hadhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Haya mambo si mazuri yanashusha hadhi ya tiba asili

    Watu wa tiba asili mnafumbia macho mambo haya yanashusha hadhi ya tiba asili. Unakuta mtu anaenda na dawa za kienyeji mnadani, au anatembeza mitaani kama nguo chukueni hatua. Pigeni marufuku mbona watu hawabebi Fansida, Alu nk kupeleka mnadani? Wauze mahala maalum Ili hata mgonjwa akihitaji...
  2. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Mtu kuondolewa uraia wa nchi yake: siasa zetu ni za maendeleo?

    Dkt Slaa kapokwa hadhi ya ubalozi Askofu Niwemugizi alipokwa hadhi ya uraia Askofu Zachary Kakobe akapokwa hadhi ya uraia wake Generali Ulimwengu akapokwa hadhi ya uraia wa nchi yake Sasa hizi siasa ni za maendeleo au kukomoana? Je, viongozi mjao mna la kujifunza ili kesho ya watanzania iwe...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ijue Hadhi ya Ubalozi, its Rights & Privileges. Wajua Kufutwa Ubalozi Dr. Slaa Hakutokani na Ukosoaji wa Bandari na Anaweza Kurejeshewa Ubalozi Wake?

    Wanabodi Juzi September Mosi Imetolewa taarifa ya Ikulu kumhusu aliyekuwa Balozi Dr. Wilbroad Slaa kufutiwa hadhi ya Ubalozi, taarifa hiyo ya Ikulu haikutoa sababu za kumfutia hadhi hiyo ya Ubalozi. Hatua hii imezua mijadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii wengi waki speculates sababu za...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Bora ukose hadhi ya kibalozi kuliko kukosa heshima ya kutetea rasilimali za taifa lako

    Mobutu Seseko wa Zaire alikufa kifo chenye fedheha na kisichofaa hata kidogo maana pamoja na kushirikiana ma wezi wa rasilimali za Wazaire sasa Drc alifia ugenini na bila heshima yoyote. Hii ni kwa sababu alishindwa kuwa mzalendo kulinda rasilimali za taifa lake liwanufaishe raia wa taifa hilo...
  5. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Hadhi ya kuitwa ‘Balozi’ huwa ina faida gani kwa mtu asiyetumikia tena ubalozini?

    Huenda kuna kitu sikijui au kimenipita. Hivi mtu ambaye aliwahi kuwa balozi, na sasa hatumikii tena kazi hiyo, kuendelea kuitwa balozi huwa kunaongeza nini kimaisha yake ukiondoa sifa za kujidai kijamii au kumbukumbu za zamani? Je, kuna posho huwa wanalipwa kwa kuwa na hiyo hadhi ya kuitwa...
  6. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mabalozi waliowahi kuvuliwa hadhi ya Ubalozi

    Leo Dkt . Slaa amevuliwa hadhi ya Ubalozi na Rais wa JMT, Samia Suluhu. Dkt. Slaa anaingia katika orodha ya viongozi wengine waliovuliwa hadhi ya Ubalozi. Katika kumbukumbu zangu nakumbuka Profesa Mahalu aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Italy alivuliwa hadhi ya Ubalozi baada ya kuwa na...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ifahamike kwamba hata Kamishna wa sasa wa TRA alivuliwa hadhi ya ubalozi na Magufuli

    Hii maana yake ni kwamba Ubalozi si lolote wala chochote kwenye maisha ya Tanzania. Kumvua Ubalozi Dkt. Slaa zaidi ni kumuongezea Umaarufu na heshima kwa jamii yake , ni sawa na kumvisha nishani kwa mapambano Matukufu dhidi ya wezi wa Bandari zetu. Kama aliyevuliwa ubalozi na Magufuli...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kwa tuhuma za uhaini, Mamlaka zimvue Dkt. Slaa hadhi ya Ubalozi

    Kwa kuwa mamlaka zina ushahidi kwamba Dk. Slaa amefanya uhaini, ili kulinda hadhi ya cheo na utambulisho wa "balozi" nashauri Dk. Slaa avuliwe hadhi hiyo ambayo Ina heshma sana katika nchi hii. Akivuliwa hadhi hiyo, aendelee kuchangamana na akina Mdude kwa kuwa ndio level ya akili zake kwa...
  9. Legend46

    JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu hubadili hadhi ya ulimwengu

    Kikawaida elimu yetu iko katika mtazamo ambao unawanufaisha wachache, mtazamo wangu unagusia maeneo manne (4) ambayo yakiangaliwa na kuboreshwa basi manufaa makubwa yatakua matokeo yake. kama vile:- WAKATI WA ELIMU YA MSINGI NA SEKONDARI Kila kitu kinaanzia hapa ambapo kijana anaanza safari ya...
  10. Colly 7

    JamiiForums Tanzania SoC03 Walimu wa shule binafsi wawe na hadhi sawa na wale wa shule za serikali

