Wakuu habari za mwaka huu wa 2022!
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimeshajenga msingi tu.
Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master, choo Cha public kipo ndani pia, sebule, jiko, stoo, dining, veranda mbili nyuma na mbele na pia kuna gharama za kuchimba chemba ya choo na kujenga fensi/ukuta...
Habari wakuu, nimejaribu kuja na baadhi ya options za ramani za nyumba unazoweza kujenga kwa gharama nafuu.
Kwanza tulewe kuwa Gharama ya ujenzi wa nyumba haitegemei sana idadi ya vyumba kama baadhi ya watu wanavyochukulia, bali hutegemea zaidi ukubwa (builtup area) na muundo wa jengo husika...
Habari nyingi wakuu..
Katika ujenzi ambao nataka nianze Inshaallah baada ya kumaliza mambo mengine sasa nimechorowe ramani hii hapa kutokana na nyumba yangu nataka iwe hivi.
Hivyo basi wakuu humu kuna magwiji wa haya mambo ya ramani pamoja na ujenzi wake.Naomba kufahamu kutoka kwenu je hii...
Rais Samia amesema Tanesco hawawezi kuunganisha umeme kwa gharama ya Shs. 27,000/= kwa wananchi wote wa vijijini kwa sababu gharama zinatofautiana kutoka sehemu moja hadi nyingine.
Kwa hiyo amesema kuna sehemu watalipa Shs. 27,000/= na sehemu zingine watalipa gharama halisi.
"Kuna gharama kubwa ya kuwa shujaa"
Kesi ya Mbowe ilipoanza tulisikia watu mbalimbali wakihudhuria mahakamani na wengine kushinikiza aachiwe, tulishuhudia mabalozi kutoka nchi za Marekani, Ujerumani na Ubelgiji wakihudhuria na kutoa matamko mbalimbali lakini Leo yupo pekee yake na makosa yake...
Salaam wataalamu wa afya. Kama kichwa kinavyoelekeza naitaji msaada kuhusiana na anxiety disorder. Kwamba niwapi nawezafanyiwa diagnosis na gharama zake.
Tumezoea kusikia neno wanyonge katika serikali ya awamu ya sita kuwa ni kejeli iliyopitiliza kwa watanzania ! Katika pitapita zangu mikoa mbalimbali hususan kagera kigoma mwanza na mara na shinyanga walalamikia vifaa vya ujenzi bei zake kuwa juu mfano cement kwa mkoa wa shinyanga tsh 21000/=...
Kampuni ya ndege binafsi ya nchini Marekani ya Love Cloud imeanza kutoa huduma kwa wapenzi wanaohitaji kushiriki tendo la ndoa kwenye anga la Las Vegas wakiwa kwenye ndege za kampuni hiyo.
Kwa mujibu wa Kampuni ya Love Cloud, huduma hiyo itachukua dakika 45 ambapo wapenzi wanaoshiriki tendo la...
Kweli mnasubirisha watu maelfu kwa maelfu lisaa lizima, tena peak ya Rush hour, halafu gari zenyewe za msafara hata 10 hazifiki.
Jamani, kama mna haraka sana wekeni utaratibu wa kupanda bodaboda, kwani nyie ni nani msipandishwe pikipiki?!
Niko hapa naangalia convo iliyoenda kuzindua shule ya msingi Chato iliyojengwa na Rais Museveni, aisee ni kubwa. Nimemuona Rais Samia kashuka kwenye lile dege kubwa akiwa ameambatana na jopo la kutosha, Rais Museveni nae kaenda na ndege yake, picha za sehemu ya uzinduzi ina watu wa kutosha...
Vifaa vya ujenzi vimepanda bei, nondo zimepanda bei. Maghorofa ni nondo, madaraja ni chuma, reli na mabwawa kama JNHP ni nondo.
Leo China uzalishaji wa chuma umepungua sababu ya pandemic na bifu lao na Australia. Kwanini serikali isianze kufua nondo.
Kumetokea nini kwenye sekta ya ujenzi? Ghafla kila kitu kimepanda bei.
Je, kuna uhusiano na ujenzi wa madarasa yanayojengwa kwa kasi kipindi hiki?
Ni vifaa kuadimika kutokana na uhitaji mkubwa wa project hii?
Je, ni watu wameamua kuchezesha ili wapate kitu kwenye bei hizi mpya?
Najua...
TANESCO katika mpango mkakati wake wa miaka mitano imesema pamoja na kupungua utegemezi wa matumizi ya mafuta mazito kuzalishia umeme, gesi nayo majanga. Gharama ya kufikisha gesi kwenye vituo vya kuzalishia umeme kutoka inapochimbwa inabakisha gharama ya uzalishaji wa umeme kuendelea kuwa juu...
Rais Samia amesema Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi). Ameeleza hayo katika Ufunguzi wa Kikao cha Mkuu wa Majeshi kinachofanyika Ngome ya Lugalo
Ameeleza, "Kwa hulka ya Ugaidi, Mtu yeyote bila kujali Rangi, Dini, Umri, Itikadi, Kipato au Uraia anaweza kuwa mhanga wa...
Tumeshuhudia hivi karibuni ongezeko kubwa sana la gharama kwenye vifaa vya ujenzi na bidhaa nyingine za vyakula mfano sehemu nilipo nondo imetoka Tzs 18000/= mpaka 27000/=. Huo ni mfano tu. Mawaziri msaidieni Rais kupanda kwa vifaa kuna muathiri kila mtanzania pamoja na mnyonge.
Eeh bwana eeh it's me Mr. Liverpool again.
Mwenzenu nimekaa nikawazaa na kuwazua, nikaona dah "BAGOSHAAAA wanaume TUNANYONYWA SANAA"
Iko hivi.....
Mr. Liverpool ni mkulima wa Parachichi na miti ya mbao.
Sasa bana, leo nimekaa nikawa napanga bajeti ya kuingia Shamba.
Maana huwa naingia...
Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa Tshs 102 katika kila lita ya mafuta msimamo wa bei ya mafuta uliopo nchini bado haumpi usingizi mama huyu kwani bei ya mafuta ndio huamua gharama za maisha ya watoto hawa wa masikini ama zipande au zishuke au zisalie zilivyo.
Rais Samia Suluhu Hassan...
Jamani vitu vinazidi kupaa bei kana kwamba hatuna wa kutusemea,jmosi nilinunua cement kwa 20,000/=
Leo nimedamka tena kwenda kununua cha ajabu,imepanda na kufika 21000/=
Sasa najiuliza hii cement nayo inatoka ng'ambo ya nchi? Je shida ni material au mafuta au nini au serikali nayo imeongeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.