haki

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

    Rais Samia Suluhu Hassan leo ameachia mkeka wa Wakuu wa Wilaya mbalimbali uliosheheni vijana. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya ni pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji, pia yupo Joshua Nassari na Wakili Albert Msando. Wengine ni Mwenyekiti wa UVCCM Kherry James...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kumbe DPP kutenda haki kunawezekana! Hongera sana, kazi umeianza vizuri. Sasa haki sio tu inatendeka, inaonekana! Kazi Iendelee…

    Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", nikiangazia suala zima za utoaji haki nchini, ambapo makala hii ni muendelezo wa ushauri kwa DPP, ulioanza wiki iliyopita. Wanasheria wana vimisemo vyao vingi vingi vya kisheria, vingi viko kwenye lugha ya Kilatini, na...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Acheni kutunga uongo, mshaurini Rais Samia awataje na kuwakamata walionishambulia

    Mwanasheria nguli amekuwa mbogo na kutaka watu kutozua uongo kuwa hamkosoi mama Samia kuwa anakubaliana nae. Bali ametaka watu wamshauri ili waliompiga risasi wakamatwe na kuchukuliwa hatua. Pia ndugu Lissu amedai kuwa kuliko kuzua uongo bora wamshauri mama Samia ili yeye alipwe haki zake...
  4. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Vijana mliopewa teuzi mkatende haki, muepuke "Usabaya"

    Hakika yule aliyewahi kusema "Madara yanalevya, madaraka makubwa yanalevya zaidi" hakukosea Ukuu wa wilaya unahitaji mtu mbunifu, ukirizika na nafasi uliyoteuliwa utaishia kuishangaza jamii na kuzalilisha vijana wengine wengi hata kupelekea wasiaminiwe tena. Kiongozi kijana, umepewa wilaya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Waendesha Mashtaka kugeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka kunatia doa mfumo wa haki nchini

    Ofisi ya DPP imegeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka badala ya ofisi ya waendesha mashtaka. Haya madaraka mapya yakufuta mashtaka wameyatoa wapi? Kwanini imeacha jukumu la Msingi la kuanzishwa kwake? Kama wamebaini walikosea, hao waliokosea kifungua mashtaka wanasubiri nini kushtakiwa?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, wananchi tuna haki ya kujua kilichomo kwenye ripoti uliyoiunda kuchunguza pesa za BoT

    Ndugu Rais, Ukifunika ripoti hii unatupa wasiwasi sisi wananchi kuwa unalinda upigaji na ufisadi, na hili litakuandama kisiasa kwa muda mrefu sana. Ndugu Rais, uchunguzi wa hizi pesa uliuagiza hadharani, wananchi tukishuhudia, tukisikia, na kwa hiyo tuna haki ya kujua je pesa zetu ziko salama...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Operesheni Haki yatinga Ruangwa, Umati wajitokeza kumpokea Freeman Mbowe

    Hilo ndilo jimbo ambalo anatokea Waziri Mkuu wa Tanzania Mh Kasimu Majaliwa , kwenye kilichoitwa uchaguzi Mkuu wa 2020 Mh huyu alipita bila kupingwa, baada ya wagombea wa upinzani kuzuiwa kuchukua ama kurejesha fomu , huku wengine wakitekwa na kuokotwa Mkuranga wakiwa hoi. Video hii ya Mapokezi...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Operesheni Haki ya CHADEMA haivuni wanachama toka vyama vingine walionyimwa haki?

    Kihistoria tulizoea kuona oparesheni mbalimbali za Chadema zikivuna wanachama wengi toka vyama vingine. Mbona hatutangaziwi kuwa operation imeshavuna wanachama wangapi toka vyama vipi? Kwa maoni yangu mafanikio ya chama cha siasa ni kudumisha na kutetea itikadi yake na kuongeza idadi ya...
  9. My Son drink water

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Seth na Rugemalira: Serikali haitendi haki

    Hivi tangu lini DPP akabeba mamlaka ya mahakama? Tulikaa kimya kwa sababu kesi ya Habinder Seth na Rugemalira ilikuwa bado mahakamani, huwezi kuongea lolote kesi inapokuwa mahakamani, kwa sababu mahakama ni sehemu ya Haki. Eti Seth amekiri kwa DPP kwenye formal statement kwamba yeye ana makosa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hatukutaka Mashehe wafutiwe kesi tu, kilichotakiwa ni haki itendeke ili kuepuka kejeli

    Wazanzibari hawakutaka mashehe waachiwe kama ilivyotokea. Wameachiwa na watu wasiojulikana kwani hata mawakili hawakutaarifiwa walisikia tu mashehe wa au wateja wenu wameonekana mitaani. Wazanzibari wanahitaji au walihitaji haki itendeke, mahakama iliyopewa dhamana iendeshe kesi kililahi bila...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Operesheni Haki, Songea: Benson Kigaila ongoza semina, majadiliano na vikao vya ndani