    Kimsingi, shule zote (za msingi na za sekondari) zilizosajiliwa, zipo chini ya serikali, na hivyo zinasimamiwa na Ofisi ya Rais, Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, pamoja na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Shule zote, ziwe ni za serikali au za binafsi, zinawajibika kufuata...
  11. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Uwanja mpya wa Mashujaa uongezwe hadhi

    Mama wa Taifa Samia, Hongera kwa wazo Mulua la kujenga sehemu ya mashujaa makao makuu Dodoma, nikuombe, naamini unao uwezo wa kuliomba Taifa lione umuhimu wa jambo hili, ujenzi huo ujumuishe sehemu muhimu ya kuwahifadhi mashujaa wetu ambao kwa kuwa Dodoma sasa ni makao makuu yetu rasmi, viongozi...
  12. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Watatu wapewa hadhi ya Ubalozi, yupo Katibu Mkuu Kiongozi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi wafuatao kuwa na Hadhi ya Balozi kama ifuatavyo:- 1. Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi kuwa Balozi; 2. Dkt. Salim Othman Hamad, Msaidizi wa Rais anayeshughulikia masuala ya Siasa kuwa...
  13. mtanzania in exile

    JamiiForums Tanzania Mnaosherehekea Hadhi Maalum kwa Diaspora hamjaangalia upande wa pili wa sarafu

    Wana Diaspora Nimeona ndugu zetu wengi sana hususan wale waliopo USA wanasherehekea sana juu ya ujio wa Hadhi maalum kwa diaspora, kiasi kwamba nahisi mnashindwa kuangalia upande wa pili wa sauli hili. Kwa sababu hiyo basi naomba kuweka point chache tu ambazo tunabidi sote tuzielewe. Kwanza...
  14. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Haki za Binadamu ni Muhimu Kulindwa kwani Zinahakikisha Usawa, Heshima, na Hadhi ya kila Mtanzania

    Haki za binadamu ni msingi muhimu katika maendeleo na ustawi wa jamii. Ukiukaji wa haki za binadamu si jambo la kuchukulia mzaha, na inahitaji tahadhari na hatua thabiti. Katika muktadha wa Tanzania, takwimu zinaonesha umuhimu wa kukabiliana na suala hili kwa dhati. Katika Ripoti ya Haki za...
  15. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Hadhi maalum kwa Diaspora kukamilika Disemba 2023

    Tanzania is set to complete the process of instituting special status for its citizens living in the Diaspora by the end of 2023. ======= Tanzania is set to complete the process of instituting special status for its citizens living in the Diaspora by the end of 2023. Winding up debate on her...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Barabara zilizopandishwa hadhi ziwekewe lami Mbeya Vijijini

    MHE. ORAN NJEZA - BARABARA ZILIZOPANDISHWA HADHI ZIWEKEWE LAMI MBEYA VIJIJINI "Je, lini barabara ya Ilambo - Nsonyanga inayounganisha Barabara ya Isonje - Makete - Njombe - Tanzaki itapandishwa hadhi"? - Mhe. Oran Manase Njeza, Mbunge wa Jimbo la Mbeya Vijijini "Tarehe 09 Januari 2023 kikao...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna upendeleo maalum wa wazanzibari kupendelewa katika vyeo?

    Na hapa tunaangalia zaidi Jeshini. Niliwahi sikia stori mzanzibari si mwenzako mnapomaliza mafunzo JKT, wewe mtu wa bara uliezaliwa na kukulia hapa bara utaenda JKT na kujitolea hata miaka lakini mwisho wa siku utaambiwa umeiva sasa urudi kwenu kuendelea na shughuli zingine, Ila wazaznibari...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna upendeleo wa kuwaingiza wazanzibari kwenye majeshi pindi wamalizapo mafunzo JKT na huko kwenye majeshi hupewa vyeo vyenye hadhi ?

    >> MOVED / IMEHAMISHWA >>
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI na Wizara ya Ujenzi Kufanya Tathimini ya Kupandisha Hadhi Barabara za Mkoa wa Kilimanjaro

    TAMISEMI NA WIZARA YA UJENZI KUFANYA TATHIMINI YA KUPANDISHA HADHI BARABARA ZA MKOA WA KILIMANJARO Kama lilivyotakwa la kisheria vikao vyote vinavyokaa katika ngazi ya Wilaya na Mkoa zinafikishwa kwa Waziri Mwenye dhamana TAMISEMI na Wizara ya ujenzi zitakaa kuona ni hatua zipi ambazo...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Kariakoo inahitaji Baraza maalum la Biashara ambalo litakuwa na hadhi ya Mkoa

    Nchi hii Ina Mabaraza ya biashara, kuanzia ngazi ya wilaya,mpaka taifa, kwa kuwa tumeamua kwamba kariakoo ndio Dubai yetu, namshauri Mh. Rais kwamba atoe hadhi maalum kwa kariakoo iwe na hadhi ya Mkoa katika muundo wa Baraza la Biashara la Taifa. Hii itasaidia kutatua changamoto kwa wakati...
Back
Top Bottom