habari

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashiriki katika Mkutano wa Dunia wa Jumuiya ya Habari (WSIS), nchini Uswisi

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (MB), akiongozana na Naibu Katibu Mkuu, Nicholaus Mkapa ameongoza kikao kazi cha ujumbe wa Tanzania katika ofisi ya balozi na mwakilishi wa wakudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa kabla ya...
  2. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mchango wa Uhuru wa Habari katika Maendeleo ya Uchumi wa Tanzania katika miaka 25 ijayo

    Mwanzo wa kunukuu, UHURU WA VYOMBO VYA HABARI UNATOKANA NA UTASHI WA KISIASA - WAZIRI NAPE 03rd May, 2024 Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amesema uhuru wa vyombo vya habari unaoshuhudiwa sasa unatokana na utashi wa Kisiasa wa Rais wa Jamhuri...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuzi wa weledi na maadili ya Uandishi wa Habari, je Al Jazeera ni Chambo cha Habari cha Kimataifa kinachokidhi vigezo?

    Gęby Sikiliza namna kina tokują na double standard, na hivyo kuifanya jamii ya mashariki ya Kati kuendeleza chuki dhidi ya jamii zingine https://youtu.be/5iWJVXaFTxo?si=-7Cp87y_su-0l7qs
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zambia: Wananchi wapinga Serikali kuanzisha Sheria ya Kudhibiti Vyombo vya Habari vya Mitandaoni

    Tangazo la Serikali kuitaka Mamlaka Huru ya Utangazaji (IBA) kuongeza Kanuni mpya zitakazodhibiti Uendeshaji wa Vyombo vya Habari vya Mitandaoni limeibua malalamiko ya Wananchi wanaodai zinalenga kuminya Uhuru wa Habari na Kujieleza Baadhi ya Wanahabari na Wanaharakati wamesema "Kuna haja...
  5. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania SoC04 SAUTI YA KESHO: Safari ya Uhuru katika Vyombo vya Habari na Mtandao Tanzania

    MWANZO Tanzania ina fursa ya kujenga jamii iliyo wazi zaidi, yenye demokrasia imara na uchumi endelevu katika miaka 5 hadi 25 ijayo. Uhuru wa vyombo vya habari na mtandao ni nguzo muhimu katika safari hii. Ni dhairi, ulazima wa VPN (japo nayo imepigwa marufuku) ili kupata baadhi ya mitandao kama...
  6. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Wadau: Tutasubiri upatikanaji wa sheria mpya za Habari Zanzibar mpaka lini?

    ZANZIBAR. WADAU wa vyombo vya habari wameiomba serikali ya Mapinduzi Zanzibar kukamilisha mchakato wa marekebisho ya sheria za habari zilizotolewa maoni na wadau ili kutoa mazingira rafiki kwa waandishi wa habari kutekeleza majukumu yao bila vikwazo. Imeelezwa kwa muda mrefu licha ya wadau...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi nipate laki 8 nadaiwa chuoni tokea 2021

    Habari wanajukwaa Mimi ni binti wa miaka 28 nimesoma diploma ya pharmacy changamoto niliyonayo ni kusikia nimemaliza chuo 2020 sjabahatika kupata Chet nadaiwa sina wazazi. Naombeni mnisaidie jamani hata kazi yoyote tafadhal nichukue chet changu asanteni Mungu awabariki.
  8. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vyombo vya Habari za kiuchunguzi ndio suluhisho la uzembe na rushwa kwa Taasisi za Serikali

    Japo ni ngumu kwa nchi za Afrika lakini bado tunaweza. Tumeona naibu rais tayari ameagiza jeshi la polisi kuanza kutumia mfumo wa kurekodi matukio yao wanapokuwa kazini, jambo jema sana lakini bado kunahitaji mengi zaidi. Miradi mbalimbali sa serikali inakwama au kuendelea taratibu tofauti na...
  9. kilio

    JamiiForums Tanzania Je tasnia ya habari imejiandaa na Program za Akili Bandia (Generative Artificial Intelligence) zenye uwezo wa kutengeneza Fake News and Misinformation

    Tumeshuhudia siku za karibu waziri Dorothy Gwajima akitoa tamko juu ya maudhui ya mwanadada anayeishi na nyoka. Huu ni mwanzo tu, mengi yanakuja kupitia programu za akili bandia. Program hizi zina uwezo wa kutengeneza fake picha, fake video and fake sauti ili mradi kuleta utata na upotoshaji...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Waandishi wa Habari hawana Sifa za taaluma hiyo ndio maana hawapewi mikataba