    Mkakati kabambe wa kuchagiza Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, ukiambatana na mdogo wake aitwaye Chadema Digital ambao uko Kanda ya Kusini, leo umetikisa Mkoa wa Ruvuma kwa kuvunja rekodi ya Mahudhurio. Naibu Katibu Mkuu Mh Benson Kigaila aliongoza semina, majadiliano na vikao vya ndani.
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aingia Kanda ya Kusini, ni katika Mkakati unaondelea wa Operesheni Haki

    Mwenyekiti wa Chadema Mwamba Freeman Mbowe anaendelea na kampeni ya kuhamasisha upatikanaji wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , kampeni hiyo imebatizwa jina la Operesheni Haki . Anatarajiwa kuongoza vikao kadhaa vya Mashauriano ndani ya Kanda hiyo. Pichani Mwamba Mwenyewe akisaini...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa DPP: Kutekeleza nia njema ya Rais Samia, kuona Haki ikitendeka; je, tumchagize DPP kutumia Nolle kufuta kesi zote zinazosuasua?

    Wanabodi, Jumatatu ya leo, naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinachapishwa kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili, makala ya leo ni swali la ushauri wa Bure kwa DPP, kwa vile Rais Samia, ameishaonyesha nia njema ya kutaka Watanzania watendewe haki, Jee...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Operesheni Haki yaingia Iringa, Maandalizi ya kumpokea Mbowe yakamilika

    Kwa vile tuliahidi kuwaletea kila kitakachojili kwenye ule mpango mpya wa Chadema unaoitwa Operesheni Haki , na kwa vile bado mpaka sasa Ahadi inatajwa kuwa deni nchini Tanzania, basi hatuna budi kuwaletea kinachojili huko Iringa ambapo maandalizi yote ya kumpokea Mwamba Freeman Mbowe na timu...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Mwajiri ana haki ya kumlazimisha mwajiriwa kupima afya?

    Hivi majuzi timu ya mpira wa miguu ya Simba baada ya kikao cha kamati ya nidhamu iliadhimia kumpeleka mchezaji Jonas Mkude kupima afya ya akili Mhimbili. Swali iko wapi haki ya Siri ya afya ya mwajiriwa? Je, endapo Mkude atakataa kwenda hospital Simba watamfanya nini? Na vipi Mkude akiamua...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ni zipi Haki za Abiria? Basi la Super Feo limekalisha abiria hapa Chalinze tangu asubuhi, hakuna msaada wa Mamlaka au Mmiliki

    Msaada kwa wenye uelewa wa jambo hili. Jamaa yangu amepanda gari la Super Feo kutoka Dar kuenda Songea asubuh, kufika Chalinze eneo la mlimani ajari ikatokea kati ya basi na boda. Wakaja polisi gari ikageuza kurudi kituoni Chalinze ilikuwa ni saa tatu na dakika zake. Tokea saa tatu mpaka...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atua Mkoani Morogoro, ni katika Mkakati wa Operesheni Haki

    Operesheni Haki ambayo imeingia Kanda ya Kati, kwa kuanzia na Mkoa wa Dodoma, sasa leo ni zamu ya Morogoro ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe atahutubia baraza la Mashauriano la Mkoa huo. Kwa taarifa tu ni kwamba Tayari moto wa operesheni haki na Chadema digital ushaingia mitaani ambapo...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia kwa kuwasisitiza watendaji wa vyombo vya haki kuwa haki sio hisani, bali ni stahiki. Watende haki, tubadili Katiba kurudisha haki

    Wanabodi, Kila siku za Jumapili, huwa ninaandika makala za "Kwa Maslahi ya Taifa", makala ya wiki hii ni kuhusu hoja ya "Haki sio hisani, ni stahiki". Japo hakuna binaadamu yoyote anayefurahi kifo cha mtu yoyote, kifo chochote kinapotokea, kinahesabika ni mpango wa Mungu, na kama kawaida watu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania "Faili halionekani": Wimbo unaotawala mgando wa kutoa haki kwa wakati kwa baadhi ya kesi za rufaa kutoka kwenye mahakama ya kazi Dar es Salaam

    Inategemewa na vilevile kutumainiwa sana na kila mwananchi kuiona mahakama kama chombo kitukufu, kinachoaminika na chenye; weledi kiutendaji, chenye maadili, na mfano wa kuigwa kiuwajibikaji panapo hitaji hilo. Pamoja na kuwa ni muhimili unaojitegemea, yanayoendelea kwa sasa kwa baadhi ya vituo...
  20. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Kariakoo na Dar es Salaam: Wanahistoria tendeeni haki Historia za majina hayo

    Tafiti ndogo tu, yangu binafsi na isiyo na shaka kabisa niliyoifanya kuhusu jina la jiji letu kuu "Dar Es Salaam" na jina la soko letu kuu "Kariakoo" ninaihitimisha kwa ufupi (summary) hapa chini kwa kusema wanahistoria hususan wa hapa Tanzania hawayatendei haki hayo majina kwa kutuaminisha...
Back
Top Bottom