Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,722
- 218,286
Hii maana yake ni kwamba Ubalozi si lolote wala chochote kwenye maisha ya Tanzania.
Kumvua Ubalozi Dkt. Slaa zaidi ni kumuongezea Umaarufu na heshima kwa jamii yake , ni sawa na kumvisha nishani kwa mapambano Matukufu dhidi ya wezi wa Bandari zetu.
Kama aliyevuliwa ubalozi na Magufuli ameteuliwa na Rais Samia kuwa Kamishna wa TRA , basi bila shaka hata Dr Slaa naye atateuliwa popote na wengine wanaokuja.
Hakika washauri wa Hangaya wamelenga kumdhalilisha badala ya kumshauri