habari

  1. JamiiForums Tanzania Inasikitisha; Kijana ajiua baada ya kukosa ajira Jeshini

    Kijana Sunday Matara(28)amejiua kwa kujinyonga baada uongozi wa Jeshi la Kujenga Taifa kusitisha mafunzo kwa vijana wa kujitolea 2020/2021. Marehemu tayari alikua amekamilisha mafunzo kwa miaka mitatu ambapo baada ya kutoka Jkt alikwenda kukaa kwa Kaka yake Pugu,Dar es salaam. Huko ndiko...
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee William Mbunga mwandishi wa habari mkongwe afariki dunia

    Habari zilizonifikia ni kuwa mzee William Mbunga mwandishi wa habari mkongwe, aliyepiga picha tukio maarufu uchanganyaji udongo kwenye Muungano wa Tanganiyika na Zanzibar amefariki Dunia tarehe 3/2/2021. Pia ndiye muanzilishi wa shule ya uandishi wa habari SJMC. Bwana ametoa, bwana ametwaa --
  3. J

    JamiiForums Tanzania Habari njema: " Bunge Live" limerudi!

    Hii ni habari njema hasa kwa Vyama vya Upinzani Chadema, CUF na ACT wazalendo ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakishinikiza kurejeshwa kwa bunge live. Bunge mubashara limerudi kupitia luninga ya CCM iitwayo Channel ten, karibuni sana. Hata sasa bunge liko live. Maendeleo hayana vyama!
  4. JamiiForums Tanzania Fursa kwa wenye Shahada ya Uandishi wa Habari na/au Mawasiliano kwa Umma

    Fursa ya Ajira kutoka DSJ Tuma CV yako kwenda: application@uti.ac.tz Sambaza upendo huu kwa uwapendao
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nimemwambia aachane na Habari za Kuoa. Afanye issues nyingine kwanza

    Jamaa yangu wa kazini leo kaja home kunichukua twende meneo ya uswahilini anakoishi. Anaishi Kijitonyama. Ni maeneo yenye msongamano sana kwa kweli sijui tu why serikali isingebomoa Sinza,Kijitonyama n.k halafu zikajengwa nyumba nzuri za kisasa. Jamaa anatumia Toyota Prado.akasema niende naye...
  6. JamiiForums Tanzania Hii habari ya kuombana pesa kwenye mahusiano kabla hamjaonana ni sawa au kuumizana tu

    Hii habari inaudhi sana au kwa wengine iko poa, mwanaume au mwanamke anakutana na mtu kwenye mitandao mnawasialiana na mnakubaliana hata kabla ya siku ya kuonana laivu haijafika mwenzio anaanza kukuomba hela haijalishi ni hela ya nini au kiasi gani lakini kwanini tusisubiri kuonana laivu na...
  7. JamiiForums Tanzania Je naweza soma Kozi fupi VETA halafu nikaenda diploma

    Habari zenu Wana JF, Mtu aliyesoma veta kozi ya muda mfupi anaweza kusoma diploma?
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Shirika la Afya Duniani (WHO) laitaka Tanzania kujiandaa kupokea chanjo ya Corona

    Siku moja baada ya Rais wa Tanzania, John Magufuli kutaka wizara ya afya kutokukimbilia chanjo ya Corona, Shirika la Afya Duniani WHO imeitaka nchi hiyo kujiandaa na chanjo ya Corona kama mataifa mengine duniani. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya mtandao, mkuu wa WHO...
  9. JamiiForums Tanzania TAKUKURU yautambua mchango mkubwa wa JamiiForums katika kuendeleza mapambano dhidi ya Rushwa nchini

    Salaam Wakuu, TAKUKURU yautambua mchango mkubwa wa JamiiForums pamoja vyombo vya habari Nchini katika kuendeleza mapambano dhidi ya rushwa nchini. Tukio hilo limefanyika leo 28 Januari Jijini Dar Es Salaam wakati wa Uzinduzi wa Chaneli mpya ya TAKUKURU TV ya YouTube. Tukio lhili imeambatana na...
  10. JamiiForums Tanzania Maongezi kati ya Mwandishi wa habari na Baba Askofu Mwamakula

