• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Dhamana katika tawala zenye kuheshimu wajibu wake ni haki ya mtuhumiwa

B

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Messages
1,673
Points
2,000
B

brazaj

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2016
1,673 2,000
Dhamana mahakamani au polisi ni haki ya kila mtuhumiwa. Hii ni pasipo na kujali tuhuma mtu alizo nazo pale inapodhihirika wazi kuwa mtuhumiwa atapatikana muda atapohitajika pasipo na kukosekana.

Ona kama hivi kwa majirani zetu:

https://www.google.com/amp/s/nairob...ens-murder-released-on-sh-2-million-cash-bail
https://www.thecitizen.co.tz/news/1840340-5381958-view-asAMP-5gb3gq/index.html
Haya ya kupakaziana makosa yasiyo na vichwa wala miguu ati kuwa hayana dhamana na kunyimana dhamana ili kukomoana tu, ni mambo ambayo watawala wetu wanapaswa kujua kuwa ni ya aibu sana na yanapaswa kukomeshwa.

Badala ya kutisha watu ambayo haitosaidia kitu jitihada zaidi zitahamia kwenye kudai katiba inayotambua umuhimu wa dhamana. Hii achilia mbali ukweli kuwa magereza na rumande zetu zimesha jaa watu mno hata kuzidi uwezo wake.
 
B

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Messages
1,673
Points
2,000
B

brazaj

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2016
1,673 2,000
Hakuna bahati mbaya hapo.

Mmemchagua na mnamchekea na kumpongeza kila siku.

Bahati mbaya iko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tunayo bahati mbaya maana list ya wasomi wetu ambao hata walikuwa kwenye position ya ku advise ni kama hawa hapa:

Prof. I. Juma - Judge mkuu
Prof. Kabudi - waziri
Prof. Mwakyembe - waziri

Wote hao hapo juu ni wanasheria wabobezi wana wa nchi hii.
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
50,947
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
50,947 2,000

Nakwambia hivi, hakuna bahati mbaya hapo, huo ni mpango umepangwa makusudi kukuzuga wewe uone una wasomi.

Watu wapige hela, wewe ubaki kuangalia wasomi wanavyofanya kazi.

Msomi gani hajiheshimu yeye mwenyewe?

Kwani hayo ma degree ndiyo yanapima usomi?

Msomi anakosa personal integrity na kusema katolewa jalalani?
 
Mkuu waswahili wanasema ajidhaniaye kasimama ....

Iko namna hii kwamba hatuna bahati mbaya? Mbona itakuwa kujifariji tu? Kwani palikuwa na haja ya kumfahamisha nani kuwa kilihitajika chama kimoja tu cha upinzani kupambana nao, baada ya hapo labda kuweka mambo sawa sasa?

Yupi kati yao hao wapinzani yuko tayari ku cede na kutambua maslahi mapana ya nchi na kutambua kuwa bila kuwa na tume huru ya uchaguzi, chaguzi zote ni chaguzi za kuigiza tu?

Mkuu tuna bahati mbaya na haiyumkiniki penye ahueni hamna.

Jaribu kulinganisha upuuzi mwingi katia nyanja zote unfortunately Kenya hauwezi kukubalika no matter who says what.

Kwa taarifa yao waasomi na viongozi wa vyama vya upinzani kwa bahati mbaya wamekuwa ndiyo contributors wakubwa kwenye hii let down.
 
Kati ya mawazo yanayosababisha umasikini ni haya ya bahati mbaya, kazi ya Mungu, ni majaliwa tu, malipo peponi na mengine kama hayo.

People get the leadership they deserve. If they don't deserve a certain leadership, they will change the leadership.

Hakuna bahati mbaya hapo.

Bahati mbaya ni kisingizio cha wazembe.

Nchi ina rasilimali zote, ina ufukwe mkubwa wa bahari, ina mamilioni ya watu wa kila aina.

Unasema ina bahati mbaya?

Hakuna bahati mbaya hapo.

Watumishi wa umma wanaowawezesha hao viongozi wa siasa kuendelea kuongiza wanalalamika wee hawapandishiwi mishahara, halafu wanaendelea kuwawezesha watesi wao. Bahati mbaya iko wapi hapo?

Labda uniambie uzembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
B

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Messages
1,673
Points
2,000
B

brazaj

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2016
1,673 2,000
Kati ya mawazo yanayosababisha umasikini ni haya ya bahati mbaya, kazi ya Mungu, ni majaliwa tu, malipo peponi na mengine kama hayo.

People get the leadership they deserve. If they don't deserve a certain leadership, they will change the leadership.

Hakuna bahati mbaya hapo.

Bahati mbaya ni kisingizio cha wazembe.

Nchi ina rasilimali zote, ina ufukwe mkubwa wa bahari, ina mamilioni ya watu wa kila aina.

Unasema ina bahati mbaya?

Hakuna bahati mbaya hapo.

Watumishi wa umma wanaowawezesha hao viongozi wa siasa kuendelea kuongiza wanalalamika wee hawapandishiwi mishahara, halafu wanaendelea kuwawezesha watesi wao. Bahati mbaya iko wapi hapo?

Labda uniambie uzembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wa bure kwako usiye ridhia hii kama bahati mbaya:

Elimisha upinzani sasa uwe kitu kimoja na kuwa na common front:

Kinachohitaka Tanzania kinajulikana ambacho ni 'Katiba Mpya' peke yake. Katiba itakayo weka wazi hii nchi inapaswa kutawaliwa vipi. Katiba itakayo tambua na kuheshimu vilivyo uwepo wa tume huru ya uchaguzi na mihimili mitatu ya serikali mkuu, bunge na Mahakama vilivyo independent.

Kwa vile haya yamekuwa hayapo kwa miaka 58 sasa na hali ikizidi kuwa mbaya zaidi, hali ambayo we we huioni kuwa ni bahati mbaya, ushauri wa sure zaidi kwako - wewe tangulia pale mbele kuongoza mapinduzi haya.

Tanzania bila ukimwi yawezekana lakini kwa kuanzia na wewe!
 
Forum statistics

Threads 1,405,220
Members 531,947
Posts 34,481,217
Top