kudhalilishwa na wana usalama huko Zanzibar. Inadaiwa maafande wa KMKM walimvamia na kumpa kichapo kisha kumtesa na kumlazimisha avunje simu yake aliyotumia kuwapiga picha wakati...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Akaunti za Benki za Mtandao wa Watetezi wa Haki Binadamu Tanzania (THRDC) zimefunguliwa baada ya kufungwa kwa takribani miezi 8

  5. B

    JamiiForums Tanzania Prominent COVID conspiracy theorist dies of virus

    Mabibi na mabwana yamesemwa mengi na hata yamerushwa matusi mengi. Uzuri ni kuwa wapigania haki za watu kuishi hawana tuzo wala utambulisho wanaotaka kibinafsi hapa duniani wala huko juu mbinguni. Hapa yupo mwingine alikuwa mshupavu kweri kweri: Wajameni haka kaugonjwa kana tabia mbaya ya...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania BAVICHA kutoa Sadaka Maalum Kanisani ili kumuomba Mwenyezi Mungu atoe hukumu ya haki kwa wote waliohusika kuwabambikia kesi wanachadema

    Baada ya kutembelea Magereza kadhaa za Kanda ya Nyasa na kujionea lundo la Wanachadema wanaozidi 100 waliolundikwa jela kwa uonevu kwa makosa ya Uongo ya mauaji , uhujumu uchumi, Madawa ya kulevya, ujambazi na Utakatishaji fedha, Ile Taasisi ya vijana inayoongoza Barani Africa kwa sasa...
  7. bahati93

    JamiiForums Tanzania Haki ni jambo la msingi kuliko maendeleo

    Asalamu watu wa jamii na jambo langu nataka niwe wasemeshe. Ni kuhusu HAKI. Haki ni kitendawili Kadiri upeo wa mwanadamu inavyoongezeka na ndivyo hivyo inakuwa ngumu kutegua fumbo hili HAKI ni nini, nani asimamie HAKI. Haki imekuwa ikifikiriwa na kutafsiriwa na jamii mbalimbali tangia zama za...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Haki ya kusahaulika katika mtandao

    Haki hii imeibuka miaka ya hivi karibu kutokana na maendeleo ya teknolojia hasa kutokana na uhalisia kuwa intaneti inakusanya taarifa nyingi za watumiaji wake Mataifa mengi yameanza kuitambua #Haki hii ambapo wananchi wake wana uhuru wa kuomba kufutwa kwa taarifa zao kwenye mtandao =====...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Utafsiri wa Sheria na hatma ya Haki nchini Tanzania

    MAKOSA YA JINAI YASIYO NA DHAMANA YANADHAMINIKA (Non Bailable Offences are Bailable) Obadia Kajungu, Esq. ADVOCATE. Dibaji (Forewords) Sisi wanasheria ndiyo kikwazo cha haki nchini Tanzania na hii ni kwa sababu tumeacha kuzitendea haki sheria kwa kushindwa kuzitafsiri sambamba na matakwa ya...
  10. Tito Magoti

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu hali ya haki jinai nchini

    Tito Magoti SUMMARY: Ni kuhusu vilio vya haki dhidi ya mfumo wa haki jinai nchini. Mheshimiwa Rais, licha ya uwepo wa misingi ya kitaasisi na kisheria katika uwanda wa haki jinai, bado kuna changamoto zinazotia doa suala la utoaji haki nchini. Barua hii inabainisha masuala machache ambayo kama...
  11. SULEIMAN ABEID

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina aibua bungeni sakata la tembo kuvamia kuua wananchi, ataka wafugaji walioshinda kesi Mahakamani watendewe haki warudishiwe ng’ombe

    MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema Jimbo la Kisesa Mkoa wa SIMIYU linachangamoto nyingi sana ikiwemo tatizo la uvamizi wa tembo ambao umekuwepo kwa muda mrefu bila kupata suluhisho la kudumu kutoka serikalini. Amesema wananchi wanavamiwa na tembo mazao yao yanaliwa yakiwa shambani na hata...
  12. Twilumba

    JamiiForums Tanzania Rais Mama Samia sema chochote kuhusu Bunge kuoneshwa LIVE

    Mama najua unapitapita kwenye mitandao ya kijamii direct au indirect. Kwa siku hizi 18 ulizokaa kwenye hicho kiti kwa kweli umeleta nuru kwenye sura za watanzania walio wengi ukiacha wale Kenge walio kwenye msafara wa Mamba. Pamoja na kauli nzuri za matumaini mpya nadhani Mama hujatamka...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kesi George Floyd: Inadhihirisha alivyosema Shaaban Robert kuwa Uanasheria ni elimu ya kupingana na haki

    1. Defense wanajenga hoja, wana create doubt kuwa kwa vile Floyd alikuwa anatumia madawa ya kulevya na alikuwa na magonjwa ya moyo, basi kifo chake kwa kiasi kikubwa kilichangiwa na matumizi ya madawa ya kulevya ma magojwa ya moyo aliyokuwa nayo na siyo kukosa hewa kulikosababishwa na...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Ni akina nani wenye haki ya kupishwa barabarani?

    Habari wadau! Kuna wimbi la madereva wa magari aina ya Land Cruiser kutanua barabarani huku wakiwasha vitaa vya vimwelu mwelu kuashiria wapishwe. Je, huu ni utemi? Na je, kina nani kwa miaka ya sasa wanaoruhusiwa kupishwa bila kuwekwa pembeni na trafiki polisi? Au ndio " unanijua mimi nani"...
  15. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI mjitahidi kutenda haki kwa Walimu wanaojitolea mashuleni

    Lengo la huu uzi ni kutaka tu kuwakumbusha ndugu zangu wa Tamisemi. Baada ya Mh. Rais kuiagiza Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kuajiri walimu 6000 kutokana na uhitaji ulio sababishwa na vifo na kuacha/kufukuzwa kazi kwa baadhi ya walimu, natarajia zoezi linalo fuata ni...
  16. msovero

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Acheni kuajiri kimya kimya, mchakato wa ajira 6000 za walimu ufanyike kwa uwazi

    Hivi karibuni mmebuni utaratibu wa hovyo wa kuajiri walimu kimya kimya kupitia mawasiliano ya simu za mkononi. Huu utaratibu sio rafiki hasa katika zama hizi za maendeleo ya sayansi na teknolojia ambapo utapeli wa mitandaoni umeongezeka, hivyo matapeli wanaweza kutumia mwanya huo kutapeli watu...
  17. Feld Marshal Tantawi

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

    Leo tarehe 1/4/2021 makampuni ya simu yamefanya mabadiliko makubwa katika vifurushi vyao. Wamepunguza vifurushi kwa kiasi kikubwa hasa vifurushi vya data, sitaweka hapa kifurushi kimoja baada ya kingine lkn kwenye mitandao yetu hilo lipo. Nenda kwenye menu tu nadhani utakutana na upuuzi wote...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa ndiye mwanasiasa pekee aliyemtendea haki hayati Magufuli, hakujipendekeza kiunafiki japo ni Mwanafamilia

    Binafsi nampongeza aliyekuwa mbunge wangu wa Iringa mjini mchungaji Msigwa kwa kutoyumba wala kuyumbishwa na siasa za kutamani madaraka. Pamoja na kufuatwa jela na Mwenezi Polepole na kulipiwa faini na wanafamilia bado mchungaji Msigwa alibakia kuwa mwanachama mtiifu wa Chadema. Nina imani...
  19. The golden

    JamiiForums Tanzania Kuna watu hawazipendi kabisa dhana hizi "Demokrasia" na "Haki"

    Watu wasiopenda demokrasia na haki ,huwashabikia na kuwatukuza sana watu wanaokandamiza haki na demokrasia. Kitu kimoja nataka kuwaambia watu wa aina hii ni kuwa; haki na demokrasia ndio ubinadamu wenyewe. Kwa asili binadamu aliubwa kama nafsi iliyo huru yenye utashi kamili. Ni nafsi inayojua...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Haki ya kupata taarifa za miradi ya maendeleo

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa haki kwa kila Raia kupata taarifa muhimu Kupata taarifa kuhusu mambo na mipango ya maendelo inayofanyika kwenye Halmashauri yake ni haki ya kila mmoja Kila Halmashauri inapaswa kuweka kwenye mbao za matangazo taarifa kuhusu fursa za uwekezaji au...
Back
Top Bottom