G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,555
- 35,880
Tundu Lissu mgombea urais wa JMT kupitia CHADEMA anatarajia kuongea na vyombo vya habari leo majira ya saa kumi na nusu jioni.
-----
Wito wa dharura, Mkutano na Waandishi wa Habari
Chief, habari za muda huu?
Naomba kukutaarifu kuwa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mhe. Tundu Lissu, atazungumza na vyombo vya habari vya kitaifa na kimataifa, nyumbani kwake, Tegeta (Azania) jijini Dar es Salaam leo Ijumaa, Oktoba 2, 2020, *saa 10.30, jioni, kuhusu jambo la dharura na muhimu katika kampeni za Uchaguzi Mkuu zinazoendelea nchini.
Tunatanguliza shukrani na samahani kwa wito huu wa dharura sana. Asante sana.
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Chadema