Kabla hujaiponda Habari hakikisha kwanza upo Jukwaa gani

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Kumekuwa na Tabia kwa baadhi ya watu kudharau habari zinazopandishwa kwenye majukwaa ya JamiiForums.

Unakuta Habari imepostiwa kwenye jukwaa la Celebrities inamuhusu msanii eg. Harmonize, Diamond, Nandy n.k ila anatokea mtu from nowhere ana-reply "Tuondolee habari za kitoto" mwengine unakuta anasema "Jamiiforums siku hizi inawaachia watu wanaleta habari za kijinga" n.k

Ngoja nikuelekeze wewe Mshamba unaejifanya unajua kumbe huna unalolijua. Jamiiforum ni platform yenye majukwaa mengi na kila jukwaa lina maudhui (Contents) zinazoendana na hilo jukwaa.

Kama unahisi hupendi kuona Habari za mastaa au habari za michezo basi fanya ustaarabu wa ku-Ignore hayo majukwaa.

Asante.

Imeandikwa na Mjanja M1 ✍️
 
Kweli kabisa na sio lazima u comment!
 
Ninyi mna shida sana na huku mtataka haki sawa kwa wote na mnaweza dai jukwaa lenu peke yenu. Sisi wanaume huo muda wa kufuatilia watu tunatoa wapi? MTAJUANA WENYEWE HUKO HUKO.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom