Kabulala
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 695
- 935
Ndugu waandishi,
Nimekua nikifuatilia KAZI zenu hasa za kwenye TV zenu za YouTube na kugundua wengi wenu mavazi yenu hayawatanabaishi kama wataaluma/ watu wenye Ku-command respect kutoka Kwa vyanzo vyenu mnavyochukua habari hasa zile za kisiasa au stream/wadau wenu mnakopereka habari.
Natambua wengi wenu bado ni vijana na wengi wenu mnapenda Sana Kuvaa kisasa lakini nahisi uvaaji wenu unaweza ukamperekea Yule MTU mnayemuhoji kutokuwachukulia serious. Imagine mgombea wa Urais au Ubunge anawaita kwenye press conference na mnatambua ni Tukio la kisiasa lakini mnaenda wengine mmevaa casual tuu(jezi za timu za soccer za magharibi na sandals).
Sidhani outlook yenu inaonesha utanashati si tuu Kwa macho lakini pia Kwa Taaluma yenu.
Nashauri jaribuni kuwa na muonekano wa kuvutia kikazi ili muweze Kuleta mvuto Kwa wadau wenu, binafsi nisingependa kumwona presenter akiwa kavalia jezi za timu akiniletea taarifa za kisiasa au kiuchumi ata kama Mimi pia ni shabiki wa timu husika.. Shati nadhifu na Tai simple ingependeza..si kutuvalia matishirts yenye maudhui yasiyoendana na habari mnazotuletea.
Samahani kama nimewakwaza ila ni kwa ajili ya kuboresha tasnia yenu ili iendane na Karne hii.