Kumekuwa na Kundi kubwa sana la wananchi wakisota Rumande kwa kile kinachotajwa kuwa "UPELELEZI HAUJAKAMILIKA" hii kitu imekuwa adui mkubwa sana wa haki za watuhumiwa.
Kuna jamaa flani hapa mtaani amekaa rumande/jela kwa miaka miwili kwa kesi ya uhujumu uchumi, alikuwa mtuhumiwa namba mbili...