Rais Samia ni Mtiifu wa Haki, Demokrasia na Mwanamapinduzi wa sera za uchumi wa watu

Deogratias Mutungi

Senior Member
Oct 1, 2019
137
179
Salaam Wana JF,

Siku chache zijazo Rais Wetu Mpendwa Samia Suluhu Hassan atatimiza siku 100 madarakani, Kwa takribani siku 71 sasa, ambazo ameshika hatamu kama Rais wa nchi yetu tumeweza kuona mageuzi makubwa ya kimkakati, Kisera na kimfumo kutoka kwenye falsafa za uongozi wa mwendazake JPM, Katika Sayansi ya siasa tunasema "Nyuzi Joto la Kisiasa nchini limeshuka na linavutia Wananchi bila kujali afya zao" Hata hivyo Kimantiki na Kitakwimu kwa utendaji wa Rais Samia hadi sasa tunaweza kuupa asilimia 85% Kama sehemu ya mafanikio yaliyofikiwa hadi leo ndani ya serikali yake, Kuna kitu kimefanyika na kuna mambo yanaendelea kufanyika kwa weledi uliotukuka katika medali za siasa zetu za Kiafrika.

Aidha andiko hili linatambua changamoto hasi zinazoikabili awamu ya sita kutokana na baadhi ya watendaji wa serikali kuendelea kuamini katika utendaji na falsafa za awamu ya tano, Jambo ambalo linakwamisha kasi ya maendeleo kwa Watu. Kwa ufupi andiko hili linapongeza jitihada za awamu ya sita katika kufanya mabadiliko chanya yanayogusa maisha ya watu katika shughuli zao za kila siku, Aidha andiko hili linatambua ushirika unaoanza kurejea mahali pake kati ya serikali na vyama vya Upinzani, Ikiwa ni pamoja na kurejesha mifumo ya uhuru wa vyombo vya habari pamoja na fikra za Kiuandishi kutoka kwa wanahabari na wanaharakati, Aidha mifumo ya " Ukasuku na undumilakuwili kisiasa" inaonekana kukatwa mikia kwa namna moja au nyingine.

Nitaelezea kwa urefu na mapana yake uchambuzi wa mafanikio ya awamu ya sita itakapotimia siku 100, naendelea Kuandaa makala nategemea kuzichapisha katika magazeti ya Mwananchi, Mtanzania online, Washngton post na Independet nikiwa na nia ya kutangaza sera na mikakati mipya ya Rais Samia Suluhu Hassan ndani na nje ya Jumuiya ya Kimataifa.

Nawatakieni Jtatu njema na Majukumu mema.
 
Mkuu hii mama anamalizia awamu ya mwendazake !! Awamu ya sita bado jamani mbona uelewi wewe! Naunga mkono hoja, hongera sana mama.
 
Mwenyewe umeshindwa kujitangaza halafu na hata maandiko yako sijui yanasomwa na watu wangapi, halafu jamani tuache kudanganya hakuna siku vyombo vya kimagharibi vitatangaza mazuri ya nchi hizi zetu, halafu hata hivyo vyombo vya nje havitoifursa ya nchi zetu zisikike huku makwao, kama umeishi nje nadhani hilo sote tunalitambua, runinga zao kutwa wako kutangaza hali ya hewa ya huko kwao, kama hamuamini muulizeni Lissu na ziara zake huko majuu, watu wana mambo yao hawahangaika na issues za bara la Africa ,sembuse Tanzania. Tuache kudanganya watu au kuwafurahisha watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom