“Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu inafuatilia kwa ukaribu matukio ya hivi karibuni ya utekaji wa viongozi na wananchama wa CDM.” - Kamishna Dkt. Solomon Ayele Dersso.
WanaJF salaam,
Naitwa Dayone, kitaaluma mimi ni mwalimu na karibu tujadili mfumo wa elimu yetu na jinsi elimu ilivyo na thamani kubwa kwa watoto wetu wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Nchi yetu kwa sasa ina tatizo kubwa sana la ukosefu wa ajira kwa vijana hasa wahitimu wa vyuo mbalimbali...
Kuna hoja imeibuka hapa hasa baada ya mzigo wa chanjo kuwasili.
Kwanza niseme tu kwamba iwapo chanjo ya COVID itakuwepo na nikapewa taarifa sahihi na fursa ya kuchanjwa na mimi mwenyewe nikawa na sababu na uwezo wa kwenda kuchanjwa basi nitaenda kuchanjwa. Hivo andiko hili halilengi kukebehi...
Nampongeza Rasi na Waziri wa Afya kwa kufanikisha upatikanaji wa chanjo ya covid 19 angalau dose 1,000,000 sio haba. Kwa kuwa kila Ofisi ya Umma huanzishwa kwa mujibu wa sheria/Katiba na kwa kuzingatiakuwa kila Kiongozi huapa kuilinda, kuihifadhi na kuitetea Katiba ya Tanzania ya 1977...
Baraza la Haki Za Binadamu la Umoja wa Mataifa mwaka 2016 lilitambua Intaneti (Internet) kuwa ni Haki ya kila mtu.
UN inatambua, kila mtu ana Haki ya kupata na kutumia Intaneti bila ya kujali kipato chake, eneo alilopo na hali yake ya mwili (ulemavu au la).
Hata hivyo Jamii Forums...
Wakuu naomba kuuliza hili swali?
Mtoto wa nje ya ndoa anaweza kurithi mali ya mama yake aliyefariki akiwa ndoani na baba mwingine? Ikiwa baba ndio aliwakuta mtoto na mama wanajitegemea
Iko hivi wakuu
Ikiwa mama anaishi na mtoto wake baada ya baba mtoto kufariki, wakawa na maisha yao ya...
Mbunge ni kiongozi anayechaguliwa na wananchi ili akawawakilishe Serikalini badala yao.
Moja ya haki yake kuu ni kuwatetea wananchi na sio Serikali.
Hivyo basi mbunge anapogeuka na kuanza kuitetea Serikali huku wananchi wake anawasaliti hapo anakuwa amevunja haki zake na kuusahau wajibu wake.
Nimeona tamko la Dk Hosea Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika.
Anatetea uhuru wa kujumuika hata baada ya Rais kutangaza hali ya hatari katika sekta ya uchumi na kwa sababu hiyo kusitisha kwa muda haki ya kujumuika katika mikutano ya hadhara.
Dk Hosea hajajipambanua vema. Hivo, napenda...
Najua kifo ni mtihani na ni neno linalo leta hofu.
Lakini Nina swali moja nakosaga jibu.
Najua wengi tumekutana na watu/ndugu/jamaa/rafiki ambao wapo kwenye wakati mgumu hasa katika hali ya kuugua.
Kua na matatizo ya kiafya ya muda mrefu, yanayo watesa na kuwakatisha Tamaa kwa kua hakuna...
Kuna thwawabu kubwa kwa wote wasimamao kuipigania haki kwa ajili ya wote. Kwa maana njia hiyo si kila mtu anaweza kuipita.
Njia hii si lazima kwa kila mtu kuipita. Waipitao njia hii ni wale tu walio na wito kamili. Kama ile iendayo uzimani, ina vikwazo vingi.
Kipi ambacho kamanda Mbowe...
Ninaposema HAKI namaanisha Mungu.
Mungu hujiita haki au mwenye HAKI. Is.45:21
Sisi wananchi wanyonge tunakupenda , ila tutakapohisi haki imekiukwa mahali fulani na wewe kama kiongozi umekaa kimya kwasababu zako binafsi tutamwita mwenye haki aupime utawala wako kisha akiona kuna haki aendelee...
Biashara yoyote huweza kutumia mtandao kupata wateja. Wanaotangaza biashara mtandaoni wanapaswa kutambua Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) inaambua haki ya faragha ya mlaji
Faragha ni pamoja na kutosambaza taarifa za mteja wako bila makubaliano naye. Tangaza biashara yako bila kuanza...
"Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume
PIA, SOMA:
- CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima
Kwa mujibu wa kamusi ya mtandaoni ya Cambridge, “panopticon” ni gereza ambalo vyumba vyake vimejipanga kimzunguko kiasi cha wakazi wake kuweza kuonekana kutokea katikati. Kwa kawaida katikati ya jengo hili kunakuwa na jengo mithili ya mnara kama ule wanaoutumia waongoza ndege. Ndani ya jengo...
Kwa mujibu wa kamusi ya mtandaoni ya Cambridge, “panopticon” ni gereza ambalo vyumba vyake vimejipanga kimzunguko kiasi cha wakazi wake kuweza kuonekana kutokea katikati. Kwa kawaida katikati ya jengo hili kunakuwa na jengo mithili ya mnara kama ule wanaoutumia waongoza ndege. Ndani ya jengo...
Ushawahi kuwa na rafiki kila siku ana shida yeye, analalamika yeye tu akiwa na shida haraka kwenda.
Rafiki anataka kukugeuza kama chawa wake hivi. Kukopa sasa pesa ndio usiseme
Ulifanyaje ulivyokuwa na rafiki wa hivi muda wote analalamika anaona humtendei vyema tu.
ACT walidhani kuwa maadam wamo katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa huko Zanzibar, basi labda CCM wangeanza kuwatreat fairly.
Lakini wakasahau kuwa CCM kimeshakuwa chama cha dhulma, kama kiliwadhulumu mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu n. k kitaendekea kuwadhulumu mpaka itokee nguvu ya...
Je, kesi ya kuchukua Mlungula inayomkabili Mutalemwa Kishenyi Haki itatendeka au yale yale?
Mnamo tarehe 23/4/2021 majira ya saa mbili usiku mwnasheria Mwandamizi katika ofisi ya mashtaka ya wilayani Babati mkoani Manyara alikamatwa akipokea rushwa ya shilingi milioni tano (5,000,000)...
Hili Jambo nimekuwa nikilishangaa hasa kutokana na dini kupoka wajibu wa mke au mme kuosha maiti ya mwenzi wake, mkewe au mmewe pale anapopatwa na mauti.
Kwa sababu ndoa ni agano la mme na mke(mwili mmoja) kwa hiyo mme au mke aliyefiwa na mwezie ndie awe na haki ya kumuosha mpendwa wake.
Hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.