    Asilimia kubwa ya waandishi wa habari nchini hawana mikataba ya ajira na hawatambuliki na mifuko ya hifadhi ya jamii. Hali hii inatokana na ukweli kwamba waandishi wengi wa habari hawana capacity hakuifanya kazi yao. Most of journalists in Tanzania are mainly reporters. Na hali Hii imepelekea...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Eric Shigongo: Vyombo vya Habari vikipewa ruzuku ya Serikali vitakuwa vimefungwa mdomo

    Mbunge wa Buchosa, Eric James Shigongo amesema “Kuna hali mbaya sana kwenye Vyombo vya Habari labda kama Serikali imeamua vife ili wafanye mambo yao sawasawa, hakuna maendeleo bila Vyombo vya Habari.” Ameyasema hayo wakati akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Habari, Nape Moses Nnauye awasilisha Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi 2024/2025, Mei 16, 2024

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 27, leo Mei 16, 2024 ambapo pamoja na Maswali na Majibu, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye atasoma Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2024/25...
  13. OLS

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na ranks, kwa score bado mazingira ya habari ni magumu

    Mei 3, watu wengi walifurahi kuona Tanzania imepanda kwa nafasi 40 kwenye uhuru wa habari duniani. Yaani mwaka 2023 ilikuwa ya 143, lakini mwaka 2024 imekuwa ya 97. Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya Reporters without Borders. Hata hivyo, ripoti ile inaweka score kwa kila nchi na kila score ina...
  14. Rule L

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kushare habari mbalimbali kuhusu ushamba kwenye vitu mbalimbali

    Mimi vitu vya kishamba ambavyo nimewahi kuviona ni kama ifuatavyo. 1. Hii ilikua kipindi Cha redio za cassette msukuma ameweka Kanda na amenyanyua antenna kana kwamba anasikiliza radio stations. 2. Mzee mmoja alipeleka radio kwa fundi ili apate radio taifa (tbc) maana zilikua zinasikika radio...
  15. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bahari ya maarifa: Safari ya Prince kuelekea Tanzania tuitakayo katika maendeleo ya tasnia ya habari na mawasiliano

    Katika pembe ya kusini mwa Tanzania, katika kijiji kidogo kilichofichwa na milima na misitu, kulikuwa na kijana mmoja aitwaye Prince. Prince alikuwa na ndoto kubwa ya kuleta mageuzi katika tasnia ya habari na mawasiliano nchini Tanzania. Aliamini kuwa kupitia nguvu ya habari na mawasiliano...
  16. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Watanzania tuwe Makini na habari za Mtandaoni

    Tuwe makini na watu wanaoandaa taarifa za video kama ya huyu anaye 'trend' kwa video ya madai kuwa eti anafanya mapenzi na nyoka Ili kupata hela pamoja na video zingine zenye mlengo aina hii. Napenda KUIKUMBUSHA jamii kuwa: Ni kosa la jinai chini ya Kanuni ya Adhabu , Sura ya 16 ya Sheria za...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Sintosahau: Siku mwandishi wa habari alipotushawishi tulie mbele ya kamera ili habari yetu na yake ipate uzito, wanawake waliweza, wanaume tulishindwa

    Katika taaluma ambayo ina " wasanii" wengi ni taaluma ya habari, kulikuwa na tukio moja la kubomoa nyumba katika eneo letu, jamaa mmoja mjanja mjanja akasema ana namba ya mwandishi wa habari, akampigia akaja fasta. Baada ya kufika akadai tumpe za kwake kwanza, na pili, ili habari iwe ya kwanza...
  18. Hussein Obama

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira za kibarua, nipo Mbeya

    Habarini wakuu, Naomba kwa anaefahamu sehemu wanatoa vibarua kwa siku Mbeya, iwe ni kiwandani ama kwenye miradi ya ujenzi, barabara n.k naomba anisaidie conection au utaratibu wa namna ya kupata hivyo vibarua nina uhitaji nacho sana nawaomba wakuu kwa waliopo Mbeya.
  19. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa WASAFI TV na FM sijui wapo kundi gani upande wa tasnia ya habari

    Ni jambo zuri kuwa na ongezeko la vyombo vya habari ila kuongezeka kuna takiwa kuwe na utofauti sana ili ukiangalia au kusiliza unajua kilichokupeleka. Wasafi Tv na FM bado wanashida kwenye kujitofautisha yani uwezi kuelewa wanataka nini kama ni kwa ajili ya burudani,michezo,habari au mambo...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wàjuvi wa habari, Rafah kuna nini?

    1. Kwanini Israel inahamisha watu? 2. Kwanini inataka kupiga mji wa Rafah . Wanahama kwenda wapi masikini wa MUNGU
Back
Top Bottom