hadhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Uhakiki wa video za CNN unaendelea, serikali inatoa wito wa CNN kufuata weledi na maadili ya uandishi

    Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema: Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari. Si kweli CNN ilishindwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama CNN kufanya makosa ya kiweledi kama hayo...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hayati Nyerere avuliwe hadhi ya Baba wa Taifa

    Mimi huwa sipindishi maneno. Yeyote yule akizingua nambadilikia. Kwa ufupi Mimi sio muumini wa kudumu wa chama au kiongozi yeyote awe wa upinzani au wa chama Tawala. Haya yote mnayoyaona kuwa hayako sawa ni matokeo ya utawala wa Mw. Nyerere. Alikuwa hana uwezo wa kuona mbali, kwakuwa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ili kulinda hadhi yake na Majaji wengine ajiuzulu

    Kufuatia kufanyika Kwa uchaguzi, ambao haukukidhi viwango vya Haki. Ni vizuri Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi, anajiuzulu na kuyakana haya matokeo. Na Majaji wakatae teuzi kwenye vyombo ambavyo, hawa taweza kufanya kazi ipasavyo kama hakuna mabadiliko ya Sheria yatakayo wawezesha kufanya...
  4. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Joel Nanauka anaenda kuibomoa heshima na hadhi aliyoijenga kwa muda mrefu

    Asipojitafakari atageuka kuwa kama akina Msukuma, Kibajaji na wasomi wengine wa CCM.
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Uholanzi yaungana na Marekani kukipa hadhi ya ugaidi kikundi cha ANTIFA

    ANTIFA ni muunganiko wa vikundi vy kikomonisti, vikundi vya mashoga, vikundi vya itikadi kali, etc katika itikadi moja ya kupingana na mrengwa wa kulia kwa kutumia vurugu, mauaji na uharibifu. Soma pia...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya hivi vilabu kuwa vinawaelekeza wasanii nini wasifanye kwenye matamasha ili kutengeneza hadhi

    Niliangalia matamasha ya simba day na yanga day ya mwaka huu nikaendelea kushuhudia kitu ambacho nilidhani hakikupaswa kufanyika kutokana na ukubwa wa vilabu hivi kwa sasa na umaarufu wa matamasha haya kwa sasa barani afrika na duniani kwa ujumla. Msanii kiongozi kwenye tamasha la simba day...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameipandisha hadhi Halmashauri ya Bagamoyo kuwa mji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, 𝐌𝐡𝐞. 𝐌𝐨𝐡𝐚𝐦𝐞𝐝 𝐌𝐜𝐡𝐞𝐧𝐠𝐞𝐫𝐰𝐚, akiwa katika ziara yake Wilayani Bagamoyo, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 𝐌𝐡𝐞. 𝐒𝐚𝐦𝐢𝐚 𝐒𝐮𝐥𝐮𝐡𝐮 𝐇𝐚𝐬𝐬𝐚𝐧, ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na kuwa Halmashauri ya Mji wa...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hata kama kwa 75% sikubaliani nae ila kusema kuwa kupambana na akina Mwalimu na Mpina ni Kujishosha Hadhi hapa nasi tumeteleza

    Hivi akina Mwalimu na Mpina wangekuwa ni Wagombea wa Vyama vyetu pendwa (siyo CCM) bado tungewadharau hivi? Tafadhali tumpinge Rais Samia kwa Hoja za maana na siyo za kutufanya Wote tuonekane ni Wapumbavu.
  9. Tman900

    JamiiForums Tanzania Kuniona wa Hadhi ya Juu

    Kuna mtu anajiona wa Hadhi ya juu sana. Hata salamu yake naongea kama unamlazimisha hivi, sauti kama anabana pua zote pozi za kujiona na Hadhi ya juu. Sasa, Leo Mchana Kuna mpangaji nimeambiwa na Dalali anaingia kwenye kibanda Changu. Nikamwambia atume tu pesa mkataba nitampitishia...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana hadhi ya kupewa udaktaria wa heshima

    Udaktaria wa uropokaji.🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  11. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Kujaamiana na mke wangu,kwangu ni tendo la furaha na hadhi kubwa sana

    Tunapolifanya tendo hili na wake zangu,ni tendo la furaha kubwa na hadhi ya juu sana: 1.Kila mmoja wetu huwa na shauku la kulifanya na kila mmoja anataka kujua mwenzie atakuja kujaje,staili gani 2.Kila mmoja huwa anamtaka mwenzie kwa hamu kubwa 3.Tunapolifanya hulifanya kwa kushambuliana sana...
  12. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Polepole avuliwe hadhi ya Ubalozi, hastahili tena!

