haki

  1. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

    "Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume PIA, SOMA: - CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima
  2. Mtafiti77

    JamiiForums Tanzania Fahamu PANOPTICONISM na jinsi inavyoweza kusigina haki na uhuru wa raia

    Kwa mujibu wa kamusi ya mtandaoni ya Cambridge, “panopticon” ni gereza ambalo vyumba vyake vimejipanga kimzunguko kiasi cha wakazi wake kuweza kuonekana kutokea katikati. Kwa kawaida katikati ya jengo hili kunakuwa na jengo mithili ya mnara kama ule wanaoutumia waongoza ndege. Ndani ya jengo...
  3. Mtafiti77

    JamiiForums Tanzania Fahamu PANOPTICONISM na jinsi inavyoweza kusigina haki na uhuru wa raia

    Kwa mujibu wa kamusi ya mtandaoni ya Cambridge, “panopticon” ni gereza ambalo vyumba vyake vimejipanga kimzunguko kiasi cha wakazi wake kuweza kuonekana kutokea katikati. Kwa kawaida katikati ya jengo hili kunakuwa na jengo mithili ya mnara kama ule wanaoutumia waongoza ndege. Ndani ya jengo...
  4. Dejane

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa na marafiki wa aina hii?

    Ushawahi kuwa na rafiki kila siku ana shida yeye, analalamika yeye tu akiwa na shida haraka kwenda. Rafiki anataka kukugeuza kama chawa wake hivi. Kukopa sasa pesa ndio usiseme Ulifanyaje ulivyokuwa na rafiki wa hivi muda wote analalamika anaona humtendei vyema tu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wapewa somo zito, CCM haiko tayari kutenda haki katika chaguzi

    ACT walidhani kuwa maadam wamo katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa huko Zanzibar, basi labda CCM wangeanza kuwatreat fairly. Lakini wakasahau kuwa CCM kimeshakuwa chama cha dhulma, kama kiliwadhulumu mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu n. k kitaendekea kuwadhulumu mpaka itokee nguvu ya...
  6. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Je, kesi ya kuchukua mlungula inayomkabili Mwanasheria Kishenyi haki itatendeka au ni yale yale?

    Je, kesi ya kuchukua Mlungula inayomkabili Mutalemwa Kishenyi Haki itatendeka au yale yale? Mnamo tarehe 23/4/2021 majira ya saa mbili usiku mwnasheria Mwandamizi katika ofisi ya mashtaka ya wilayani Babati mkoani Manyara alikamatwa akipokea rushwa ya shilingi milioni tano (5,000,000)...
  7. jeipm

    JamiiForums Tanzania Wajane na wagane wapewe haki kisheria kuosha maiti za wapendwa wao

    Hili Jambo nimekuwa nikilishangaa hasa kutokana na dini kupoka wajibu wa mke au mme kuosha maiti ya mwenzi wake, mkewe au mmewe pale anapopatwa na mauti. Kwa sababu ndoa ni agano la mme na mke(mwili mmoja) kwa hiyo mme au mke aliyefiwa na mwezie ndie awe na haki ya kumuosha mpendwa wake. Hii...
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mbowe aelekea Mwanza kuimarisha nguvu haki ya kudai katiba ipatikane

  9. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti mdogo nilio ufanya juu ya chaguzi za viongozi na uelewa wa wanainchi juu ya haki zao za kikatiba zinavo takiwa kutekelezwa

    Ndugu zangu habalini za wakati huu, poleni na majukum ya kulijenga taifa. Niende moja kwa moja ktk mada tajwa hapo juu Watanzania wengi hususani wa vijijini hawana uelewa wa haki ya kuwawajibisha viongozi wao ktk maswara ya haki zao za kikatiba zinapo shindwa kutekelezwa na viongozi walio...
  10. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Mgala muueni haki yake mpeni, na tusisahau baniani mbaya kiatu chake dawa

    Huu ndio muonekano wa Hospitali ya Uhuru iliyopo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma , Ujenzi wa hospitali ya Uhuru umegharimu kiasi cha Shilingi Billioni 3.9 (Milioni 3900). Ujenzi wa hospital ya uhuru ni agizo la aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli alilolitoa kwa kusema fedha...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuamke na tuache kuwakabidhi haki zetu wanasiasa

    Bado Tanzania ni nchi salama sana kuishi. Kwanini? Watu wake ni wapole na waliomtanguliza Mungu. Hata kwenye haki zetu huwa "Tunamwachia Mungu" na kuendelea na maisha kama kawaida tena kwa furaha. Tumeongezewa kodi ya ovyo inayoitwa kodi ya uzalendo/mshikamano lakini tuko fresh tu na kuanza...
  12. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia za kuchochea, mabadiliko kwenye Uchumi na Biashara, maendeleo ya jamii, uwajibikaji, Demokrasia, Sayansi, technologia na haki za binadamu

    Njia za kuchoche mabadiliko kwenye Uchumi biashara,maendeleo ya jamiii,uwajibikaji, Demokrasia,sayansi na Technologia,haki za binadamu. UCHUMI NA BIASHARA :Suala la uchumi linagusa Kila mtu hivyo serekali Ili kukuza uchumi kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa wananchi umuhimu wa...
  13. Manka leonce

    JamiiForums Tanzania Haki za binadamu

    HAKI ZA BINADAMU Hizi ni haki ambazo mtu anazipata mara tu anapozaliwa, na anaendelea kuwa nazo hadi kifo chake. Kwa maneno mengine, kitendo cha kuzaliwa ukiwa mwanadamu na si kiumbe kingine kinakupa moja kwa moja haki fulanifulani ambazo viumbe vingine havina. Kwa hiyo, haki za binadamu zipo...
  14. Manka leonce

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko kwenye nyanja za Uchumi, Afya, Biashara, Afya Maendeleo ya Jamii, Utawala Bora na Uwajibikaji, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia

    Serekali ya Tanzania ya awamu ya sita Ili kuinua uchumi wa Taifa kwanza linatakiwa kuwa utawala Bora siasa safi, Amani ya kwa wote usawa ,ukusanyaji wa kondi ,elimu Bora ,afya nk Uchumi: suala la uchumi linatakiwa liangaliwe kwenye jicho la karibu na elimu itolewe kwa walipa Kodi Ili kukuza...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuleta chokochoko za vurugu CHADEMA yapuuzwa Tanzania nzima. Operesheni Haki waliyofanya yaonekana ni batili

    Huu ndio ukweli wa mambo. Kama kuna chama kina gundu basi ni Chadema maana kila wanalogusa kwao linabuma. Kwa mkwara mzito walikuja na operation digital haki. Lakini ghafla bin vuu wakakengeuka na kudai kwa udi na uvumba wapo radhi kudai haki zao hata kwa kutumia majambia. Tafiti za kisayansi...
  16. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kisingizio cha kutuletea maendeleo isiwe sababu ya kutunyima katiba itayoleta haki kwenye Taifa letu

    Hivi kwa akili ya kawaida tu kuna tatizo gani kufanya implementation ya rasimu ya katiba ya Jaji Warioba kisha taifa likawa na katika ambayo itaondoa manug'uniko katika taifa. Kila kitu kipo tayari kimeshapikwa ni suala la kupakua tu na kuweka mezani. Rasimu ipo na ilishatoa mapendekezo...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania 0peresheni Haki yazaa matunda Zanzibar, matawi ya CHADEMA yaanza kuota kama uyoga

    Hili ni moja kati ya matawi mengi ya Chadema yaliyozinduliwa leo huko unguja , hapa ni Shehiya ya Kiungani , Jimbo la Nungwi . Mh Salum Mwalimu akizindua tawi jipya
  18. N

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Rais Samia Suluhu achague kutenda haki kwa kuwatumikia Watanzania masikini au kuwatumikia CCM

    Waraka huu wa kukushauri tu, ninavyowafahamu waislam ni watu wanaohubiri haki japokuwa swala ndiyo yenye nguvu kubwa ktk Uislam. Yalipo kwenye utangulizi wa waraka wangu , moja linabeba pepo na jingine jehanam. Kuwatumikia CCM wachache kwa maslahi yao ni sawa na mwislamu aliyesoma elimu dunia...
  19. comte

    JamiiForums Tanzania Sheria haiwezi leta haki hata kidogo: Mtu kakiri kuua lakini mahakama Kenya yamuona hana hatia

    Serial Killer Acquitted: Phillip Onyancha, who confessed to killing 17 people in 2010, has been acquitted of a murder charge by High Court. Onyancha led police to different towns where he committed heinous acts, decomposing bodies were found. -- A suspected serial killer facing three murder...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo: Siyo haki kutengeneza sanamu kama ishara ya kumkumbuka marehemu, ingejengwa taasisi ya huduma za kijamii

    Mbunge wa Musoma vijijini, Prof Muhongo amesema siyo kumbukumbu nzuri kumtengenezea sanamu marehemu au hayati na badala yake ni kheri fedha hizo zikatumike kujenga taasisi ya kuhudumia jamii kwa ajili ya kumbukumbu ya huyo anayetakiwa kukumbukwa. Chanzo: Tanzania Abroad tv
Back
Top Bottom