Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mh Freeman Mbowe amesema yeye hajipendekezi kwa Rais wa JMT Mh. Samia bali anachotaka ni kuona HAKI inatamalaki nchini na wananchi wanakuwa na furaha.
Mbowe amesema hana sababu ya kujipendekeza kwa sababu CCM inatawala kwa miaka 60 sasa na viongozi wake ni wale wale...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea na mkakati wake mpya wa kudai haki kwa njia ya amani kwa kushinikiza uwepo wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , vikao vya ndani vishaanza kurindima huku na kule ambapo sasa vimetinga Mkoa wa Kilimanjaro , huku mashambulizi hayo...
Naona watu wanateuliwa kila kukicha...lakini hatuambiwi sababu au vigezo vya wao kuteuliwa. Hivi watz hatuna haki ya kujua? Why criteria za wakuu wa polisi zimewekwa wazi kwamba ni wale watakao dhibiti ujambazi...na hawa wengine ziwekwe wazi bhana..
Majuzi niliomba kuona waraka huu hapa hapa jamvini kwa bahati nzuri mdau mmoja kanitumia PM hapa nimeona kipengele cha 3.2.(i) si rafiki kwani kinamnyima stahiki zake mtumishi endapo mwajiri hatukuwa na busara kipengele kinasema
(I)malipo ya uhamisho hasa katika maeneo ya mjini yafanyike baada...
Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amesema Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) katika kazi yake anatakiwa kuwa na nia ya kutenda Haki akimtaja chujio la kwanza katika masuala ya Haki.
Pia amesema DPP amepewa wajibu wa kuzuia matumizi mabaya ya taratibu katika mfumo wa utoaji Haki na kuangalia...
Kuna Sheikh mmoja Mecca Saudi Arabia anaheshimika sana na ni mtu wa Mungu ana miaka 98. Hata ameshawahi kuja kwenye mashindano ya dunia ya Quran Tanzania na Magufuli kuhudhuria.
Huyu Sheikh alitabiri miaka ya nyuma Waarabu watakuja kupigana wenyewe kwa wenyewe na kutawanyika kama wakimbizi...
Ameandika hivi kupitia twitter:
Tumekusanya matokeo ya uchaguzi katika vituo vyote 336 vya kupigia kura Jimbo la Muhambwe. Kura zetu, 41% ya kura zote, haziwezi kutupa Ushindi. Uchaguzi uliendeshwa vizuri. Kasoro kadhaa zilizojitokeza zisingebadili matokeo. Tunatumia uchaguzi huu kama Mafunzo...
Binafsi nampongeza sana bi Nenelwa Muhambwi kwa kuteuliwa kuwa Katibu wa bunge la JMT.
Katibu wa bunge ndio kiungo muhimu kati ya bunge na serikali tuna imani utakwenda kutenda haki.
Kadhalika utawakuta wale wabunge 19 wa Chadema ambao ubunge wao una utata, Tafadhali kamshauri ipasavyo mh...
JINSI MAMA ALIVYOWAPIGA CHENGA YA MWILI WAPIGA KELELE WA MITANDAONI....
Baada ya Mama kutangaza kuwa angeteua hata wa upinzani kuitumikia serikali...vijana wa Chadema na ACT humu mitandaoni wakaanza kuota Ndoto za mchana..!!
Waliamini kuwa hao watakaoteuliwa toka upinzani basi watatoka vyama...
Mama kwa heshima na taadhima,kwanza nikushukuru kwa hatua uliyoichukua dhidi ya mkuu wa wilaya ya Hai mheshimiwa Sabaya, na kwa kuwa la Sabaya umesema lichunguzwe maoni yangu kuhusu yeye ninayaweka kando.
Ila mama nikumbushe kitu kimoja, umefungua mlango ambao haukupaswa kufunguliwa,ila tu kama...
Leo Krav Maga niliamua kujipa tu Kazi binafsi ya kupitia Maamuzi ya Uchunguzi ya waliowahi kuwa Viongozi Serikalini katika Tawala mbalimbali ili Kujiridhisha na hili la aliyekuwa DC wa Moshi Ole Sabaya.
Nilichokigundua tu ni kwamba kati ya Watu kama nane ambao Marais waliwasimamisha Kazi...
Ndugu zangu, niwape pongezi sana wale wote ambao walijitokeza kwa ujasiri na kuripoti manyanyaso waliyopitia!
Ukipita kwenye migodi na makampuni mengi sana sana zaidi ya 90% kuna uvunjaji mkubwa sana wa haki za binadamu kwa kisingizio cha Wenyeji "kuvamia au kuiba" kwenye maeneo hayo.
Mbaya...
Kutokuwa na Katiba madhubuti (Katiba ya Wananchi)
Kutoheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977
Sheria mbaya, zenye mapungufu au zilizopitwa na wakati
Uelewa mdogo wa Sheria, zikiwemo zinazohusu Haki za Binadamu
Kutofuata utaratibu wa Kisheria
Mapungufu ya bajeti katika Sekta...
Asalaam Aleykum Wasomaji wa JFs.
Kwanza nitoe pongezi za awali kwa Mh Samia Suluhu kwa namna alivyoanza kuongoza nchi yetu ambayo kwa namna moja ama nyingine ilikuwa unapoteza mwelekeo chini ya mtangulizi wake hayati Baba Dr John Josefu Magufuli.
Nasema pongezi za awali kwa kuwa ameonesha...
Jana nimemsikia Rais Samia Suluhu Hassan akidai kuwa ataanza kuteua nafasi za uongozi bila ya kuangalia vyama.Hilo halina ukakasi kwa mujibu wa sheria zetu ila kwangu mimi naamini kuwa hizo ni mbinu za kijanja janja za kurudisha utulivu wa kisiasa nchini baada ya ule uchafuzi wa wazi aliofanya...
Mama Samia, kama kweli umedhamiria kurudisha umoja wa kitaifa na kutibu majeraha yaliyotokana na uongozi uliopita, moja ya jambo linalostahili kufanyika ni kwa serikali yako kumlipa Tundu Lissu haki zake zote zikiwemo fedha za matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi.
Japo mini si kiongozi...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Mei 7, 2021 anatarajia kuzungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika mkutano utakaofanyika ukumbi wa Mlimani City na kuhusisha wazee takriban 900.
Hayo yameelezwa leo Alhamisi Mei 6, 2021 na mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge...
Askofu Mkuu Jude Thadeus Ruwaichi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam
Tarehe 01 Mei 2021, Kanisa Katoliki Duniani lilisherehekea sikukuu tatu kwa mpigo. Kuna kumbukizi ya miaka 130 ya waraka wa Papa Leo wa XIII uitwao “Mabadiliko ya Kimapinduzi (Rerum novarum),” kumbukizi ya miaka 30 ya waraka wa...
Mbunge Godwin Kunambi amesema jambo la utoaji wa Haki ni gumu na linahitaji umakini mkubwa kwenye maamuzi
Ameeleza hayo Bungeni ambapo amegusia Sheria za utakatishaji Fedha na Uhujumu Uchumi akisema zilitungwa kwa nia njema, lakini changamoto iliyopo sasa ni utekelezaji wake
Ameeleza, "Kuna...
Dkt. Oscar Kikoyo Ishengoma amesema Sheria ya Bima hususan kwenye makosa yanayotokana na ajali za barabarani ina matatizo makubwa.
Amesema, "Ukisoma hii Sheria, ajali inapotokea barabarani Jeshi la Polisi watapima, Kesi itapelekwa Mahakamani Hukumu itoke kisha Mhanga aiambitishe ili kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.