Azam Media kama hamuwezi Kuvumilia habari za DW Acheni Kurusha..

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,445
8,299
Leo nilikuwa sijapanga kuandika chochote hapa JF. ila hawa Azam media wamekuwa wadwanzi sana hasa upande wa radio UFM. Nimekuwa nikifuatlia trend yao ya urushaji matangazo ya DW siku nyingi mwanzo nilihisi ni bahati mbaya.

Lakini nimejirizisha pasina shaka.kwamba wanafanya makusuidi huku wakisingizia matatizo ya kiufundi kwa nini habari zote ambazo zinakuwa mwiba kwa serikali mnakuwa mnakata kata matangazo yenu ni kwa faida ya nani. Mnahabarisha nini? Uhuru wenu wa kuhabarisha na weledi uko wapi?

Mnaleta sababu za ajabu ajabu mnafikiri kiila mtu ni mjinga mjinga. Mbona RFA hawana huo utoto habari zote tunazisikia bila kuchakachuliwa. Tutaamni vipi hata habari zenu za ndani mnazoripoti kama hamzipiki?

Nimefuatilia pia Mara zote Dk slaa
Anapokuwa anahojiwa na DW kuhusu sakata la bandari lazima Azam media wakate matangazo.

Mahojiano yakiisha wanarudi huu ni ukenge na uhuni, si ajabu watu wanawatuhumu mmelalia udini udini kwenye hiyo media yenu kama vipi mchukueni na kitenge ng'ombe kabisa.
 
Azam media imeteka soko la habari nchini lakini haina uvumilivu wa habari hizo kwa kuwa ina udini mwingi sana. Kutegemea media hiyo kupata habari nyeti ni kujikoshesha habari hizo bure. Mpira ndio unaowafanya wauze media zao lakini kwa habari ni sifuri si wa kutegeme, udini mwingi sana pale
 
Azam toka kipindi cha JPM, jamaa hawatakagi shida na serikali, hutasikia siku wameiokosoa serikali toka wakati wa JPM hadi leo
 
Back
Top Bottom