habari

  1. C

    JamiiForums Tanzania naomba kujua mishahara ya maafisa habari / wasemaji wa vilabu vya nbc premier league ukiondoa tu wanaolipwa vyema wa yanga, simba na azam tafadhali

    kuna wa klabu moja nasikia pamoja na mikogo yake yote popote pale alipo analipwa shilingi laki tano tu ya mafungu
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Baraza la Habari Tanzania (MCT) linazindua Ripoti ya Hali ya Sekta ya Habari Tanzania 2022/23 leo Julai 4, 2024

    LICHA YA UHURU VYOMBO VYA HABARI KUONGEZEKA TANZANIA, BADO KUNA SHERIA KANDAMIZI Ripoti ya Hali ya Sekta ya Habari Tanzania kwa mwaka 2022/23 imeonesha pamoja na kuongezeka kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari tangu Rais Samia Suluhu Hassan alipoingia Madarakani Machi 2021, bado utafiti kuna Sheria...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nauza maharage ya njano kwa bei ya jumla

    Nauza maharage ya njano kutoka Arusha Kwa bei ya jumla 2800,Nb: Delivery ipo
  4. Mgosi Mbena

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais hafanyiwi interview na vyombo vya habari vya ndani?? Kwa mara ya kwanza nimeona kenya

    Kwanini rais wetu mpendwa hafanyiwi interview na vyombo vya habari vya ndani?? Shida ni nini hasa?? Nishamuona akihojiwa na BBC!! Nao wanadai wamemuomba na kusubiri muda mrefu mpaka kukubaliwa!! Je hii ndio kusema Vyombo vya habari havina uwezo au Mkuu wa nchi haoni haja ya kuhojiwa na...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali kuzungumza na Waandishi wa Habari jioni hii.

    Ndugu zangu Watanzania, Msemaji mkuu wa serikali atazungumza na waandishi wa habari jioni hii,ambapo atakuwa live au mbashara kupitia vyombo vyote vya habari hapa Nchini yaani vile vya serikali na vile vya binafsi vitarushaa matangazo hayo na mkutano huo na waandishi wa habari muda wa saa kumi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Suala la usajili wa wa Clatous Chama limedhihirisha kuwa vyombo vya habari vya michezo nchini ni waongo na hawana uwezo wa kuchunguza na kupata ukweli

    Mwezi mzima huu vyombo vya habari hakuna hata kimoja kilichoandika habari ya usajili wa mchezaji Clatous Chota Chama kwa usahihi, sio vyombo vya habari vya michezo, sio mitandao ya kijamii na wala sio wachambuzi au wachang'ombe feki hapa nchini. Hebu fikiria ndipo uone kuwa vyombo vya habari...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Elibariki Kingu: Mpina alilipa kila chombo cha habari 10,000,000, wabunge watoa tamko kumlaani wakinukuu korani na biblia

    Ni rasmi sasa Mpina ni mbunge aliyelaaniwa. Hii imetokana na Askofu Gwajima kunukuu aya ya biblia ambayo wabunge waliitikia ameen, aya hiyo inapinga kumfitini nduguyo. Baadhi ya wabunge walimfananisha Luhaga Mpina na nguruwe, na wengine walimfananisha na nyani. Elibariki Kingu ameeleza Bunge...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Habari ya mjini kwasasa ni Msoga marathon, kuunguruma Jumamosi hii Juni 29 ili kwenda kusaidia huduma ya afya ya mama na mtoto

    HABARI YA MJINI KWASASA NI MSOGA MARATHON, KUUNGURUMA JUMAMOSI HII JUNI 29 ILI KWENDA KUSAIDIA HUDUMA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO 💥Usajili wake unaendelea nchi nzima, Zoezi la Ugawaji Vifaa kwa ajili ya kukimbia na Msoga Marathon linaendelea 💥Jisajili sasa upate vifaa vyako ili Jumamosi tukate...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi tunaibiwa kwa uvivu kupitia nafasi za ufadhili wa masomo nje

    Kuna wimbi la watu wengi wanaelezwa juu ya nafasi za ufadhili wa masomo ya juu kwa ngazi tofauti na mashirika mbali mbali. Mara nyingi kwa kutumia lugha za biashara mfano "Scholarship opportunities upto 50%" Watu wamekuwa wakikimbilia fursa hizi na kupatiwa nafasi vyuo mbali mbali nje ya nchi...
  10. Journalists

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kujitolea, nina shahada ya Uandishi wa Habari

    Habari, Mimi ni mvulana natafuta nafasi ya kujitolea shirika lolote Nina degree ya Journalism nipo mkoa wa Iringa
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mwandishi wa Habari, Dinna Maningo na wenzake waachiwa kwa dhamana kutoka Polisi

    Mwandishi wa Habari, Dinna Maningo pamoja na wenzake Waandishi wa Habari wawili wameachiwa huru baada ya kushikiliwa kwa zaidi ya wiki moja. Taarifa zaidi zinafuata... ~ Hii kamatakamata ya Waandishi wa Habari na ukimya wa Polisi, ni hatari kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari ~ THRDC: Mwandishi...
  12. Iddizahoro

    JamiiForums Tanzania Habari wana jamii Naomba gari ndogo ya kufanya kazi ya kuleta hesabu nipo DSM

    Waungwana habari za majukumu. Naitwa xx natokea maeneo ya mikwambe kibada kigamboni mkoa wa Da es Salaam. Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari ndogo aina ya IST,SIENTA,n.k naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi hapa mjini Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo madogo kwangu...
  13. Iddizahoro

    JamiiForums Tanzania Habari nahitaji gari ndogo ya kufanya kazi ya kuleta hesabu nipo DSM

    Waungwana habari za majukumu. Naitwa xx natokea maeneo ya mikwambe kibada kigamboni mkoa wa Da es Salaam. Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari ndogo aina ya IST,SIENTA,n.k naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi hapa mjini Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo madogo kwangu...
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hii kamatakamata ya Waandishi wa Habari na ukimya wa Polisi, ni hatari kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari

    Nikiwa kwenye TV yangu nimefanikiwa kupata nafasi ya kumsikiliza Mkuu wa Nchi Rais Samia Suluhu Hassan kwa mara nyingine akisisitiza Uhuru wa Vyombo vya Habari, hii ilikuwa kwenye lile Kongamano la Wanahabari, Juni 18, 2024. Alivyokamatwa Mwandishi wa kwanza katika sakata hilo ~ Mwandishi...
  15. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunajali Maafisa Habari kuliko Madaktari?

    Kuna nchi Afisa Habari ana muhimu zaidi kuliko hata Madaktari wanaookoa maisha ya Mama zetu Vijijini. Waandishi/ Maafisa Habari, wanapewa posho kila kikao, audience kibao. Hivi ni lini tutaheshimu na kuwathamini Madaktari wa binadamu Kwa maslahi na vifaa kazi? PIA SOMA - Kwanini Serikali...
  16. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Tuna hatari zaidi kwa Vyombo vya Habari kuliko wakati mwingine...

    Na. M. M. Mwanakijiji Kuna kitu hakiko sawa. Inapotokea kuwa watawala wanashukuru, wanasifia, wanaunga mkono na wanaonekana kuwa wametulia na kuenjoy uhusiano wao na vyombo vya habari ni lazima tushtuke kidogo. Kwenye nchi zote zenye demokrasia ya kweli na zinazojaribu kujenga au zinazojenga...
  17. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Katika majumuisho ya Habari Mh, Rais Samia amtaja Max na Jamii Forum

    Tukiwa hapa Mlimani City Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemtaja Mkurugenzi Mkuu wa Jamii forum Maxence Melo na Mtandao mzima wa Jamii forum katka majumuisho yake kuhusu uandishi wa mitandaoni akiipa kongole Jamii Forum katka usimamizi mzur wa habar za mitandao lakini akaongeza kuwa makini...
  18. afrixa

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo katika uchumi wa bluu

    Kuendeleza uchumi wa bluu wa Tanzania kwa miaka 25 ijayo, inaweza kufanyika kupitia miradi mbalimbali: 1:Uvuvi Endelevu: Kuanzisha na kutekeleza sera za uvuvi zinazolenga uhifadhi na matumizi endelevu ya rasilimali za bahari. 2:Utalii wa Baharini: Kuendeleza vivutio vya utalii kama vile mbuga...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya UDSM (2020): Ubora Wa Maudhui ya Vyombo vya Habari Tanzania - UCHAGUZI MKUU 2020

    Ikiwa Uhuru utatishiwa, basi Demokrasia na Uchaguzi vyote vitaathirika, kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020, mazingira ya Vyombo vya Habari yalijipambanua kwa kufungiwa kabisa kufanya kazi, kuzuiwa kwa muda, kufutwa kwa leseni na kuporomoka mno katika vipimo vinavyoonesha viwango vya Uhuru wa...
  20. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vyombo vya Habari hasa Televisheni, TV za mitandaoni tumieni Teknolojia ya kubadili sauti kuwa maneno ili msiache nyuma watu wenye ulemavu wa kusikia

    UTANGULIZI: Navipongeza vyombo vyote vya Habari ambavyo vinaendelea kuwa wabunifu katika kurusha matangazo/maudhui mbalimbali ili kuhabarisha jamii kwa kujumuisha mtindo wa tafsiri kwa ALAMA ili iwe rahisi kueleweka kwa watu wasio sikia vizuri au wasiosikia kabisa. KIELELEZO: TBC wakiendesha...
Back
Top Bottom