Operesheni Haki yaingia Kanda ya Unguja, Freeman Mbowe kuongoza kikosi kazi cha mafunzo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,576
217,940
Wakuu , Tunaomba radhi sana kutokana na usumbufu wa Taarifa zetu nyingi sana kuhusiana na Operesheni haki , mtusamehe sana , hatuna namna ya kufanya zaidi ya kuwahabarisha jambo hili muhimu.

Leo tena kampeni hii muhimu imefika unguja ambako Abubakar Mbowe anatarajiwa kuongoza vikao vya mafunzo na majadiliano , akishirikiana na viongozi wengine , Salum Mwalimu, Benson Kigaila na John Mrema.

Official_BAVICHA_Taifa_(@bavicha_taifa)_posted_on_Instagram_•_Jul_7,_2021_at_6:04am_UTC%22_.jpg

chadematz_on_Instagram:_“Leo_Julai_07,_2021_Mafunzo_kwa_Wajumbe_wa_Kamati_ya_Utendaji_na_viong...jpg
 
Kuwa mpinzani inaitajika uwe na moyo wa kujitolea zaidi kuliko maslahi yako binafsi.
 
Wakuu , Tunaomba radhi sana kutokana na usumbufu wa Taarifa zetu nyingi sana kuhusiana na Operesheni haki , mtusamehe sana , hatuna namna ya kufanya zaidi ya kuwahabarisha jambo hili muhimu.

Leo tena kampeni hii muhimu imefika unguja ambako Abubakar Mbowe anatarajiwa kuongoza vikao vya mafunzo na majadiliano , akishirikiana na viongozi wengine , Salum Mwalimu, Benson Kigaila na John Mrema.

Asante sana tunafurahi kusikia harakati hizi za ukombozi chini ya jemedari Mbowe na wengine, Mungu awape ulinzi na hekima tele.
 
Back
Top Bottom