Msaada kwa wenye uelewa wa jambo hili.
Jamaa yangu amepanda gari la Super Feo kutoka Dar kuenda Songea asubuh, kufika Chalinze eneo la mlimani ajari ikatokea kati ya basi na boda.
Wakaja polisi gari ikageuza kurudi kituoni Chalinze ilikuwa ni saa tatu na dakika zake.
Tokea saa tatu mpaka...
Operesheni Haki ambayo imeingia Kanda ya Kati, kwa kuanzia na Mkoa wa Dodoma, sasa leo ni zamu ya Morogoro ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe atahutubia baraza la Mashauriano la Mkoa huo.
Kwa taarifa tu ni kwamba Tayari moto wa operesheni haki na Chadema digital ushaingia mitaani ambapo...
Wanabodi,
Kila siku za Jumapili, huwa ninaandika makala za "Kwa Maslahi ya Taifa", makala ya wiki hii ni kuhusu hoja ya "Haki sio hisani, ni stahiki".
Japo hakuna binaadamu yoyote anayefurahi kifo cha mtu yoyote, kifo chochote kinapotokea, kinahesabika ni mpango wa Mungu, na kama kawaida watu...
Inategemewa na vilevile kutumainiwa sana na kila mwananchi kuiona mahakama kama chombo kitukufu, kinachoaminika na chenye; weledi kiutendaji, chenye maadili, na mfano wa kuigwa kiuwajibikaji panapo hitaji hilo.
Pamoja na kuwa ni muhimili unaojitegemea, yanayoendelea kwa sasa kwa baadhi ya vituo...
Tafiti ndogo tu, yangu binafsi na isiyo na shaka kabisa niliyoifanya kuhusu jina la jiji letu kuu "Dar Es Salaam" na jina la soko letu kuu "Kariakoo" ninaihitimisha kwa ufupi (summary) hapa chini kwa kusema wanahistoria hususan wa hapa Tanzania hawayatendei haki hayo majina kwa kutuaminisha...
Kwa nini MWANAMKE aliye kwisha zaa anapewa nafasi ndogo sana ya kuolewa kuliko mwanaume mwenye mtoto?
Kabla hujamnyoshea kidole Mama mwenye mtoto ila hana mume kwanza jiulize mazingira ya yeye mpaka kukaa peke yake na mtoto.
Sio kila mwanamke mwenye mtoto bila mume basi ukajua alikuwa MALAYA...
Ukitaka kujua hapa Tanzania kubambikia watu kesi ni tatizo kubwa basi hudhuria mahakamani mara kwa mara.
Unaweza kusikia mtuhumiwa wa miaka 40 hati yake ya mashitaka ikitaja kuwa ana miaka 21. George Banoba akatajwa kuwa anaitwa Mohamed John. Hii yote tu ni waendesha mashitaka kulazimisha watu...
Kaandika hivi kupitia twitter:
Iundwe Tume ya Majaji itakayoongozwa na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa kupokea malalamiko ya Watu wote walioumizwa, kuteswa, kubambikiwa kesi, kuporwa Mali zao, kuuwawa, kutekwa, kupotezwa nk. Haki itendeke.
Ni ukweli ulio wazi ya kua Nchi yetu pendwa Tanzania ilikuwa inadidimia kwa kasi katika ktk suala la haki za raia wake. Mathalani ilikuwa imekua vigumu kwa watu kupaza sauti zao hata katika mambo yaliyo wazi kabisa kama wananchi kunyanyaswa, wafanya biashara kuonewa, wafanyanyakazi kutoongezewa...
Wakuu msituchoke, tuliahidi kuwafikishia kila kitu kitakachojiri kwenye ziara za Mkakati mpya wa CHADEMA inayoitwa OPERESHENI HAKI, hii ni kampeni ya kuchagiza upatikanaji wa Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi .
Baada ya kupita kwenye kanda kadhaa sasa imeingia kwenye Kanda ya Magharibi...
Awamu ya Tano ililaumiwa sana kuhusu kuminya Uhuru, Haki na Demokrasia. Katika kurejesha imani kuhusu "Haki", Rais wa Awamu ya Sita, Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akikemea watendaji wa Taasisi za kusimamia haki ili kuleta ufanisi. Matokeo yake kumekuwa na mabadiliko ya viongozi kwenye Taasisi...
Ijapokuwa Ole Sabaya anatuhumiwa kufanya uovu mkubwa wakati akiwa DC Hai, alipaswa kufunguliwa mashtaka ya jinai kortini. Kwa TAKUKURU kumweka mahabusu kwa wiki nzima ni kukiuka sheria za nchi yetu & kuendeleza tabia ya ukiukaji wa haki za binadamu ya vyombo vyetu vya usalama!
Amepokelewa na Bavicha Mkoa Wa Mwanza , ambapo taarifa zinaonyesha kwamba Mkakati wa Operesheni Haki utakuwa Kanda hiyo kwa muda wa siku 3 , Kuanzia Juni mosi mpaka Juni tatu .
Mungu ibariki Chadema .
WAPENDA HAKI HATUTAMCHAGUA DIAMOND PLATNUM
Na, Robert Heriel
Katika Tuzo za BET Diamond ni moja ya Wasanii wanaowania Tuzo hizo.
Wapenda haki, wanaharakati na Wana mtandao wote kuanzia Facebook, Instagram, JamiiForums, na Twitter Kama tulivyokubaliana hatutampa Kura Diamond Platnum na...
Salaam Wana JF,
Siku chache zijazo Rais Wetu Mpendwa Samia Suluhu Hassan atatimiza siku 100 madarakani, Kwa takribani siku 71 sasa, ambazo ameshika hatamu kama Rais wa nchi yetu tumeweza kuona mageuzi makubwa ya kimkakati, Kisera na kimfumo kutoka kwenye falsafa za uongozi wa mwendazake JPM...
MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Lee, ameuawa kwa kufyatuliwa risasi pamoja na familia yake huko Wonsan Korea ya Kaskazini baada ya kukamatwa akiuza Cd na Pamoja na Flash ambazo zilikuwa na filamu kutoka nchi Jirani ya Korea ya Kusini.
Lee pamoja na familia yake walipigwa risasi uwanjani...
Hii imelipaka matope makubwa sana jeshi la polisi hapa Tanzania.
Public figure anashambuliwa kwa masasi zaidi ya 33 mchana kweupe alafu hakuna uchunguzi wala kufungua jalada!
Kwa kauli yake mwenyewe mkuu wa nchi amekiri kuwa polisi wa Tanzania hawafanyi kazi kwa weledi. Hii ina maanisha kuwa...
Mapema leo, jeshi la polisi mkoani Shinyanga limevamia katika eneo ambalo Mwenyekiti wa Chama hiko alikuwa aweke jiwe la msingi ili kuzindua ujenzi wa ofisi za CHADEMA.
My take:
Nyani wapya msitu wa zamani
The Diplomat
Kwa siku kadhaa kumekua na Upotoshaji katika Mitandao ya kijamii kuhusu Tanzania kujitoa katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu, Suala ambalo halina ukweli wowote.
Jana Mei 27, 2021 Katika muendelezo wa kuonyesha ni kwa jinsi gani masuala ya Haki za Binadamu ni kipaumbele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.