Malipo ya maegesho ya magari jijini Mwanza sio haki

Kimweli

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
899
231
Nimebahatika kutembelea jijini Mwanza mwisho wa mwaka huu na nimekutana na kitu cha ajabu ambacho sijawahi kukiona duniani kokote kuhusu jinsi ya kulipia maegesho ya gari. Mtu anakuja kuscan plate number yako bila hata wewe kujua, hivyo ni wajibu wako kujua hata kama ni mgeni kuwa unatakiwa kulipa sh 1500 kupitia mtandao hata kama umekaa dakika 30.

Kwa hili wadau wa TARURA ni mnaonea tafuteni njia mbadala ila si kwa kiwango hicho ambacho nacho usipolipa crossing the third day faini inakuwa elfu 20. Sijui mnapotunga hizi sheria huwa mnafikiliaje in other side.

Yaani parking Mwanza kwa mwezi ni sh 45,000/=. Utaratibu wenu wa kujua mtu anadaiwa nao ni mbovu au basi mkiscan plate no muweke TRA receipt ili mhusika akija anaona kuwa ana deni.

Ni hayo tu TARURA Mwanza ila nawaomba tu mkaribishe watu watoe maoni ili kuboresha haya makusanyo, less to this kwanza mnaipotezea Serikali mapato before mtu ukipaki 1 hour unalipa 500 na mimi kwa budget yako one hrs ilitosha sana kukaa town.

Mtu ukiwa na gari ni shida hauwi hata na amani.

Lipa kodi halali ili kujenga nchi
 
Lipa Pesa, Acha Kulia Lia.

Pesa Zinazoenda Hazina Hazirudi Huku Chini.

Hivyo Kila Kitaasisi Kimeamua Kukusanya Pesa Zake Na Hatimaye Kutoa Gawio Kwa Kibwengo.

- Traffic Wanakusanya

- Sisi TARURA tunakusanya

- TCRA Wanakusanya

- TFDA/NEMC wanakusanya

- SUMATRA/EWURA wanakusanya

- HALMASHAURI Zinakusanya.

- Serikali Za Mitaa Zinakusanya


Hivyooo

TOA PESA WEWE. TOA HELA.
 
Lipa Pesa, Acha Kulia Lia.

Pesa Zinazoenda Hazina Hazirudi Huku Chini.

Hivyo Kila Kitaasisi Kimeamua Kukusanya Pesa Zake Na Hatimaye Kutoa Gawio Kwa Kibwengo.

- Traffic Wanakusanya

- Sisi TARURA tunakusanya

- TCRA Wanakusanya

- TFDA/NEMC wanakusanya

- SUMATRA/EWURA wanakusanya

- HALMASHAURI Zinakusanya.

- Serikali Za Mitaa Zinakusanya


Hivyooo

TOA PESA WEWE. TOA HELA.
Utakuwa haujanielewa wewe
 
Zipo kesi nyingi huko, baada siku 3,1500 ada ya siku inakuwa 20,000! Baada ya mwezi 200,000.....Wizi wa ajabu. Mara nyingi wanatapata sms 1500.....wachache, Tin no. ina match majina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lipa Pesa, Acha Kulia Lia.

Pesa Zinazoenda Hazina Hazirudi Huku Chini.

Hivyo Kila Kitaasisi Kimeamua Kukusanya Pesa Zake Na Hatimaye Kutoa Gawio Kwa Kibwengo.

- Traffic Wanakusanya

- Sisi TARURA tunakusanya

- TCRA Wanakusanya

- TFDA/NEMC wanakusanya

- SUMATRA/EWURA wanakusanya

- HALMASHAURI Zinakusanya.

- Serikali Za Mitaa Zinakusanya


Hivyooo

TOA PESA WEWE. TOA HELA.

Anafikiri makusanyo ya 1.7T per month ukicheka cheka utayafikishaje
 
Kwani taasisi zilipewa muda gani ziwe zimepeleka gawio? Na kama taasisi hizo hazitawasilisha, si waliambiwa zitafutwa?
 
Nchi imefilisika "MAARIFA" ya ukusanyaji mapato, huko tunapoelekea kama taifa mtu hata "UKIJAMBA" utaambiwa ulipie malipo ya "SUMATRA, HALAMASHAURI, TARURA, KUTUNZA MAZINGIRA" na uoneshe risiti ya EFD.
 
Zipo kesi nyingi huko, baada siku 3,1500 ada ya siku inakuwa 20,000! Baada ya mwezi 200,000.....Wizi wa ajabu. Mara nyingi wanatapata sms 1500.....wachache, Tin no. ina match majina

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hii kinachotafutwa ni nini? Yaani from 1500 to elfu 20 to laki 2, daaah kunawatu wanapata pesa kirahisi sana na hapo hakuna ulinzi wa gari ukipaki. Au tuwe tunagonga daladala tu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom