Kwanini kozi fupi za madereva NIT ni gharama sana?

May 25, 2021
7
17
Kama kichwa cha habari kinavyo eleza hapo juu! Hivi hiki chuo si serikali jaman? Kozi ya mwezi mmoja laki nne.

Wanyonge wanasaidiwaje maana wengi hawana uwezo huo wa kumudu hzo gharama.
 
Nadhani ni kwa sababu ndio chuo bora kabisa cha udereva nchini kinachotambuliwa na serikali.
 
Nadhani ni kwa sababu ndio chuo bora kabisa cha udereva nchini kinachotambuliwa na serikali.
Mbona hujajibu hoja?.....kozi ya mwezi mmoja kulipa laki nne kwa Serikali inayojua hali ya Wanainchi wake ni sawa?
 
Kozi gan hyo laki nne,halafu kumbe unataka kuwa dereva wa rais
 
Mbona hujajibu hoja?.....kozi ya mwezi mmoja kulipa laki nne kwa Serikali inayojua hali ya Wanainchi wake ni sawa?
Kiongozi unataka hadi breakdown ya hiyo laki 4 iwekwe hapa item by item ndio.uone hoja imejibiwa? Gharama za mafuta, umeme, tuition, equipment replacement, service za magari, etc. Itoshe tu kusema gharama za uendeshaji ni kubwa.
 
Back
Top Bottom