    Mamlaka zimvue hadhi ya Ubalozi Mheshimiwa Polepole kwa kukiuka misingi ya Wana diplomasia - Vienna Convention on Diplomatic Relations (1964). Abaki kwenye UHANAHARAKATI uchwara.
  13. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Samia kumfutia hadhi ya ubalozi Polepole kama ilivyokuwa kwa Slaa?

    Simu ni nyingi sana kwa vigogo wa CCM kwenda kwa mama. Wengi wanamtaka afanye suala hilo haraka sana ndani ya saa 72. Lakini Polepole hana habari na hadhi hiyo wakati anarudi Iringa kulima alizeti.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hadhi ya nafasi ya ubunge inazidi kushuka

    Ndugu zangu najaribu kuwaza kwa sauti baada ya mchakato wa chama cha mapinduzi wa kuchukua form kuanza leo, nimeona mambo ambayo yanatafakarisha sana. KUmekua na wimbi kubwa la watu maarufu kifedha ama kisanii lakini pia familia maarufu kuchukua form za ubunge. Ni sahihi kwa sababu wana haki...
  15. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Kama unahitaji nyumba ya chini yenye hadhi pita hapa uone hii, if you like our work just give us a call +255624004650

    6BEDROOMS CALL/WHATSAP +255624004650
  16. W

    JamiiForums Tanzania Sijawai kuona chuo Over rated kama SAUT Mwanza, Ni chuo kilichopigwa make-up ya maneno lakini hadhi yake ni chuo cha kati

    Wanafunzi wa Sauti Mwanza wakisifia chuo chao, unaweza kuhisi unakosa kitu cha kipekee, kuna kipindi walikuwa wanajitutumua hadi kujilinganisha na UDSM, UDOM, MZUMBE, n.k. nilikuwa nadhani ni bonge la chuo ila nimekuja kukifuatilia nimekiona ni chuo cha kawaida sana. Kitivo cha biashara hakina...
  17. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi hadhi ya Tanzania ilivyo, bado hatujafika mstari wa kushitakiana kwa kesi za "UHAINI", yaani "TREASON"

    Note: Nchi yoyote inayoendekeza kesi za uhaini, mwisho wake ni mbaya!! Uhaini siyo jambo la mchezomchezo!! Na kwa nchi zenye viongozi wenye upeo wa mambo, haziwezi ruhusu kesi za uhaini wapewe non-millitary personels ovyo ovyo! Demokrasia yetu kidogo inaendana na Afrika Kusini. Nginjanginja za...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mjeshi kupigana na Mtu asiye na mafunzo, kutumia silaha kwa mtu asiye na silaha. Inabomoa heshima na hadhi ya Jeshi

    Habari za Sabato! Kuna Mambo yanachekesha kwa nje lakini kwa Ndani yanasikitisha Mno. Yanavua heshima. Mjeshi mwenye mafunzo ya kijeshi. Komando tena jasusi bobevu ATI kupigana na raia ambaye Hana mafunzo yoyote Yale. Tena zaidi wengine hufikia hatua unampiga mtu asiye na mafunzo lakini...
  19. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania sheria ya kuwapa diaspora hadhi maalumu ilipita?

    Naomba kuuliza iwapo sheria ya kuwapa hadhi maalumu,watanzania waliochukua uraia nchi za nje.Nauliza maana baadhi ya ndugu zangu wali hukua uraia wa canada,uingereza na ujerumani,sasa wanataka kuja kuwekeza.Nitashukuru nikipata malezo ya kina
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA hauna hadhi ya kutumika ligi kuu

    Ukweli useme Bodi ya ligi wameshindwa usimamizi wa ubora wa viwanja Kwanini bodi ya ligi iliufungilia huu uwanja mbovu hivi? Ligi namba 6 Africa haiwezi kuchezwa kwenye majaruba, kuruhusu uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA kutumika ni kushusha hadhi ya ligi yetu. Uwanja pitch mbovu kama...
Back
Top Bottom