Nchi hii watembea kwa miguu na abiria hatuna haki kabisa

Trubarg

JF-Expert Member
Jan 8, 2020
4,216
6,806
Nchi hii wanaothaminika ni wamachinga pekee watembea kwa miguu na abiria hawana haki kabisa na inawezekana wamefutwa kabisa kwenye kamusi ya wanyonge.

Haiwezekani vituo vyote vya daladala na sehemu za watembea kwa miguu kuwa ndiyo sehemu ya kusimika biashara za hao wanaoitwa wanyonge.

Siku hizi abiria inabidi wasimame barabarani kusubiri daladala maana vituo vya abiria vyote vimegeuzwa maduka ya wamachinga.

Sehemu za wapita kwa miguu ndipo palipotandazwa biashara za watu.

Najiuliza kwanini nchi hii inapendelea hivyi.
 
Latina nchi hii wanaothaminika ni wamachinga pekee...watembea kwa miguu na abiria hawana haki kabisa na inawezekana wamefutwa kabisa kwenye kamusi ya wanyonge.
Haiwezekani vituo vyote vya daladala na sehemu za watembea kwa miguu kuwa ndiyo sehemu ya kusimika biashara za hao wanaoitwa wanyonge.
Siku hizi abiria inabidi wasimame barabarani kusubiri daladala maana vituo vya abiria vyote vimegeuzwa maduka ya wamachinga. Sehemu za wapita kwa miguu ndipo palipotandazwa biashara za watu.
Najiuliza kwanini nchi hii inapendelea hivyi.
Wakubwa wanaweka akiba ya kura zao! Siasa zinaharibu mambo mengi sana nchi hii!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Latina nchi hii wanaothaminika ni wamachinga pekee watembea kwa miguu na abiria hawana haki kabisa na inawezekana wamefutwa kabisa kwenye kamusi ya wanyonge.

Haiwezekani vituo vyote vya daladala na sehemu za watembea kwa miguu kuwa ndiyo sehemu ya kusimika biashara za hao wanaoitwa wanyonge.

Siku hizi abiria inabidi wasimame barabarani kusubiri daladala maana vituo vya abiria vyote vimegeuzwa maduka ya wamachinga.

Sehemu za wapita kwa miguu ndipo palipotandazwa biashara za watu.

Najiuliza kwanini nchi hii inapendelea hivyi.
Inasikitisha sana.
 
Wangepangwa kwenye ofisi za chama
Mbona wana majengo mengi tu
Haya ya kukaa pembezoni mwa barabara sio vizuri
 
Ebu piga mahesabu.
Tuseme machinga wote wapigwe marufuku.
Bodoboda wote wapigwe marufuku.
Mama lishe wote wapigwe marufuku.
Hali itakuwaje?
Jamani, tukubaliane na hali, na pia hebu jiweke katika hali yao.
Hali ni ngumu jamani.
Mfano mzuri: Mstaafu aliezoea kila mwisho wa mwezi ana hela ya uhakika na nyingine ya kuchezea. Ghafla hakuna cha mshahara wala posho posho, ni ka-pension tu!
Ninakuhakikishia, wengi wanaondoka kabla ya wakati wao. Hasa wale waliokuwa Mashirika ya umma. Fanya utafiti.
 
Hatujasema wapigwe marufuku

Hatujasema wapigwe marufuku...wafanye biashara kwenye maeneo yao..au unataka watu walite wapi..hujaona sasa hv jinsi abiria wanavyosimama barabarani
 
Latina nchi hii wanaothaminika ni wamachinga pekee watembea kwa miguu na abiria hawana haki kabisa na inawezekana wamefutwa kabisa kwenye kamusi ya wanyonge.

Haiwezekani vituo vyote vya daladala na sehemu za watembea kwa miguu kuwa ndiyo sehemu ya kusimika biashara za hao wanaoitwa wanyonge.

Siku hizi abiria inabidi wasimame barabarani kusubiri daladala maana vituo vya abiria vyote vimegeuzwa maduka ya wamachinga.

Sehemu za wapita kwa miguu ndipo palipotandazwa biashara za watu.

Najiuliza kwanini nchi hii inapendelea hivyi.
Jiwe alivyokuwa waziri wa miundo mbinu alikataa kabisa njia/barabara za waenda kwa miguu zisijengwe eti ni anasa.
 
Basi wavumilie tu
Ila Africa nchi nyingi ziko hivyo ni virugu mechi tu
Bora waachwe tu kuwafukuza hao watu mjini watasababisha janga lingine mitaji yao ni midogo mnavomfukuza chinga mpaka aje apate eneo lingine mtaji unakuwa umekata
Watu wanakaa maofisi muda wote hawajawahi kuuza ata nyanya wengine watoto wa vigogo hivyo kwao itakuwa kero ni busara kuvumiliana
 
Ebu piga mahesabu.
Tuseme machinga wote wapigwe marufuku.
Bodoboda wote wapigwe marufuku.
Mama lishe wote wapigwe marufuku.
Hali itakuwaje?
Jamani, tukubaliane na hali, na pia hebu jiweke katika hali yao.
Hali ni ngumu jamani.
Mfano mzuri: Mstaafu aliezoea kila mwisho wa mwezi ana hela ya uhakika na nyingine ya kuchezea. Ghafla hakuna cha mshahara wala posho posho, ni ka-pension tu!
Ninakuhakikishia, wengi wanaondoka kabla ya wakati wao. Hasa wale waliokuwa Mashirika ya umma. Fanya utafiti.
Inshu sio kuwa wapigwe marufuku, kwani nchi nyingine si wapo?wakati wa jk, si walikuwepo?hiii ya sasa ni kero, wanatakiwa wawekewe utaratibu tu mzuri wa maeneo ya kufanyia biashara zao?!huo tatizo linalojitokeza kwa sasa upande wa masoko, yanajengwa ya mabilioni lakini hakuna watu humo wa kuyatumia, kisa wale wanaotakiwa kuwa mle wanatoka na kupanga bidhaa zao njiani!!masoko yanabakia tupu nchi gani makini inaweza kukubali ujinga huo?!!
 
Latina nchi hii wanaothaminika ni wamachinga pekee watembea kwa miguu na abiria hawana haki kabisa na inawezekana wamefutwa kabisa kwenye kamusi ya wanyonge.

Haiwezekani vituo vyote vya daladala na sehemu za watembea kwa miguu kuwa ndiyo sehemu ya kusimika biashara za hao wanaoitwa wanyonge.

Siku hizi abiria inabidi wasimame barabarani kusubiri daladala maana vituo vya abiria vyote vimegeuzwa maduka ya wamachinga.

Sehemu za wapita kwa miguu ndipo palipotandazwa biashara za watu.

Najiuliza kwanini nchi hii inapendelea hivyi.
Waguse uchafuke
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom