Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yavitaka vyombo vya habari kulinda amani katika kipindi cha uchaguzi

Hivi amezungumzia rufaa za ubunge 'wa upinzani' zinazocheleweshwa na sababu yake nini zikiwa zimebaki siku chache kabla ya uchaguzi?
 
Amani ipi anayoongelea ikiwa Tundu alipigwa risasi mchana na hakuna kinachoendelea mpaka leo.

Mahela acha porojo ,amani itakuwepo kama msipoiba kura zetu.
 
Amani ipi anayoongelea ikiwa Tundu alipigwa risasi mchana na hakuna kinachoendelea mpaka leo.

Mahela acha porojo ,amani itakuwepo kama msipoiba kura zetu.
Mahera anaongelea amani wakati wabunge kadhaa wa CCM waliopita bila kupingwa
 
Back
Top Bottom