hadhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hivi wizara ya ardhi inapoteua Mahakimu wa mahakama zao huwa inawapa hadhi ya uchifu? Nimekuta wawili hapa Dar wana miaka 10

    Nimeenda nimerudi, hawa jamaa wapo, hawahamishwi, tofauti na mahakama za kawaida. Sijui kama Wizara wana utaalamu na mila za kuendesha mahakama kwamba hawa watu wa maamuzi hawatakiwi kuwa miaka 10 au 15 kituo kimoja
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Yabainisha Mikakati ya Kurejesha Hadhi ya Madini ya Tanzanite

    SERIKALI YABAINISHA MIKAKATI YA KUREJESHA HADHI YA MADINI YA TANZANITE -Waziri Mavunde azindua mnada wa ndani Mirerani. - Minada ya ndani na nje ya nchi kutumika kutangaza madini ya vito. -Madini yote yatakayokosa wanunuzi kurejeshwa kwa wahusika -Wadau waonesha nia ya kujenga Mji wa...
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Sababu za kwanini Chato haina hadhi ya kuwa Mkoa

    Zimeibuka agenda ati Chato inatakiwa ipandishwe hadhi kuwa Mkoa ili kuridhisha mizimu na kujitakasa kisiasa Kwa watu wa Kanda ya Ziwa Me natokea Kanda ziwa ila siungi mkono hii hoja ya Chato kuwa Mkoa 1. Utitiri wa Mikoa Chato itapana na Mikoa ya Geita, Shinyanga na Kagera, ambayo ina ukaribu...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 2025 watanzania watakuwa na kazi ya kulinda hadhi ya "mama", katika kila hotuba zake, Lissu amekuwa akiongea kwa dhihaka kubwa kuwahusu

    Katika historia ya nchi hii, sijawahi kuona mtu anayekebehi, kudharau, na kutoheshimu hadhi ya mama kama Tundu Antipas Mughwai Lissu. Ukimdharau mama mmoja, umedharau mama wote nchini na duniani. Shime, uchaguzi wa 2025 uwe wa kuwaheshimiaha mama zetu dhidi ya ubaradhuli huo
  5. Malick M. Malick

    JamiiForums Tanzania Rufiji na Geita zapandishwa Hadhi ,Maendeleo hayana Chama

    RAIS SAMIA AZIPANDISHA HADHI RUFIJI NA GEITA. Na Malick Maliki, Chamwino Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipandisha hadhi Halmashauri ya Wilaya ya...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aipandisha hadhi wilaya Rufiji kwenda kwenye hatua ya kuwa Mji

    Wakuu, Rais Samia Suluhu Hassan siku ya leo ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji kuwa Halmashauri ya Mji, na Halmashauri ya Mji wa Geita kuwa Manispaa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, alitoa...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kwanini hoteli kubwa zenye hadhi ya 5 stars huwa na bendera za mataifa mbalimbali kwa nje? Siri iko hapa!

    Wakuu, Najua nitakuwa sipo peke yangu, lakini mara nyingi huwa nikienda kwenye hizi hoteli kubwa the likes of Serena, Kilimanjaro Hyatt, huwa nakutana na bendera za nchi mbalimbali. Zamani nilikuwa sijui maana ya bendera hizi na nilikuwa nadhani kwamba pengine bendera huwakilisha aina ya...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Machinjio ya Manispaa ya Moshi hayana hadhi kiafya kwa Mifugo na Wakazi maeneo yanayoizunguka

    Muda mwingi mifugo wanakaa juani. Hakuna kivuli cha kuwakinga na jua, ama eneo maalumu la kulishia. Wanakaa pamoja na kuficha vichwa kwa kujikusanya pamoja, kukwepa makali ya jua. Pia, mfereji wa maji taka toka machinjioni umeziba na upo wazi kwa miaka na miaka. Eneo la kuchinjia halina...
  9. Suip

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Arusha haifanani na hadhi jiji la Kitalii

    Mmiliki wa stendi ya jiji la Arusha hana bajeti ya kukarabati na kufanyia usafi jengo la abiria? Jengo nichafu mabati yana vuja mpaka wanaweka maturubali juu yake. Kama mnajenga stendi mpya tangu enzi Rais Magufuli mpaka leo haikamiliki na pia hii ya zamani nadhani itaendelea kutumika na...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Dodoma kuondolewa hadhi ya jiji iliyopata awamu iliyopita?

