Hii imekaaje mwanamke kudai haki hadharani

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Messages
5,175
Points
2,000

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2018
5,175 2,000
Ni hivi unakuta mwamke anapiga simu kwenye daladala babe mambo mbona hujaja jana namie umeniacha na hamu zangu??

Kweli mkiachwa na wanaume wabaya sasa hapo umesemaje?? Unajiona nivizuri eh kwanini husijiheshimu ??

Wengine mpaka mnaita mashemeji mbele ya kadamnasi shem mbona jana hatukuonana ilikuwaje tena unasisitiza sasa ndoa zitadumuje au mahusiano??

Lini mtakuwa serious mtulie jamani ??

Eti MLIONAHIZO TABIA JIHESHIMUNI.

MNATUSHUSHIA HADI SISI HESHIMA
 

Forum statistics

Threads 1,389,657
Members 527,997
Posts 34,031,342
Top