    Wiki hii, Mwandishi mmoja kutoka Chombo kimoja cha Habari maarufu katika nchi za Afrika Mashariki alimhoji Askofu Mwamakula kuhusiana na "Matembezi ya Hiyari"! Ufuatao ni muhutasari (paraphrased) wa mahojiano hayo! Simu: Tilililili! Talalilalila! Tololololo! Askofu Mwamakula: Halo! Ninaongea...
  11. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Habari aagiza washindi wa Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Magufuli kwa gharama za Serikali

    Naibu Waziri wa Habari amewaagiza vijana walioshinda tuzo za kiswahili za Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Rais Magufuli kwa anayoyafanya kisha wimbo huo utarekodiwa katika Studio za TBC kwa gharama za serikali. Ameyasema hayo alipokuwa anapokea tuzo ya juu ya Kiswahili ya Shaaban Robert...
  12. JamiiForums Tanzania BBC Swahili: Tanzania yapiga marufuku biashara ya Nguruwe! Huu ndio weledi wa habari wa BBC au Kuna kitu wanalenga?

    Kuna tatizo Sehemu? ama kuna kitu kinatafutwa kwa makusudi? Kwa chombo cha habari chenye nguvu kubwa Kama hiki kutangaza habari namna hii kinaleta madhara makubwa sana kwa jamii na kuharibu kabisa taswira na biashara husika ambayo nina hakika Kuna watu wamewekeza kwayo. Hii itatufanya hata...
  13. JamiiForums Tanzania Maisha baada ya lockdown yatakua kama safina ya Nuhu ilipopata habari njema baada ya gharika.

  14. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Simba wapige stop habari zao kwa Clouds

    Nawaomba uongozi wa simba waipige stop kuzungumzia simba kwa njia yoyote ile sababu ukiona simba inazumziwa sana clouds basi tambua kuna jambo baya hapo kwenye mema wala watazungumza hata dakika moja haishi, kwa sababu hiyo nawaomba iwazuie clouds kuizungumzia kama ilivyokuwa radio one miaka...
  15. JamiiForums Tanzania Mapinduzi Cup: Waandishi wa habari za michezo mnatia aibu,pamoja na wale wa Azam media

    Kwa anayefuatilia michuano ya Mapinduzi Zanzibar atakuwa shahidi wa hili,post match interview kwa makocha,hasa mfano wa yule wa Azam,George Lwandamina anayetumia lugha ya malkia (English),waandishi wanashindwa kumuuliza maswali na hata wakimuuliza unaona kinyaa kabisa ukizingatia inakuwa Live...
  16. JamiiForums Tanzania Sheria ya Vyombo vya Habari kuanza kutumika Januari 2022

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amewataka wamiliki wa vyombo vya habari na waandishi wa habari kuhakikisha wanajipanga ili kuendana na matwaka ya Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari (2016), itakayoanza kutumika Januari mwakani. Wakati akizingumza na na...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani acheni kukimbilia Vyombo vya Habari

    Yaani sasa imekuwa kawaida jambo dogo mnakimbilia vyombo vya habari, tuambieni jambo moja mliloliendea kwenye vyombo vya habari na kuwaletea faida, moja tu. Siasa sio kwenye vyombo vya habari kama hamuwezi kufanya siasa acheni kuwajingisha Wananchi. Kama kuna faida basi wakulima wangalienda...
  18. R

    JamiiForums Tanzania China yajenga mtandao wa kwanza wa mawasiliano ya habari wa Quantum

    China yajenga mtandao wa kwanza wa mawasiliano ya habari wa Quantum wa ardhi na setilaiti duniani Chuo kikuu cha sayansi na teknolojia cha China kimetangaza kuwa timu ya utafiti ya China imefanikiwa kutimiza ugavi wa ufunguo wa siri (Secret-Key) wa Quantum wenye umbali wa kilomita 4600, ambayo...
  19. JamiiForums Tanzania Vichwa vya habari miaka kumi ijayo na kuendelea

    VICHWA VYA HABARI MIAKA KUMI IJAYO NA KUENDELEA .. TBC HABARI 2030: Ndugu Tundu Lisu aapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwa rais wa kwanza kuongoza nchi hii kutoka chama pinzani. GAZETI LA MWANASPOTI 2054: ujeruman yasema walistahili kutolewa na taifa stars kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Likizo bila malipo ipoje hii? Ufafanuzi please

    Habari zenu wakuu, Naomba msaada kwa ambao walikuwa ndani ya utumishi wakaomba likizo bila malipo utaratibu wake upoje. Kwa maana kwamba naanzia wapi ili nipate na huwa wanatoaga muda gani? (miaka)
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…