Vyombo vya habari kwa wakati huu viko na nguvu ndogo sana.

Tunapita1

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
561
1,006
vyombo vya habari hapa Tz havinà nguvu kabisa ,sasa hivi mitandao ya kijamii ndo kila kitu.

Mgombea anayekubarika mitandaoni basi ndo anayependwa huu ndo ukweli.

Watu radio na Magazeti awayasikilizi sana, labda wazee wamakamo tu tuweni wakweli tu.

Hii hoja ya Rais wa mitandao , basi tuseme Ccm watapata Rais wa redio na magazeti.
 
Buku ya kununulia gazeti, inaniwezesha kupata GB 1 na dkk 10 za halotel wiki nzima. Naperuzi mitandaoni weee mpaka nachoka.

Lakini Habari kwa magazeti ingenilazimu nitumie 7000/= wiki nzima. Mitandao ina-save 6000/= na hivyo naishia kutumia 1000/= wiki nzima na ninapata Habari nyingi kuliko ambazo ningepata kupitia vyombo vya Habari.
 
Back
Top Bottom