    Baada ya Dar kurejeshewa hadhi yake ya jiji, Je kuna haja ya Dodoma kutenguliwa hadhi haki ya jiji na kurejeshwa kuwa manisipaa tu? Ukitizama vizuri Dodoma haina tofauti kubwa na Manisipaa ya Morogoro ambayo sio jiji.
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde - Maonesho ya Madini Geita Kuboresha Kufikia Hadhi ya Kimataifa

    MAONESHO YA MADINI GEITA KUBORESHWA KUFIKIA HADHI YA KIMATAIFA-MAVUNDE - Rais Samia Suluhu Hassan kufunga maonesho -I dadi ya washiriki wa nje ya nchi waongezeka - RC Shigela aeleza mpango wa kujenga majengo ya kudumu na kuboresha miundombinu 📍Bombabili EPZ, Geita Waziri wa Madini Mh...
  12. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Jamani ni duka gani ambalo ni maarufu lina hadhi ya kuuza simu original za Samsung? maana vishoka ni wengi

    Refurbished zimekuwa nyingi mtaani na kwa watu wengi ni ngumu kutambua. Tusaidiane duka lenye sifa ya kuuza simu original za samsung. Karibuni;;;;;;;
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania IFIKE MUDA UKUBALI KUWA HUYO SIO HADHI YAKO, ACHIA WENYE HADHI YAKE WANYOOSHANE 😊

    KUNG'ANG'ANIA ASIYE HADHI YAKO SHARTI UKUBALI KUIGIZA NA KUTUMIKISHWA 😔 Sio vibaya kukubali kuwa huyo hamuendani kuliko kujitutumua uonekane ni hadhi yake huku sirini unaumia na kunyanyasika. Mtu ambaye anataka matumizi ya laki tano kwa mwezi ilihali mshahara wako kabla ya makato ni laki nne...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Serikali ifikirieni Mbagala, ipeni hadhi ya wilaya(Manispaa)

    Wilaya ya Temeke imekuwa kubwa Sasa ni muda mwafaka itengwe kama ilivyo Kinondoni ilizaa Ubungo, Ilala ikazaa Kigamboni, Sasa kwanini Temeke isitoe Manispaa mpya ya Mbagala ambayo inaweza kuchukua baadhi ya maneno ya Mkuranga kama vile Mwandege, Kisewe na Vikindu Mbagala imepanuka Kwa kasi...
  15. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Miji yenye hadhi isiyostahili

    Kumekuwepo na mjadala kuhusu Majiji. Ukweli ni kwamba sio Majiji tu ambapo yapo yenye hadhi hiyo ilihali kiuhalisia ilipaswa yawe manispaa Tu. Leo nakupa orodha ya manispaa zisizostahili hadhi hiyo. 1. Lindi 2. Shinyanga 3. Tabora 3. Singida 5. Kigoma 6. Songea 7. Musoma 8. Bukoba Manispaa...
  16. goldcall

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aina za wanawake ndoani

    Kuna mke, kuna muke, kuna mke mkeni, mke mke wenu, mke mke wao, mke mkeo, mke mke, kuna mke mkeka, mke mkemia, mke mkeketwa, mke mkimbizi, mke msindikizaji ,mke mdangaji,harafu kuna hii mke brilliant yaani mke baby sweet! Ni wachache hawa! Sijui upo wapi hapo!
  17. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kinachosababisha wanaume wengi kusomesha wapenzi wao ni kulinda hadhi yake na ya watoto watakaowapata

    Ipo hivi, unakuta mtu anafanya kazi inayomuingizia kipato cha kutosha na anajuana na watu wengi wenye hadhi zao, lakini upande wa pili mwanamke aliyenaye anafanya kazi kwa mshahara usiozidi hata laki 3 mfano hawa walimu wa chekechea na hawa ma medical attendants Kwa mantiki hiyo lazima...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Wasabato Yesu Kristo ni Alfa na Omega, Mnadai alianza kufanya upelekezi wa matendo yetu miaka ya 1860's, haingii akilini, mnamshushia hadhi yake!

    Moderator naomba mada hii isiunganishwe kwingineko Wadau hamjamboni nyote? Nimekuja tena na hoja kuwa Yesu Kristo ni Alfa na Omega na amekabidhiwa mamlaka yote haitaji kufanya upelekezi kujua dhambi anazozifanya mwanadamu! Ndiyo yeye ndiye mwenye mamlaka makuu na uwezo wake haufananishwi na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kenya yapata hadhi ya Mshirika wa kudumu wa Marekani

    Kenya imekuwa nchi ya kwanza kusini mwa jangwa la Sahara kuwa mshirka wa kuduma wa Marekani asiyefungamana na NATO. Hivyo anaungana na nchi nyingine za Afrika zenye hadhi hiyo ambazo ni Misri, Morocco na Tunisia. Kenya itanufaika kwa mengi kupita ushirikiano huo hasa masuala ya ulinzi...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Awamu ya 6 Tuna Bunge la Ajabu linalodharau elimu na hadhi za Msoto na zenye thamani kwa Taifa hasa hadhi ya Maprofesa wa chuo cha SUA

    Shalom, Ifahamike kuwa ndani ya Bunge la Tanzania kuna wabunge wa Hovyo Sana ambao elimu za za darasa saba, na form 4 za hovyo tu. Hawa wabunge kinara wao ni yule Mbunge mpumbavu ambae amenunua hadhi ya kitaaluma ambayo hana akijiita Dr.Musukuma huyu kiumbe ni mpumbavu sana na katika mazingira...
Back
Top Bottom